Ng'wana Kang'wa - Franco (Official Video HD)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 148

  • @catherinefrance2537
    @catherinefrance2537 3 ปีที่แล้ว +5

    Jaman i wish nikija tanzania nikutafute nifanye kazi na wew mama angu anakupenda xana yeye ndo aliniambia kuna msanii anaitwa ntemi omambala toka hapo nikaanza kukufatilia i promise nikija tz unitungie wimbo wa mama angu

  • @MohamedOmary-j8t
    @MohamedOmary-j8t 2 หลายเดือนก่อน

    Nakufuatiliaga sana nyimbo zako ninzuri sana mdogo wangu kaza buti utafika mbali sana ndugu yangu

  • @peterbulegi7731
    @peterbulegi7731 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana KIJANA, Sauti nzuri endelea hivo Wasukuma oeeeee !

  • @rehemayuda6822
    @rehemayuda6822 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana kijana naipenda sauti yako ila na ww nakupenda 😘

  • @saneathanas1812
    @saneathanas1812 5 ปีที่แล้ว +1

    I'm proud to be sukuma.bhana bariadi nzogi totambele ng'wana sane lelo napandeka na liko

  • @adijasuleimani4941
    @adijasuleimani4941 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukovizuri Sana nyimbo zako nazipenda. Japo luga nitofauti mi,mhaya.

  • @renatusjoachim8876
    @renatusjoachim8876 4 ปีที่แล้ว +1

    Bro hongera sauti ya kuimba Mungu kakupa

  • @husseinmasalu149
    @husseinmasalu149 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuli sana dogo kaxa mwendo

  • @kijazengo8985
    @kijazengo8985 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana kazi zako nzuri

  • @ezekielsamweli545
    @ezekielsamweli545 4 ปีที่แล้ว

    Mimbo gako gawiza Sana huwa sichoki kusikiliza nyimbo zako mngu azidi kukupa ujuzi Kira siku uzidi kutamba

  • @elizacharles5654
    @elizacharles5654 5 ปีที่แล้ว +6

    Barikiwa sana nsisaye

  • @gracecharles1251
    @gracecharles1251 3 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa sijawahi kusikia wimbo wako hata mmoja niliposikia2 nilipenda sana japo nilikuwaga sipendi nyimbo za kisukuma nimezipenda sana nyimbo zako, wasukumu tupo juu hata mm nimsukuma japo nilikuwa sizipend

  • @rehemand0mwa657
    @rehemand0mwa657 5 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana kaka sauti 😘😘

    • @samirnangwa8401
      @samirnangwa8401 4 ปีที่แล้ว

      Napenda Sana kisukuma jamani mm hapo sielewi

    • @tinahassan7500
      @tinahassan7500 2 ปีที่แล้ว

      Hongera umetuheshimisha wasukama hongera nimeipenda👍👍👍👍👍

  • @stumay-wx9rp
    @stumay-wx9rp 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakuombea sana my brother ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️sauti hiy 😘😘😘😘

  • @mariammasesa6699
    @mariammasesa6699 5 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo nzuri sana unanikubusha nyumbani

  • @johnsimba7230
    @johnsimba7230 5 ปีที่แล้ว +5

    hongera sana mkubwa wao we bora SKU zoote

    • @elickionsospeter573
      @elickionsospeter573 4 ปีที่แล้ว

      John Simba naupenda sana mwimbo huu Hongera sana kaka

  • @CatherinePius-nh9gp
    @CatherinePius-nh9gp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Honger San napend nyimbo zako mungu akusimamie katka kaz yako

    • @CarlosTovela-in5rh
      @CarlosTovela-in5rh 7 หลายเดือนก่อน

      DESEJO MUITA FORÇA E MUITOS SUÇESSOS

  • @moseskapyuku114
    @moseskapyuku114 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngw'ana kangw'a natogilwe sana milemo yako japo mi sio msukuma lakn kupitia ww napenda kufahamu zaidi lugha ya watan zangu

    • @GiftCute
      @GiftCute 2 หลายเดือนก่อน

      @@moseskapyuku114 ok

    • @GiftCute
      @GiftCute 2 หลายเดือนก่อน

      mm gifti nipo bala

  • @gilbertwaswa131
    @gilbertwaswa131 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweri mziki yako hiko juu japo lugha sihijui mi ni mnyambo Wa Karagwe

  • @sweetbertmgeta7945
    @sweetbertmgeta7945 5 ปีที่แล้ว +6

    Nukuelewa sana kijana ninaposikiliza nyimbo zako aziniishi utamu.

