PART54:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 288

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 ปีที่แล้ว +10

    Nimeumia Sana kwa mtihani uliyo pitia ila furaha yangu kubwa upo na umevuka mitihani yote hii Alhamdullah

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 3 ปีที่แล้ว +9

    Duh pole wanawake sisi viumbe wenye huruma sana ila tukigeukaga hata shetani huwa anatuogopa....

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 3 ปีที่แล้ว +1

      Shetani atuogope vp?ikiwa yy ndo anatutumia sisi binadamu..sio wanawake tuu ata wanaume shetani ndie anae tualibu ila akuna binadamu mbaya apa duniani Bali shetani ndie adui yetu...kila unacho kiona kibaya apa duniani jua shetani ndie muazilishi..mateso yetu ndo furaha yake jiulize wachawi wanapata faida gn?uyu zabroni anamilikiwa na waganga .uoni story mzima yy na waganga tu?ndo tujue waganga sio

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 3 ปีที่แล้ว +11

    Mimi nahisi baba yake alikuwa anamroga maana inaonyesha hampendi

  • @evelyneakech2677
    @evelyneakech2677 3 ปีที่แล้ว +9

    Number 14 representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪yani story tamu ajabu

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 ปีที่แล้ว +6

    Chief umejua kupitia magumu Jamani Duu all in All God is good All the time

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 ปีที่แล้ว +6

    Ila Mimi ninachompendea Zabron ni mchakarikaji na mtafutaji wa pesa asiyechoka ktk kutafuta, ila Mali zako Uwe unaziweka Wakfu mbele za MUNGU.

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +19

    Davistar nimecheka ulivyosema "Vero ww" Mungu anamuona kweli kbs..Nayeye ipo siku yake 🤔🤔!! Zabron una moyo wa pekee milioni 60 bd unamsaidia.

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 3 ปีที่แล้ว +4

      Tatizo ni zabroni mwenyewe..yy ndie anafungua milango ya nguvu za giza so ayo yote anayo pitia jua ni aho mashetani ndo wanampitisha binadamu yy anatumiwa tuu na shetani...sasa mtu kapata ajali ya gari then anapelekwa kwa mganga sasa mganga amesoma udactar??mambo mengine ni Sisi wenyewe atujitambui...mganga awezi mponya mgonjwa wwte yule ni ujinga tupu

    • @sultanaswaleh4708
      @sultanaswaleh4708 3 ปีที่แล้ว +1

      @@euniceeunice7680 ajab ! Nime kuja kukundua huyu zabron .ana ujinga kwa mbali wa kukubali ushairi wawatu haraka.na Kila mwanamke akimtaka yuwa mkubalia haraka. Hajishauri.ajiilize kwanini anatafita kwa shida halafu aambulia sufuri ??????.watu ndio wanafaidi ..hebu.ache shirki

    • @faidharamadhani9189
      @faidharamadhani9189 3 ปีที่แล้ว

      Mm ata ncngetaka tuwe n ukaribu tenaa..ana moyo haswaa

    • @costantinesebastian6508
      @costantinesebastian6508 2 ปีที่แล้ว

      Uyo mama nmemuona hatimaye...

  • @martinmaryogo6081
    @martinmaryogo6081 3 ปีที่แล้ว +7

    Yan kutoka kutembelea range lover had kuburn CD kwl maisha hya jmn duuu

  • @mamayao9816
    @mamayao9816 3 ปีที่แล้ว +7

    Am in love with that tree

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว +8

    Zabron anabahati sana na pia ana mikosi mingi sana 50%by 50%

  • @sultanaswaleh4708
    @sultanaswaleh4708 3 ปีที่แล้ว +4

    Zabron ana roho safi sana .lkn story yake ina umiza moyo sana💔😭

  • @frankyfranky7639
    @frankyfranky7639 3 ปีที่แล้ว +2

    Mateso mwanangu. Lakini umeshinda majaribio mengi. Mungu akufariji na Yote utakayo kwa kweli

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 ปีที่แล้ว +6

    Mama
    Mama
    Mamaaa
    Ndio alikuwa pamoja na Zabron kwenye matatizo

    • @dashyajulius5513
      @dashyajulius5513 3 ปีที่แล้ว +1

      ndomana wanasema hakuna mwenye upendo wa kwel kama mama dunia

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 3 ปีที่แล้ว +3

    Mh vero mungu anakuona!

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +2

    Nsharud 🙄🇪🇭🇪🇭💖💖 mimi wetu Shem lngu Eric Aiyam Nguwalo Hamis suleiman Fm morn blessed sapna malima na wengineo njooon mambo tayar💃💃🇪🇭🇪🇭💖💖

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 ปีที่แล้ว +1

      @Aysha Asante japo ndio nipo nafika nusu.
      Za kushinda?

