Tazama Padre mpya mzawa wa Kisiwa cha Mafia alivyopokelewa kama Mfalme katika gari la Wazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024
  • 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
    Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
    Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
    KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
    KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
    Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

ความคิดเห็น • 41

  • @TeofridaLyombo
    @TeofridaLyombo ปีที่แล้ว

    Hogera sana fr Paul Mungu aendelee kukutunza na kuchipusha kile alichoweka ndani yako. Utume mwema baba

  • @sabinakushoka9737
    @sabinakushoka9737 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana na utume mwema

  • @kuryatvfilm1161
    @kuryatvfilm1161 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu akupe ufunguo wa kufungua Pemba yote kumjua kristo

  • @rutasitarakyaruzilonginus3673
    @rutasitarakyaruzilonginus3673 ปีที่แล้ว

    Hongera Padre, hongereni Wakristu wa Mafia. Mungu Mwenyezi awalinde mueneze upendo kama Bwana wetu Yesu Kristu alivyotuagiza, upendo na amani kwa kila jirani, huduma za kiroho, afya na elimu.

  • @s0phialwassa574
    @s0phialwassa574 ปีที่แล้ว +1

    Raha sana na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano mlioonyesha katika mapokezi hayo, ni moja ya historia kwa huko mafia

  • @anodearsulusi7536
    @anodearsulusi7536 ปีที่แล้ว +2

    Hongera umekuwa kwenye historia ya kisiwa Cha mafia

  • @CatherineMboga
    @CatherineMboga ปีที่แล้ว

    Hongera sana Padri,Mungu Akubariki sana

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana.Mungu akakuongoze ktk utume wako

  • @AnnaNjau-v5v
    @AnnaNjau-v5v ปีที่แล้ว +2

    Hakika Padre Paulo amefungua ukurasa mpya kisiwa cha Mafia na kuongeza hamasa ya kupata mapadre wengi zaidi.Hongereni sana wanamafia kwa zawadi ya kumpata padre.

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu awe taa na mwanga wa njia yako kwenye utume wako Baba yetu 🙏🙏🙏

  • @stemarcely7493
    @stemarcely7493 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana jamani....hongera kwa wazazi wake na wanapemba wote...hakika hii ni historia nzr sana

  • @mamamfugaji9065
    @mamamfugaji9065 ปีที่แล้ว +3

    Mmempokea vzr,ni hamasa kwa vijana wengine wa Mafia waingie upadre
    🎉❤

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana, inatia moyo, Mungu akutangulie

  • @adolphchilumba7999
    @adolphchilumba7999 ปีที่แล้ว

    Ongereni sana wapendwa wa MUNGU

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie ktk utume wako Baba padre

  • @maurogisbert6895
    @maurogisbert6895 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Baba Mamboleo Paul

  • @sr.jovithavincent4119
    @sr.jovithavincent4119 ปีที่แล้ว

    Aminaa Mungu atukuzwe

  • @sarafinafranci8481
    @sarafinafranci8481 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni jamani.

  • @rosecyril93
    @rosecyril93 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Pd Paul.
    Hongera wana Mafia pia ukristu umekua sana.Zamani miaka ya 70 tulikuwa wakristu wachache mnoo.Kama familia 10.

  • @mosesmajogoro863
    @mosesmajogoro863 ปีที่แล้ว

    Honger sana 💪💪💪Rev.

  • @mamamfugaji9065
    @mamamfugaji9065 ปีที่แล้ว +3

    Cha kudeka sasa Pd.Paul😂hongera baba kwa kuandika historia Mafia.🎉

  • @maurachorobi7683
    @maurachorobi7683 ปีที่แล้ว +3

    Furaha kubwa kisiwa Cha mafia na mbinguni pia

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

    lsaya 56
    10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia
    hawana maarifa; wote ni mbwa walio
    bubu, hawawezi kulia; huota ndoto
    hulala, hupenda usingizi.
    11 Naam, mbwa hao wana choyo
    sana, hawashibi kamwe; na hao ni
    wachungaji wasioweza kufahamu
    neno; wote pia wamegeuka upande
    wazifuate njia zao wenyewe, kila
    mmoja kwa faida yake, toka pande
    zote.
    12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na
    tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa
    kama leo, Sikukuu kupita kiasi

  • @clementinakabaka7447
    @clementinakabaka7447 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hakuna lisilowezekana kwa Mungu baba of Chunga kundi lako usiache hata mmoja kati ya hao wakapotea na kuikosa mbingu!

  • @niyomugabojohn8329
    @niyomugabojohn8329 ปีที่แล้ว

    😂😂😂hii kanisa letu nalipenda saana, Ina upumbafu mwingi zaidi😂.kupokea mtu hivi ni ugonjwa wa akili, Kwa mwenye kupokea na kupokerewa💃🕺

  • @JacobTesha-m1s
    @JacobTesha-m1s ปีที่แล้ว +1

    Hakika m
    ungu ni mwema..mavuno ni mengi watenda kaz ni wachahe

  • @abuayman8184
    @abuayman8184 ปีที่แล้ว

    ظلمات بعضها فوق بعض

  • @MsatiOne
    @MsatiOne หลายเดือนก่อน

    Kazi bure labda mpandikize chuki tu

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

    lkn huyo kijana katudhalilisha allah amuongoze

    • @yahyashpasha7210
      @yahyashpasha7210 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nakwmby Ovyo hawa hichi kisiwa sio cha Makafiri wakae wakijua

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 9 หลายเดือนก่อน

      @@yahyashpasha7210 hiki kisiwa cha waungwana, sio cha makafiri, makafiri washauleta ukafiri mafia

  • @kessikahawamango4114
    @kessikahawamango4114 ปีที่แล้ว +3

    Ukrito wenu mwisho Chumbe Pemba hamuiwezi kuipandikiza ukristo hata siku moja. Mutajenga makanisa wataabudu watu wawili na popo tu.

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 ปีที่แล้ว +1

      Ukristo hautufundishi kuwasema vibaya wengine hata kama wanakuchukia.Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo ni Mungu wa ajabu sana.Ipo siku huko huko Pemba atakuja kutoka Padre au mchungaji ukabaki unashangaa. Ndivyo ilivyotokea hapo Mafia

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 ปีที่แล้ว +1

      Ata hao wawili Mungu yupo na anaweza kufanya jambo,usishindane na mkono wa Mungu

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +3

      Ikiwa ukiristo umeingia mpaka uarabuni aliko tokea mhammad wenu itakuwa pemba?!tatizo huko pemba mnajivunia uchawi tu na kutumika shetwani ndomana hamtaki injiri ya Yesu iingie kuwatoa matongo tongo mnataka mbaki gizani na dini yenu ya mashetwani ya uislamu

    • @barikimfugale7001
      @barikimfugale7001 ปีที่แล้ว

      Unaongea ukiwa kama nani ndugu yangu wote tunamwabudu Mungu mmoja tu na safari yetu ni moja

    • @mcback4384
      @mcback4384 ปีที่แล้ว

      ​@@barikimfugale7001hakuna Mungu mmoja kati ya uislamu na ukristo labda kama huzijui Imani hizi mbili, kama ni hivyo basi tumia Quran kuanzia leo huko kanisani