  • @josephscania1900
    @josephscania1900 5 ปีที่แล้ว +5

    Uko vizuri saana ! Nanyimbo zako nyingi tu! Big up.

  • @maswadigitaltv
    @maswadigitaltv 5 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana kwa kazi nzuri

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 5 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah najivunia kuzariwa msukuma namis sana home jaman 😍😍 shukran sana kakaang kutuwakirisha wasukuma👏🤝

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  5 ปีที่แล้ว +1

      Rahma Oman Asante Dadaangu!

  • @husseinmasalu149
    @husseinmasalu149 2 ปีที่แล้ว

    Mungu kajalia sauti Dogo uko vzl

  • @elizacharles5654
    @elizacharles5654 5 ปีที่แล้ว +2

    Nmezipenda kaz zako namwomba mungu atujalie uzima ili siku ya harus yangu sitaman ukose

    • @nyanda427
      @nyanda427 5 ปีที่แล้ว

      Ulitolwa nanali Mayu nane nize🤷‍♂️

    • @yussufkalou8591
      @yussufkalou8591 4 ปีที่แล้ว

      naomba no yko nataka nikualike likimalizika hili janga la Corona

  • @lidasxinhapkerman1052
    @lidasxinhapkerman1052 3 ปีที่แล้ว +3

    You have very nice voices and you have a beautiful voice, my friend

  • @jembetvTz255
    @jembetvTz255 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja Sana bro ilakunadili lingine

  • @ceciliamartine8908
    @ceciliamartine8908 5 ปีที่แล้ว +9

    Sana kabila langu naliamini never kulisaliti🙏🙏🙏

    • @saifalhabsi4829
      @saifalhabsi4829 4 ปีที่แล้ว

      Yani najiskia ninaamani kila nikiskiliza nyimbo zako uko vizuri sana

  • @sophiamichael644
    @sophiamichael644 5 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri, jitahidi utoe video ya shinje na mchoji.!

    • @bashirimasingija2907
      @bashirimasingija2907 5 ปีที่แล้ว +1

      Safi nakumbuka home geita Lubanga kwetu jamani, ngija dom,

  • @hemedimalaso9912
    @hemedimalaso9912 5 ปีที่แล้ว +3

    Nyanda ndondo napenda sana nyimbo zako uko vir sana

  • @georgendunguru6207
    @georgendunguru6207 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupata sana,ntemi wa mabara

  • @silaskulwa5224
    @silaskulwa5224 5 ปีที่แล้ว

    Vzur sana kaka kazi zako unaandaa kikamilifu!! Hongera san

  • @williamtowo1032
    @williamtowo1032 5 ปีที่แล้ว +2

    kaka nyimbo hii nimeipeda sana upo. vzr sana adi.sauti asante

  • @GiftCute
    @GiftCute 2 หลายเดือนก่อน +1

    pow uko pow ww

  • @zuhuraabdallah155
    @zuhuraabdallah155 2 ปีที่แล้ว +1

    Hexhima Kwk Jamaa Yng

  • @Mbuke-y7f
    @Mbuke-y7f ปีที่แล้ว

    Unyama sana aisee

  • @aishasalum2963
    @aishasalum2963 5 ปีที่แล้ว

    Nitakutafuta kaka siku naozesha mwanangu upo powa sana kaka

  • @ellizapiuss5956
    @ellizapiuss5956 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiii san