    • @nguwalofakhr5965
      @nguwalofakhr5965 3 ปีที่แล้ว +1

      Mupenziii😍😍 Aysha

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@Fm-MornStar2014 Nmefurai kukuona ❤❤

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillah xijui ww❤❤❤❤

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@nguwalofakhr5965 Naam mpenzi ❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyo dada anaakili kweli yan mtu amekufungwa umetoka bado anataka urudi jela huyo dada nn mbayaa nayy

    • @mwajiranimesalimu5509
      @mwajiranimesalimu5509 3 ปีที่แล้ว +2

      mimi naona alikua akirumiwa na huyo babake zabron vile aje amletee simu na kumuona ndo akafanya huyo mpango mawazo yngu lkn

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @fridachami396
    @fridachami396 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah pole sana.. hupumui
    Yani.. ila kuna siku tu yatakwisha

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 3 ปีที่แล้ว +4

    Upendo wa kweli uko kwa mama Hawa madem Hawa Mungu anawaona

  • @hellymsigala9852
    @hellymsigala9852 3 ปีที่แล้ว

    Daah aisee

  • @catow952catow3
    @catow952catow3 3 ปีที่แล้ว +2

    Nina fatilia hii story kishenzi....Davista mata big up braza.

  • @tayanabenard4392
    @tayanabenard4392 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwakutusikiliza Davister....umeshusha mzigo mapema

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kusikia na kuona mtu mwenye Mikasa ya kutosha Kama Zabroni mzee za misosi. Pole Sana mzee baba maisha Safari ndefu umeacha hiatoria kwa Watoto wako na kizazi kijacho. Funzo ''Hakuna kukata tamaa katika maisha"

  • @lilianatieno5026
    @lilianatieno5026 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ndugu, na si umepitia mengi sana, wewe uko na (swara sana)yani mikosi mingi

  • @an6808
    @an6808 3 ปีที่แล้ว +1

    Ki Davistar kinafiki sana, cheki kilivyomuangalia Mwana alivyosema "Pio pyu"

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 3 ปีที่แล้ว

    Zabron unapenda sana waganga Ebu umrudie Mungu tafadhali. Bila, Mungu hutoboi. Njia ya,kweli ni Yesu peke yake

  • @reubenlameck6225
    @reubenlameck6225 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka Sana iyo ajari nata raha hatariiii sana

  • @zoey2635
    @zoey2635 3 ปีที่แล้ว

    Vero mungu anakuona

  • @fridahkarimi5510
    @fridahkarimi5510 3 ปีที่แล้ว

    Zablon patia yesu kristo maisha yako,umejaribu kila kitu,surrender your life to JESUS christ,he will set you free from the bondage of pain,defeat,error,failure,God will restore your life if you obey him and agree to walk with God.

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 3 ปีที่แล้ว +6

    😭😭 jamani pore tena😭

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +2

    Number one 💃💃💃

  • @obedmwakipesile3048
    @obedmwakipesile3048 3 ปีที่แล้ว +1

    Ningekua mgum Serengeti ningeenda hapo stationary niulizie hata bei ya pen huyo vero anaroho mbaya sana

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 3 ปีที่แล้ว +1

    Zabroni kama unasoma izi comment achana na waganga baba ilo jina lifute ktk maisha yko ilo la chief ..baba kama utoacha waganga Utofaniliwa kamwe..kama ujafunga malango ulio yafungua baba utaishia pabaya..kule gamboshi kule utaludishwa tena na itakua milele na milele unateseka..ww ni msabato mludie Mungu wko soma maandiko shika amri10 za Mungu.. waganga awawezi kukusaidia ww maana wao nao ni binadamu na wanategemea dawa za kuzimu so watakusaidaje???mludie Mungu kaka we ni msabato kml ..tangia dunia kuumbwa akuna nabii yyte alie wahi swali j2 au ijumaa wote kina Musa waliswali jmos sabato so we umezaliwa kwenye sabato then unateseka??vp wale wasio jua neno sabato nao watasemaje??maangaiko yote ayo lait ungemuweka Mungu mbele basi saiz ungekua mbali..gamboshi kwa macho yko uliambiwa kama bible ndio kitabu takatifu shetani wachawi majini awawezi kishika wala gamboshi awawezi taja jina la Yesu maana ndie jina lenye nguvu akuna jina kama ili ndio maana gamboshi wanamuita yule mtu..sio gamboshi tuu ata majini awawezi taja ilo jina wala salamu awawezi..ushawah sikia jini anasalimia bwana Yesu asifiwe??story zoteee sijawah sikia ata siku moja ayo mambo zaidi tunaona apa ktk story majini wanaenda msikitini au madrassa au wanasalimia ile salamu ya waislam. ..kwaiyo kama ujaludi nyuma kaka utajuta

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamdhululilahi kama ume toka msamehe mama

