ABBY CHAMS amvuruga HEMEDY PHD, ashindwa kabisa kuchagua mwengine ''Love is Everything''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #abbychams #hemedyphd
    Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
    Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
    whatsapp.com/c...
    Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 112

  • @ndrwdotts4347
    @ndrwdotts4347 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hemedi alikuaga mzuri enz za tusker project fame....saiz amekua mbaba kama wababa wengine tu

  • @fatumadjumbe2551
    @fatumadjumbe2551 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mimi milele ndo mziki Ninao usikiliza sana❤ it's my favorite song 🎵

  • @giztony2009
    @giztony2009 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ww umefuata nn humu labda ww ndo umepitwa na hii kitu, cku nyingine usiingie kwenye link ambazo huendani nazo kiumri!

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaaa thengeee

  • @officialsheby9034
    @officialsheby9034 10 หลายเดือนก่อน

    #Ududu mzee

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 10 หลายเดือนก่อน +3

    Limwili likubwa hakili kisoda

  • @EliyaUhaula-ck3pu
    @EliyaUhaula-ck3pu 10 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 10 หลายเดือนก่อน +1

    Washatumika wameisha ,sasa wataka kuharibu watoto wa watu na masalo.
    Watu wazima wafanye kujiheshimu,

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bangi

  • @jumakassim5484
    @jumakassim5484 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ududu mwingi Hd nakubali sana sana nyimbo zako tuletee burudani

  • @kiatu
    @kiatu 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna comments zinamtambulisha Kama under-exposed

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ududu
    🥊

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 10 หลายเดือนก่อน +5

    Hiking kichwa kina akili sana sema anajichetua tu fatilieni jinsi alivyo dadavua simu IQ kubwa sana❤😄😄😄😄😄

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 10 หลายเดือนก่อน +1

    BANGI SIO NZUR

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน +5

    Hemed PHD A.K.A Mwafilombe A.K.A Mwamposa🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂

    • @AbcD-bn1nz
      @AbcD-bn1nz 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน

      @@AbcD-bn1nz 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Sage-o4q
      @Sage-o4q 10 หลายเดือนก่อน +1

      Aka....PUMBUNYOOOO😂😂😂😂😂😂

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 10 หลายเดือนก่อน

      @@Sage-o4q Jamaa anaonyesha anawakubali Wanyakyusa,Wareno,Wabrazil na Wahispaniola

    • @davidkifua8465
      @davidkifua8465 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@rogerslwitiko3915hahah wanyakyusa si wanamizigo na ndo ugonjwa wake

  • @queenmollel6739
    @queenmollel6739 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmm jamani hii ni nini jamani infinix please please mpaka (pumbu)Duuu !!!!!!!

    • @matopacomedian
      @matopacomedian 10 หลายเดือนก่อน

      Njoo nikupe ududu

  • @breezywhity1462
    @breezywhity1462 10 หลายเดือนก่อน

    Aghaaaaaahhhh

  • @jonathankazaking2033
    @jonathankazaking2033 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan mwamba ndo kawa Pumbunyo Purnyeto😂

  • @tishaz-r7j
    @tishaz-r7j 10 หลายเดือนก่อน +1

    kioo cha jamii AMA NI UPUUZI TU ANAFANYA

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 10 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @Lassana755
    @Lassana755 10 หลายเดือนก่อน +3

    Ududu mwingi mzee

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 10 หลายเดือนก่อน

    Sir who are you

  • @magrethdaniel8441
    @magrethdaniel8441 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh ududu ni la arusha tu

  • @salumungassa9217
    @salumungassa9217 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmh ilo jina mbn ududu xana

  • @YasintaKisholi-z5j
    @YasintaKisholi-z5j 10 หลายเดือนก่อน +11

    Anapenda kujisifia uyu kheeee😂😂😂

    • @juma8976
      @juma8976 10 หลายเดือนก่อน +10

      Lazima ujisifie na kujikubali Dunia ya sasa unataka nani akusifia 😂😂

    • @Saidiebengotv-gf7nu
      @Saidiebengotv-gf7nu 10 หลายเดือนก่อน

      Ujinga tu mwingi ,,

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 10 หลายเดือนก่อน +3

      Mtu wa kufurahi

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 10 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@Saidiebengotv-gf7nukwa nini ujinga

