Ninabarikiwa zaidi na mafundisho, na zaidi ni asante tumeweza kukuona pia, tunaamini Mungu anazidi kukuinua na kuiinua huduma pia, Mungu akubariki na akutunze pia. Amen
Nataka kitabu cha maombi nimesikia kwenye somo na ardhi . Kuwa kuna kitabu cha maombi , sasa niko dar es salaam kigamboni nielekeze mahari ambapo naweza pata kitabu ama vitabu nitafuata .
❤❤❤ mamy yesu akutunze nakupenda bure
Amin barikiwa kwa ujumbe mzur mtumishi
Nabarikiwa kuliko ufikiriavyo.,mwalimu Mungu aendelee kukutunza nakupenda sana mama.
Ameen Mwalimu grace Mungu akubariki.karibu Arusha
Ninabarikiwa zaidi na mafundisho, na zaidi ni asante tumeweza kukuona pia, tunaamini Mungu anazidi kukuinua na kuiinua huduma pia, Mungu akubariki na akutunze pia. Amen
Barikiwa sana mtumishi mwema
Mungu anisaidie kunitoa ktk maagano haya ya dam
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Yesu aliye hai kwakweli mafundisho ambayo Mungu anayaachilia kwako yananipa kupiga hatua sana
Ubarikiwe Dada mungu aendelee kukutumia nabarikiwa sana na mafundisho yako karibu katavi mamy
Asante Yesu kwa ufunuo huu
Halleluya waliopata mafundisho haya wameunguiwaa
Amen. Asnate kwa neno hili Mwl. Mungu akubariki sana
Nimebarikiwa sana
Mungu akubariki sana🙏
Jina la Bwana lihimidiweee
Sauti ndogo sana
Hatimae leo mama nakuona
Tunaomba inayofwataa plz tuendelee kujifunzaa
Mbona mnaweka audio, wekeni video jamani
Nimeona sasa
Amina
Baba yetu aliyembinguni atukuzwe kwa kila aliyesikia sauti hii
Ame
Nataka kitabu cha maombi nimesikia kwenye somo na ardhi . Kuwa kuna kitabu cha maombi , sasa niko dar es salaam kigamboni nielekeze mahari ambapo naweza pata kitabu ama vitabu nitafuata .