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana brother 😊

  • @didasrichard3068
    @didasrichard3068 3 ปีที่แล้ว +1

    Dope

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 3 ปีที่แล้ว +2

    Vero ana roho ngumu loh😏😏, pole chief

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi naona ukienda kwenu unapata matatizo

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo ulikuwa hutoi sadaka ukipata unajisahau sana ndo maana ulikuwa unafanikiwa gafla unapoteza jiwekeke karibu na Mungu wako

  • @titinmbega4128
    @titinmbega4128 3 ปีที่แล้ว

    Waah 😢

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana mungu akubariki sana

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 3 ปีที่แล้ว +1

    Majiran bwana....yaan usiku ukivusha dem asee hata saa nane usiku watajua...ila uibiwe au changamoto nyingine aki wanakwambia hawajui

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭Pole zabron muombe Mungu utafanikiwa tu

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Yani kimaisha ukipata mwanamke muaminifu shukuru sana aiseee

  • @omarymalenge4856
    @omarymalenge4856 3 ปีที่แล้ว +3

    jamaa kapitia maisha ya kila rangi asee ❗

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +2

    Achana nawanawake wanakufilisi buree kama watoto unao nn watafuta nn zaidi???kama hamu siku moja mojaa hutokosaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah jamaniii pole Sana Dunia inasiri kubwa Sana kunamambo huwezi amini wanawake daaaaah

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 3 ปีที่แล้ว +1

    Zabron, kila ukisumulia ni mikasa tu. Ila naamini kuna siku mambo yatakaa sawa tu

  • @bragajohn8944
    @bragajohn8944 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaa kila anapoenda anaanza Maisha upya dah inakera sana

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli br hizo pesa zilizopotea zimeniuma kamazangu vile

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 3 ปีที่แล้ว

    Zablon Mungu anakupenda

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว

    aiseee unajera huna kosa 😢Pole mzee baba

  • @mk-ed5py
    @mk-ed5py 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee yaani ukisikia maisha ni safar ndefu ndo hii sasa

  • @victoriakyara8000
    @victoriakyara8000 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh mateso bila chuki yanaendelea isijekuwa hilo chata mkononi linakutesa Zablon

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว

    Pole saana

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Aisee mkosi juu ya mkosi

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว

    Dah! Mi hao wote walionitenda ningelipiza kisasi. Yaani wangekiona chá mtema kuni.

  • @mwitawakimara3649
    @mwitawakimara3649 3 ปีที่แล้ว

    Pole kaka

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana umetuwaishia kidogo leo

  • @ambassadorkateme5860
    @ambassadorkateme5860 3 ปีที่แล้ว +4

    Zabron Mambo vp,upo vzr kk,kumbukumbu zako nzr

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

      Ulikuwa nae gerezani nini?

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 3 ปีที่แล้ว

      @@abbyadams8691 😀😀😀😀😀

    • @عباسعباس-ش9ه4ت
      @عباسعباس-ش9ه4ت 3 ปีที่แล้ว

      Du haya maisha unakwa tajili unakwa masikin mtihani sana

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 ปีที่แล้ว

      @@عباسعباس-ش9ه4ت Zabron mzembe sana.Kwa umri wake kapata zaidi ya milioni 200 aafu zote kwishiney??!!! Pesa yake inapotea kijinga jinga sana.

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว

    Duuu pole sana broo

  • @joycekelvin5434
    @joycekelvin5434 3 ปีที่แล้ว

    Leo mapema safi sana

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahisi ungebalisha mambo mengi ungefanikiwa sana nadhani wengi mmenielew maana safari hua inajirudi pale pale idont know why?

  • @halimaaa3860
    @halimaaa3860 3 ปีที่แล้ว +2

    🙌🙌🙌🔥🔥🔥😁

  • @rehemambito7989
    @rehemambito7989 3 ปีที่แล้ว

    Zablon shida yako huwa humkumbuki Mungu pia,Mungu anakupenda sana amekusaidia sana lakini akili yakumkumbuka huna kabisa .

  • @victoriamwalonde8626
    @victoriamwalonde8626 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Zabron

  • @suleimanmustapha101
    @suleimanmustapha101 3 ปีที่แล้ว +1

    Bint Mahariq ta3al hinaa al-hikaayah tastamirru Al aana❤️❤️❤️❤️

    • @shahama6663
      @shahama6663 3 ปีที่แล้ว

      Daa pole sana😭😭 kwamapito unamoyo sana nami nimejifunza mengi sana kupitia istolia yako

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      Nshafka shkuran ❤❤❤❤❤❤

  • @tynoblack5996
    @tynoblack5996 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke ambaye hawez kukusaliti ni MAMA yako tu..yey anaweza kukuvumilia katika hali zote ila sio hawa wengine

  • @mwajiranimesalimu5509
    @mwajiranimesalimu5509 3 ปีที่แล้ว

    pole sana zabron ..yani hapo mwisho ndo umeniacha hoi eti pili pili ndo tiba

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani pore sana kaka

  • @neemamwambwaro9931
    @neemamwambwaro9931 3 ปีที่แล้ว

    Chif pole kw uliopitia, lkn kuna elim napata kuptia maisha yk uliopitia ndg pole sn.

