JINSI YA KUEPUKA MIGOGORO KATIKA NDOA || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 07/08/2022
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz
Kama una muelewa huyu mzee vizuri kama mimi wapi like za mwalimu wetu huyu mzee ana point.
Mungu akubariki mtumishi wa mungu umenena na maisha yangu
Mungu akubariki Sana Pastor mmebaki wachache Sana mnaofundisha ukweli bila kujali..I real appreciate you May God bless u I advance
Pastor Uninua kiroho juu nashukur God bless u
Very powerful message,God bless you pastor 🙏
Barikiwa sana mtumishi.mwenye masikio na asikie neno hili na abadilike
Mungu akubariki Pastor umekuwa baraka sana kwa mafundisho yako
1:03 unatubariki sana pastor 🙏 Amen
Mheshimiwa Pastor George, Tumsifu Yesu Kristo. Hongera sana, unajitahidi sana kufundisha UKWELI. Mwenyezi Mungu azidi kukutumia plus your family.
Zag
p?
Mafunzo yako yananibariki asante mungu🙌🙌🙌🙌barikiwa
Asante yesu umetuletea mch. Sahihi ktk Taifa letu
Uka vizuri mtumishi wa Mungu, nashukuru sana kwa maarifa yaliyo nani yako,nakua kiroho kila napokusikia
From now mizozo haiipo kwenye ndoa yangu in Jesus name
Baba mungu akupe miaka mingi barikiwa sana.
Amen from kisumu Kenya
Mungu akubalik mtumishi Kwa mafundisho
Wabarikiwe watoto wangu, Benjamin,, Glory na Joyce in Jesus name
Barikiwa mtumishi Mungu akuzidishie nguvu 👏
Nabarikiwa nikiwa msa kenya.asante Kwa kuniponya
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
Amina Baba Yetu Ujumbe mzito Na Mzuri SANA Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA
Barikiwa sana mchunganji...tangu nianze kukufuatilia nimejifunza mengi kutoka kwako...how I wish ningeyafahamu haya kabla sijaingia kwa ndoa...sikuyajua haya...ndio maana ndoa yangu ilivunjika...naomba mungu anipe nafasi ya kuweko kwenye ndoa tena ili niyafanye haya...unanibariki sana kwa vedeo zako zote pastor...watching you from kenya
Amina baba hakika tunapona mungu akubariki Sana👏👏👏
Mungu akubariki Sana umenibariki
Asante Baba kwa masomo yako kiufupi yananibariki Sana, mafundisho ya hauubiri udini bali neno la kweli
Pastor, hii message ni yangu. Niko Kenya na hii message imenibadilisha kabisa
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah very powerful teaching in spiritual life and blessing's of wisdom in our relationship in marriage, more blessings pastor, I'm really blessed 🙏🙏😊👏👏👏
Wow I love this, God bless you for the powerful message
May God bless you pastor, kwa ukweli unaoufundsha,haki umenibadilisha yangu kwa mafundisho yako
Mungu azidi kukutumia , kwa ajiri yetu na ubarikiwe sana
Amen nabalikiwa sana baba
Nabarikiwa sana Baba Mungu Akubariki sana
Mungu akubariki Mchungaji kwaya ujumbe guy know
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi. MUNGU AZIDI KUKUINUA
Nabarikiwa na mafundisho haya nikitokea morogoro
Amen mtumishi unanibariki Sana, 🙏🙏
Asante sana mungu akubariki sana Christine chambuni kutoka Kenya
BWANA YESU ASIFIWE SANA.
ASANTE SANA MTUMISHI WA MUNGU, MAFUNDISHO YAKO NI MAZURI SANA.
NAOMBA MAELEKEZO YA KUFIKA KANISANI KWAKO.
AMINA.
I always follow your all sermons mchunganji na umekuwa wa baraka sana kwangu ,from ryiadh
Mchungaji mungu akubaliki kwahili neno
Kwaneno lako naamini mme wangu amepatikana
MUNGU mwenyewe akubariki mtumishi
Am blessed..ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana
Amina kubwa mtumishi wamungu
Good message
Kweli ni neno la mungu balikiwa mtumishi
Eee YESU KRISTO iponye ndoa yangu isonge mbele kwa utukufu wa MUNGU
Ubarikiwe mchungaji kwamafundisho mazuri 32:03
Asantee pastor
Amen,Amen pasteur
Nazidi kubarikiwa mtumishi Mungu akubariki🙏🙏🙏
Mungu azidi kukupa afya njema wewe na familia yako I'm very blessed my pastor 🙏🙏 God
Benefits of a successful marriage
1)Peace and inner strength mk3:25
2)The Presence of God no sicknesses or destruction or lack Psalms 133:3
3)Growth and Progress
4)A worthy example so many people follow you agood example for the society
Thanks 🙏
Amen Amen
Amen baba
MUNGU Akubariki nimejifunza kitu,
Powerful preaching
Amen 🙏
Asante mtumishi nimejifunza 🙏🙏 waiting part 2
Great sermon Pst. Be blessed🙏
Amena
nipè ufunuo bwana
Bwanayesu asifiwe pasta nabalikiwa sana na jumbe unazozitoa zimenifungua macho ni nimepiga hatua kiimani
Sema Baba
Pastor napenda unyocheka sana😂😂😂😂
Ameen pastor,ningependa ukuje Kenya ufundishe wanaume Wa Kenya wasikie,,😂😂😂
Amina
Salama sana mtumishi
Uu mtumishi. Ubarikiwe sans kwa mafundisho yako
💪🙌
Ameen
Very true
mahubiri mazuri mtumishi, ila kwanini unazungumzia ndoa upande mmoja tu, wamesemwa wababa tu, ikiwa wanawake wanamapungufu makubwa na mazito hasa ya uzinzi, kiburi, dharau na masengenyo. ningebarikiwa sana kama ungejikita pande zote mbili maana injili lazima iguse wote wapone. hii kuwahubiria wababa ni kuwaondoa watu kanisani wakiwa kama wamepewa ushindi wa mezani na vita itaendelea badala ya kuponywa. ninatazamia sana mafundisho ya ndoa kutoka kwako yakiwa yamoto na kuunguza pande zote
pasta kuna mama anaukaribu Sana na mume wangu hata nakosa amani nfanyeje?
Mimi sio pastor,ila kama unakosa amani ingia kwenye maombi,kama ni kinyume na mpango wa Mungu wakasambaratishe hima.
Amen
Nimebarikiwa sana pastor;;;
Ubarikiwe sana baba
Mungu awabariki,neno nzuri la hekima kabisa!!Yesu atusaidiye!!
Ameen