  • @nyanda427
    @nyanda427 5 ปีที่แล้ว +3

    Hapo ihalo ndo nilikulia na kusoma shule ya msingi

  • @dutumaduhu9569
    @dutumaduhu9569 3 ปีที่แล้ว +2

    Most awesome

  • @ngassastudioproduction1892
    @ngassastudioproduction1892 4 ปีที่แล้ว

    Wewe una weza xana bgp🙏

  • @gracemanota6796
    @gracemanota6796 5 ปีที่แล้ว

    Usukumani raha sana hakika napamiss home

  • @sayimihambo9152
    @sayimihambo9152 5 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri kaka

  • @kijamalongo4192
    @kijamalongo4192 5 ปีที่แล้ว

    sawa gete ngoshamchane!!

  • @walesstudio2725
    @walesstudio2725 5 ปีที่แล้ว +3

    Fahari yetu wasukumaaaa

  • @AkidaAkida-r2p
    @AkidaAkida-r2p 21 วันที่ผ่านมา

    kisima majabala nzuki 0:26

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 5 ปีที่แล้ว +1

    Siku ya shughuli yangu nitakutafuta lkn nitafanya mabadiliko makubwa kwenye shouting na shaking kwa wachezaji wako. Najua wataipenda sana.

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  5 ปีที่แล้ว +2

      Poa tutawasiliana mkuu

    • @shabanseif29
      @shabanseif29 5 ปีที่แล้ว

      PassMedia Tv nyanda ndododo,
      nakumbuka Mahafali ya 2008 Mwl Nyerere secondary uliigiza kama mganga wa kienyeji, watu ukawa unawaambia walete mzizi wa jiwe, had ukawa unaitwa mzizi wa jiwe,
      hongera sana kijana, nakumbuka Enzi za kwa mwl Mpuga

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 2 ปีที่แล้ว

    Mia mia 👏👏👏👏👏

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kuna uhusiano wa Wasukuma na Washona wa Zimbabwe..?? Nimeanza kuhisi kufanana..!

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  5 ปีที่แล้ว

      Kwa nn

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว

      @@ngwanakangwa Muziki wenu unafanana sana kimidundo ..Nafikiti unatakiwa kusikia muziki wa MADUBE wa Zimbabwe na yule mchawi wa bass guitar huko .. Alick Macheso.. Mnahitaji ..COLLABORATION..
      Hiyo ni mawazo na matazamo wangu tu..
      WATCH HIM..

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  5 ปีที่แล้ว

      @@josephgomalo41 understood boss

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว

      @@ngwanakangwa Mameja sana .. !

    • @luhendesoloshija9502
      @luhendesoloshija9502 ปีที่แล้ว

      Kuna connection sana hata lugha Kuna maneno mengi yanafanana

  • @marrykanti841
    @marrykanti841 5 ปีที่แล้ว

    Piga collable na bhudagala, olechiza sana

  • @tozbtz8109
    @tozbtz8109 5 ปีที่แล้ว +6

    Saiv ndo unafanya vizr sasa kutoka video

  • @jumabunzari8378
    @jumabunzari8378 5 ปีที่แล้ว

    kaz nzuri

  • @dadapechi
    @dadapechi 4 ปีที่แล้ว

    Nalelela. Nalelelela kaya

  • @lidasxinhapkerman1052
    @lidasxinhapkerman1052 3 ปีที่แล้ว

    I am extremely eager to see you up close. So come to lran to see you

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  3 ปีที่แล้ว

      Check me on WhatsApp +255753853523

    • @stephanominja8927
      @stephanominja8927 2 ปีที่แล้ว

      Nyanda nndodohdoh!! 💯💪💪💕

  • @sananegms
    @sananegms 4 ปีที่แล้ว +1

    talented!!

