sasa mm nikawaza kuwa watangazaji wangefanya this issue to be simple, ila ndo kwanza wanamkazia mwamba nahs wangeutumiq huo muda kuwaconnect vzur ata namba angeipata hapo hapo, ila ndo kwanza wamemwacha dilema
mtoto aliwahi kusema anampenda ASAKE ko hapo toxic ili amnase mtoto nyota yake inabidi kidogo imkalibie ASAKE .... hapati kitu demu uso unaonyesha 2 kwamba demu hajampenda jamaa sio level ake yeye sio wa kutoka na native superstar. am sure toxic hampati🤐🤐🤐
mtoto aliwahi kusema anampenda ASAKE ko hapo toxic ili amnase mtoto nyota yake inabidi kidogo imkalibie ASAKE .... hapati kitu demu uso unaonyesha 2 kwamba demu hajampenda jamaa sio level ake yeye sio wa kutoka na native superstar
@@MOtownTV. demu uso unaonesha... hayuko interested kabisa na situation yenyewe... demu anahitaji kuwa approached na star mwenye jina atleast africawise... sasa toxic kuna wabongo tu hawamjui . SAD TRUTH "toxic halambi kitu" mziki wako tunaupenda lakini hapo kwenye mahusiano na huyo mtoto...🫠🫠🫠
Hata me nampenda sana abby, nikisikiliza ile corazon huwa nautupa hakiiii🙃🙃😊
I like it 👍
Haaahahahah mwanangu wewe ni hip hop kabisa hahah hata mahusiano unaenda nayo sawa kwa hip hop nakukubali sana Toxic pamoja sana.
Here we go❤
That's real love
Kaka umetisha
Toxic amepagawa, mtot kamdatisha hadi kuwa friendzoned jamaa anachekelea anafurahia kabisaa 😂😂
sasa mm nikawaza kuwa watangazaji wangefanya this issue to be simple, ila ndo kwanza wanamkazia mwamba nahs wangeutumiq huo muda kuwaconnect vzur ata namba angeipata hapo hapo, ila ndo kwanza wamemwacha dilema
Mwana Hip hop kabisa 💪🏿
Hamna chochote hiyo ni KIKI imeshapangwa na kamati..zindukeni wabongeni msiamini kila mnachokiona kwenye media wasanii wanatafuta attention.
mtoto aliwahi kusema anampenda ASAKE ko hapo toxic ili amnase mtoto nyota yake inabidi kidogo imkalibie ASAKE .... hapati kitu demu uso unaonyesha 2 kwamba demu hajampenda jamaa sio level ake yeye sio wa kutoka na native superstar. am sure toxic hampati🤐🤐🤐
Safi ng'oa katoto kazur,,, mbona byee tyuu
Mtoto kama abby unamleteaje utox
Lazm utang'oa mali apo kak
mtoto aliwahi kusema anampenda ASAKE ko hapo toxic ili amnase mtoto nyota yake inabidi kidogo imkalibie ASAKE .... hapati kitu demu uso unaonyesha 2 kwamba demu hajampenda jamaa sio level ake yeye sio wa kutoka na native superstar
@BuyTechWithMe-km2zw 😂 Dah
@@MOtownTV. demu uso unaonesha... hayuko interested kabisa na situation yenyewe... demu anahitaji kuwa approached na star mwenye jina atleast africawise... sasa toxic kuna wabongo tu hawamjui . SAD TRUTH "toxic halambi kitu" mziki wako tunaupenda lakini hapo kwenye mahusiano na huyo mtoto...🫠🫠🫠
@@MOtownTV. th-cam.com/video/Rs4CYFK8eHg/w-d-xo.htmlsi=RiP5331myPdQEPG4