Hukumu Ya Kupiga Picha | Sheikh Kombo Ali Fundi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @IsbabuIsmail-ch4eo
    @IsbabuIsmail-ch4eo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaa allah tabaarakallah

  • @sheikhismailhabibumakusanya
    @sheikhismailhabibumakusanya 4 หลายเดือนก่อน

    Barakallah fiikum

  • @HassanAli-j5d8q
    @HassanAli-j5d8q 4 หลายเดือนก่อน

    Duuh kajaa na mpya eti kusajili

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa hutaki we kama msimamo wako kutopiga usimpinge kila achukue Rai yake Sabu Jambo la khitilafu wapo wanazuoni waloona inafaa na wapo waliona haifai kila mtu ashike Rai anayotaka tukutane siku ya kiama

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni ikhitilafu kuna wanazuoni waliona inafaa kuna walioona haifai so kila mtu ashike rai ya mwanazuoni anaetaka yey lengo kutokushambuliana kwa mambo hayo ya ihtilafu za ulamaa

  • @ahmedbaga26
    @ahmedbaga26 4 หลายเดือนก่อน

    Mtihani

  • @braqutourssafaris4672
    @braqutourssafaris4672 4 หลายเดือนก่อน

    Wenyewe kwa wenyewe na madhhebu yenu mnakataana 😅😅😅

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 หลายเดือนก่อน

      Uislamu raha yake ukiona jambo lina kutatiza rudi kwenye Qur'an na hadith 2

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 หลายเดือนก่อน

      Arafu usiseme wenyew kwa wenyewe suala hili la ihitilafu wapo wanazuoni waloona inafaa wapo wanazuoni walokataa so kila mtu ataona ashike Rai ipi hamna tatizo

  • @abuumautundu9144
    @abuumautundu9144 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh na kushauri kairudie kusoma ile hadithi

    • @RashidAbdallah-f8l
      @RashidAbdallah-f8l 4 หลายเดือนก่อน

      Lilokua zuri kama wewe una ziada ktk hio hadithi ni kumtafuta shekh kisha kuongea nae

    • @RashidAbdallah-f8l
      @RashidAbdallah-f8l 4 หลายเดือนก่อน

      Ninaimani ukilazimia kuipata namba yake shekh hakika utaipata, haya mambo ya furuugh si ya kutunishiana misuli

    • @hassanmakame
      @hassanmakame 4 หลายเดือนก่อน

      Ushaambiwa kuna tofauti ya tasfiri miongoni mwa wanazuoni....bado tena akarudie kuisoma, kwamba akiisoma tena ndiyo tofauti za tafsiri zitaisha.....acheni ushindani usio na tija...!

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 หลายเดือนก่อน

      Mtu ata kusoma pengine hujui unakalia ubishi 2 iyo hadith ina eleweka kilicho katazwa niku create kiumbe kilicho hai ima kwa kuchonga au kuchora au kufuma, sio real picture, maana unapiga picha vile vile kama kilivo,

    • @MuslimYouthman
      @MuslimYouthman 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona kafafanua vizuri tu ubishani wa nini ukiona kachemka fuata vile unavyoamini sasa ukimlazimisha akufuate wew ndio mgogoro hauishi

  • @ABUUBAAZNYUNGU
    @ABUUBAAZNYUNGU 4 หลายเดือนก่อน

    NKAJUA UNAJUA HUKMU YA PICHA.......KUMBE BADO BADO KDG.... Masalafy mbona hata wao wanarekod video??? Lini wamekataza watu kurekod video za mihadhara??? Kapitie hyo hadith vzr shekh wetu

    • @MuslimYouthman
      @MuslimYouthman 4 หลายเดือนก่อน

      Huwezi mkosoa mtu bila dalili huyu ni shekh anatumia elimu sio maneno tu kama wew

    • @MpumaLanga-vc4zh
      @MpumaLanga-vc4zh 4 หลายเดือนก่อน

      Yani kama ilivyokuwa hadithi watu wameelewa tofauti na hata maneno ya sheikh nayo watu wameelewa tofauti. Allah atustiri na atuhifadhi

    • @LatifahPambe
      @LatifahPambe หลายเดือนก่อน

      ​@@MpumaLanga-vc4zhAamiyn