    • @criminalminds7723
      @criminalminds7723 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ok ok kuanzia kesho ataanza kukusifu wewe usijali

  • @LengajiOmbeni-ri5ox
    @LengajiOmbeni-ri5ox 10 หลายเดือนก่อน +2

    Papinyo papunyo panyeto, papusi

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 daah aisee! wanakuita PHD

  • @musason1680
    @musason1680 10 หลายเดือนก่อน

    Jamaa mdudu kabisa

  • @happystephano2307
    @happystephano2307 10 หลายเดือนก่อน

    Ila hemedi hahahahhahaha. Ududu n mwingi😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @majestyjames6499
    @majestyjames6499 10 หลายเดือนก่อน

    Nonsense

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 10 หลายเดือนก่อน

    Leta upopo pia

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 10 หลายเดือนก่อน

    Ushamba mwingi tembea dunia uone

  • @Zuulito
    @Zuulito 10 หลายเดือนก่อน

    Chapa ilale aaiiiiiiiiiiii

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 10 หลายเดือนก่อน +1

    You can be like Chris youare much more stop

  • @ussiussi3413
    @ussiussi3413 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hebu kuwa Mzee, eti ududu!!! Be positive and sense matured talk.

    • @zuwenazuwena7764
      @zuwenazuwena7764 10 หลายเดือนก่อน +2

      He's public figure he can do whatever he want

  • @ATHUMANIMWANZERE
    @ATHUMANIMWANZERE 6 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣 ILALEEE

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mkaka mzuri akili ndo hana😀

    • @mcrramon4649
      @mcrramon4649 10 หลายเดือนก่อน +3

      Kweli kabisa nimeanza kufatilia tangu enzi zile za project fame lakini Hadi Leo Bado akili hazijakua 😅 sema tu sura inambeba

    • @Saidiebengotv-gf7nu
      @Saidiebengotv-gf7nu 10 หลายเดือนก่อน +2

      Eti vijana wenzake wanamkimbiaga sababu ya kupendeza, yaani star muzima bado anajisifia kupendeza kwenye media, umesha feli broo

    • @joejackson9282
      @joejackson9282 10 หลายเดือนก่อน

      Pengine bwana Ako hamzidi looote maskini muwe mnaangalia .....

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 10 หลายเดือนก่อน

      @@joejackson9282 usimfananishe mume wangu na vitu vya kipumbavu

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂heeee kumekucha

  • @zisisiisskksksks2424
    @zisisiisskksksks2424 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @khamisrajabu1107
    @khamisrajabu1107 10 หลายเดือนก่อน

    Ududu ni mwingi

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 10 หลายเดือนก่อน

    Kwenye unyama hatujatoka uo ududu akuna kitu

  • @cityhuntermkali2468
    @cityhuntermkali2468 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah huyu jamaa akili yake ya kijinga sana,,kwa jamii ya sasa neno kama hilo ukisema tu ata kwa mtoto anajua ni ujinga 😅

  • @MwinyimkuuMdimbe
    @MwinyimkuuMdimbe 10 หลายเดือนก่อน

    Bs ududu

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 10 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kafujika ubishoo wote umeisha

  • @YacuboAssamo
    @YacuboAssamo 10 หลายเดือนก่อน

    Ududu ni kama unasema unyama Ududu nikama simba nyoka

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 esco umekutana na mdudu

  • @elizabethadabu4670
    @elizabethadabu4670 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 10 หลายเดือนก่อน

    Pumbunyo???