  • @CarlosTovela-in5rh
    @CarlosTovela-in5rh 7 หลายเดือนก่อน +1

    VIVVA TANZANIA

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 2 ปีที่แล้ว

    Sauti mashaallah

  • @TaizanBoy
    @TaizanBoy ปีที่แล้ว

    Da uko vizuri sana

  • @josephineclavery2227
    @josephineclavery2227 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kusikiliza hii kitu

  • @johanesdeocles6337
    @johanesdeocles6337 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @salambafrancis6840
    @salambafrancis6840 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi

  • @HusseinMasalu-mz8dt
    @HusseinMasalu-mz8dt ปีที่แล้ว +1

    Dogo uko safi

  • @lidasxinhapkerman1052
    @lidasxinhapkerman1052 3 ปีที่แล้ว

    I would like to come to lran to meet you

  • @agnesmarosina3717
    @agnesmarosina3717 4 ปีที่แล้ว

    Yawiza gete ongwise negera hanemo baba

  • @Gody360
    @Gody360 2 หลายเดือนก่อน

    Pamoja

  • @geoffreydesoloshija2753
    @geoffreydesoloshija2753 5 ปีที่แล้ว +3

    Iv amna collable za wasanii wa kisukuma

  • @rajabunhondo1962
    @rajabunhondo1962 4 ปีที่แล้ว

    Mnajitahid mno

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 5 ปีที่แล้ว

    Wabheja bhabha

  • @falendekelwa386
    @falendekelwa386 5 ปีที่แล้ว +2

    aisee mbona video haiko clear kabisa fanyeni mboreshe quality ya video

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  5 ปีที่แล้ว +1

      Nadhani kuna tatzo katka system ya sim yako boss

    • @anthonyjonas4271
      @anthonyjonas4271 5 ปีที่แล้ว

      safi sna ngwana kangwa kazi nzuri tunahitaji kazi nzuri zaidi musiwe munachelewa kutuwekea vitu

  • @hamzamajiyachai2079
    @hamzamajiyachai2079 5 ปีที่แล้ว +1

    wow!!!!!

  • @barnabamasigani221
    @barnabamasigani221 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏

  • @ihanomadili
    @ihanomadili 5 ปีที่แล้ว +2

  • @lucymashamba1571
    @lucymashamba1571 5 ปีที่แล้ว +1

    Wasukuma wanoh wawiza noh

  • @wiliampaulo5556
    @wiliampaulo5556 5 ปีที่แล้ว

    Iam sukuma

  • @lamecksmernestntaki3894
    @lamecksmernestntaki3894 5 ปีที่แล้ว +2

    Xawa nyanda kadodo naheshim uwezo wako

  • @oscarkaundama9871
    @oscarkaundama9871 5 ปีที่แล้ว

    Saf san

  • @lucymashamba1571
    @lucymashamba1571 4 ปีที่แล้ว

    Asanteee

    • @sittaanatory2699
      @sittaanatory2699 4 ปีที่แล้ว

      Iko vizur San nakumbal kijana ping Kaz

  • @matthewm.ntinginya3107
    @matthewm.ntinginya3107 5 ปีที่แล้ว +1

    kayanda kadokado kadebhile sana ukwimba

  • @florakihore8531
    @florakihore8531 5 ปีที่แล้ว +2

    kazi nzuri

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  5 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana

    • @misungwiigalaba7074
      @misungwiigalaba7074 5 ปีที่แล้ว

      Kjnaa unafanya kaz kwel kwel nyimbo zako n hatal sana saut yako n ya kumutoa nyoka pagon hoger sanaaa nyanda wiseee

    • @jumapilijames9149
      @jumapilijames9149 5 ปีที่แล้ว

      Uko vizur kijana jitahid kutoa video nyimbo zako zote ili tuburudike zaid njoo na mwanzugi igunga najua washabiki ni wengi faida IPO usihofu kabisa lichukulie maanan na uchukue hatua

    • @jumapilijames9149
      @jumapilijames9149 5 ปีที่แล้ว

      Nakupenda Xana kijana njoo bs mwanzugi jaman

    • @edithacharles6417
      @edithacharles6417 5 ปีที่แล้ว

      Safi

  • @peterbulegi7731
    @peterbulegi7731 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana KIJANA, Sauti nzuri endelea hivo Wasukuma oeeeee !

  • @LusianaIddy
    @LusianaIddy 6 หลายเดือนก่อน