Kajala na Wema Sepetu bado hawaongei, kuna kitu Kajala amekiongea hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Kajala na Wema Sepetu walikua marafiki wakubwa na hata mpaka Kajala kujichora tattoo mwilini yenye jina la Wema Sepetu kuonyesha ni jinsi gani anampenda, Wema Sepetu ndio alizitoa zile Milioni 13 za dhamana na kumuokoa Kajala kwenda Jela lakini sasa hivi wawili hawa hawapatani, Kajala ameyaongea haya maneno alipokuja kwenye studio ya Millard Ayo.

ความคิดเห็น • 24