  • @chrisbertrandnyamusa9549
    @chrisbertrandnyamusa9549 10 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/qtFwC9R6eGo/w-d-xo.htmlsi=VhnnP98L_3qiQqWd
    Yani haya mambo yamekua kama mchezo hivi, Yani mtu arudiya nakosa Yale yale, alafu anasema nafanya kwa ajili ya mwanangu 🙊

  • @chainbre275
    @chainbre275 10 หลายเดือนก่อน

    Esco Leo kapstikana lol😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aje Arusha awaone hao wadudu😂😂😂😂😂. Maana jina kacopy

    • @djpassovertz..tunaishimaramoja
      @djpassovertz..tunaishimaramoja 10 หลายเดือนก่อน

      Sio tuu wadudu..wadudu wa dampo na watamfyonza Uyu mrembo hawezkaa na wajuba

    • @misanamohamedi8438
      @misanamohamedi8438 10 หลายเดือนก่อน

      Arusha waoga tu mikwara mingii mtu mmoja tu dangote kawatoa dam😂😂😂

    • @djpassovertz..tunaishimaramoja
      @djpassovertz..tunaishimaramoja 10 หลายเดือนก่อน

      @@misanamohamedi8438 Dangote ni Moja ya wadudu Sasa uyu mdudu mrembo atajikuta Kawa kivutio Cha watalii

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 10 หลายเดือนก่อน +1

    Non Sense muhojaji na muhojiwa pumba tupu

  • @yassirgiya6743
    @yassirgiya6743 10 หลายเดือนก่อน

    Jina ma2si matupu

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 5 หลายเดือนก่อน

    😂eti purunyeto

  • @hadley_davidson4734
    @hadley_davidson4734 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 10 หลายเดือนก่อน +2

    Tumeipitisha UDUDU........

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 10 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu akili zake anazijuwa mwenyew 🤣🤣

  • @Dantaata
    @Dantaata 10 หลายเดือนก่อน

    ujinga huo

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 10 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @barakaekuro
    @barakaekuro 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @abuushomari7533
    @abuushomari7533 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @salimhassan3369
    @salimhassan3369 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kukosa kaz pia ni kaz 😂😅😅 Bro angalia issue nyengine kulingana na Umri

    • @ambroceharouna1612
      @ambroceharouna1612 10 หลายเดือนก่อน +2

      We yako ipi

    • @salimhassan3369
      @salimhassan3369 10 หลายเดือนก่อน

      @@ambroceharouna1612
      Lukamba iyo tabia Uta acha lini maoni ya watu kuingilia...

  • @godsson5954
    @godsson5954 10 หลายเดือนก่อน +1

    wanaume kusema ududu mwingi ni USHOGA

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 10 หลายเดือนก่อน

      Umesema wewe kama nani?

  • @mpik0boy659
    @mpik0boy659 10 หลายเดือนก่อน

    Ole Sabaya

  • @Emiliana97
    @Emiliana97 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ole sabaya 😂😂😂😂😂
    Hemed ni chizi

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu mzima ovyo unatukana tuu apo!!

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 10 หลายเดือนก่อน

    RUBISH

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 10 หลายเดือนก่อน

    Shoga huyu

    • @onetake2292
      @onetake2292 10 หลายเดือนก่อน

      Pumbunyo😅

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haileti maana upuzi mtupu

    • @ambroceharouna1612
      @ambroceharouna1612 10 หลายเดือนก่อน

      Toa yako yenye maana

    • @godsson5954
      @godsson5954 10 หลายเดือนก่อน +1

      wanaume kusema ududu mwingi kwa wanaume wenzio ni kama USHOGA

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 10 หลายเดือนก่อน +2

    Limezeeka halijioni lipo lipo tu. Ati ududu. Nonsensical crap!!!

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 10 หลายเดือนก่อน +4

      Hiyo ni roho mbaya tu kazeeka wapi sasa jamani

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kazeeka kweli hakuna roho mbaya

    • @ambroceharouna1612
      @ambroceharouna1612 10 หลายเดือนก่อน +2

      We utakua kijana mbk lini

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@ambroceharouna1612😂😂😂 hapo sasa

    • @DevothaMagwaza-w9h
      @DevothaMagwaza-w9h 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@nahlahassan-fd6lewe utabaki hivohivo milele

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 10 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kapumbu

    • @ammysaido4655
      @ammysaido4655 10 หลายเดือนก่อน

      Hapo ndio umeshika jina lote...🤣🤣🤣

    • @NemaAli-zh6hr
      @NemaAli-zh6hr 10 หลายเดือนก่อน

      @@ammysaido4655 😂😂😂😂