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo umetufanyia surprise brother

  • @IANA2030
    @IANA2030 3 ปีที่แล้ว

    Omg pole sana Zabron.

  • @biambarak5298
    @biambarak5298 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa matatizo

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake wengine kweli ni mashetani Yani huonei mwenzako huruma umemzingizia tena humuonei huruma

  • @anitamageni3487
    @anitamageni3487 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka zabron nimependa unavocheka 😄😄😄

  • @wildatmsellem7531
    @wildatmsellem7531 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahah eti misukule shirikiana nao😂😂

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว

    mmmmh yaani ni mikasa plush mikasa 😢daaaa

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว +1

    Nasubiri number 55 ikiendelea

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 3 ปีที่แล้ว

    Eeeh Zab mateso nayo umeyaona kwa kweli

  • @jacksonnyange5334
    @jacksonnyange5334 3 ปีที่แล้ว +2

    Samsingiiiii🤣🤣🤣

  • @maryamumapenzi1257
    @maryamumapenzi1257 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakufatilia sana tangie part one Zabron

  • @ruthkwamboka9082
    @ruthkwamboka9082 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja Hadi mwenzo woee maisha

  • @mussajuma3100
    @mussajuma3100 3 ปีที่แล้ว +2

    Mill 60 na unamtumia tena elfu 20 ???

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo kakayako Mungu atamlaani kabisaa mana hiyo helaa ndefu sanaa mm nakuendea kwa babu🤣🤣🤣

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 ปีที่แล้ว +3

    Ivi huy zabro ni binadamu wakawaida kweli!!?

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 3 ปีที่แล้ว

      Anatumiwa na shetani ..uoni jina analo jiita?ni jina la mizimu so unazani ataendelea?sijawah ona msabato kama uyu ktk maisha yngu...msabato anaenda kwa waganga 🙌🙌🙌

  • @carolinenyambura1621
    @carolinenyambura1621 3 ปีที่แล้ว

    Pole kaka vero mungu anakuona

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 3 ปีที่แล้ว

    Davista unajua sana kutegea et unajichelewesha ili mmalize sawa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +1

    Duu umepewa kazi ngumu kulingana vile ulikataa vile walitaka sasa wetezekaa kwazamu 😢😢😢😢😢😢😢huko kupigwaa jamani yani Mateso bila chuki

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana 😂😂😂😂

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 ปีที่แล้ว

    Verooo mpaze mjinga huyo 😂😂Nimecheka et vero wwwwe Imekuuuma davido pole

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว

    Pole kaka zabron huyo mwanamke ungekaa ukajifikiria wala alikua sio mkweli

  • @jacklineakoth1016
    @jacklineakoth1016 3 ปีที่แล้ว +4

    Piupiu Ni sauti ya mnyambo zabron😂😂😂😂inasemwa (P. O.P)

    • @kcpokepher5481
      @kcpokepher5481 3 ปีที่แล้ว

      Uko poa#jack line

    • @jacklineakoth1016
      @jacklineakoth1016 3 ปีที่แล้ว

      @@kcpokepher5481 kabisa na wewe

    • @kcpokepher5481
      @kcpokepher5481 3 ปีที่แล้ว

      Nipo aiseee 0748 701808 nicheki please!

    • @jacklineakoth1016
      @jacklineakoth1016 3 ปีที่แล้ว

      @@kcpokepher5481 code number Ni ya tz ama kenya? Ni ya watsap kweli?

    • @asiaside9558
      @asiaside9558 3 ปีที่แล้ว

      😂😀😂😂😀😀😂

  • @janendzadze7179
    @janendzadze7179 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya marasta

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 3 ปีที่แล้ว

    Zaburon unarudi kwa mama bada uende kwa mke wako, alfu wewe ni mwepesi Sana na maisha, kuna funzo uko nayo,

  • @عباسعباس-ش9ه4ت
    @عباسعباس-ش9ه4ت 3 ปีที่แล้ว

    Asisee pole sana kaka yani mungu anakusimamia kweli

  • @angelokihaka7216
    @angelokihaka7216 3 ปีที่แล้ว

    Noumaaaaa

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    vero wewe mungu anakuona

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah w kwanza 🙄💃🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana zabroni. Sasa mganga wa kienyeji jamani anatibuje mguu ulovunjika kama sio hospital