UST. MBOGO ATOA SIRI YA MTUME MUHAMMAD KUPAA KWENDA MBINGUNI KAMA YESU NA UKWELI WA JIWE JEUSI MAKKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 277

  • @Ayxha12Zanzibar-h9u
    @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ndugu waislam watukufu kama tunavyoitana,
    Mungu akipanga jambo, hapangi kwa makosa. Anapanga kwa kujua mpaka litakalojiri kuwa mwanadamu utaliweza au hautoliweza. Kusema Muhamad akaenda kuomba apunguziwe ibada huo ni uongo wa saa sita mchana, maana yake ni kuwa uyo ALLAH hakujua la mbele kuwa waislam wa leo hii wangeshindwa kuswali mara 50 kwa siku ila hali mara 5 ni mtihani. Ivyo basi kupitia pointi iyo, uyo ALLAH apo aliemuomba Muhamad, anaemuabudiwa na waislam mpaka leo hii sio Mungu. Kuulinda UONGO ni kazi ndugu zangu. Tuamkeee
    Takbir

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา +1

      @Ayxha12Zanzibar-h9u ili jinga kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 kwo kwaakiliyako unataka kuniambia hata shetani ilikuwa nimakosa kuumbwa na mungu?

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u วันที่ผ่านมา

      Uumbaji na mitihani/mapitio anayowekewa mwanadamu wapi na wapi, basi ata Muhamad alikosea kumuumba, kwa maana baadae alikuja kubaka mtoto na kuingilia wake za watu na wadada wa kazi

    • @TheAlman
      @TheAlman วันที่ผ่านมา +1

      @Ayxha12Zanzibar-h9u vipi kuhusu yusufu mume wa mama yake mungu wenu tunaambia pia na yeye aliolewa na miaka 11 vp hapo hakubakwa?

    • @TheAlman
      @TheAlman วันที่ผ่านมา +1

      @Ayxha12Zanzibar-h9u ukichunguza juzi tu hapa tumetoka kusuruhisha ndoa sehemu furani kwa mzee mmoja hapo kaozesha binti yake akiwa na miaka 12
      Alafu sheria hiyo hiyo pitia ya Uingereza na Tanzania angalia inasemaje acha kukurupuka

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u วันที่ผ่านมา

      @TheAlman ushasema unaambiwa, maandiko na umbea ni tofauti. Toa andiko acha umbea mtoto wa kiume. Ukitaka hadithi za Muhamad na uzinzi sema nikuelekeze kitabu cha kwenda kusoma.

  • @TheAlman
    @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +3

    Taqbirr Allahu akbar

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 วันที่ผ่านมา

    Sio Kila Ibada ni Wajibu/lazima kwa Waislamu wote.
    Kuna uwezo wa Mali/Fedha na Afya ya Mwili., Hali/Mazingira
    Allah haikarifishi Nafsi isokuwa na Uwezo nalo hilo Jambo/lbada .
    Kama huna uwezo wa kwena Makka kwa Kukosa Fedha/Mali na Afya Sheria/Uislamu unakutaka Ufanye Ibada nyengine ambazo unaziweza Kuzifanya.
    Tatizo Wakristo hamsumi kwa lengo la Kutafiti kwa Kujiridhisha KiElimu/Kisansi bali zaidi mpo ktk Kupiga Porojo na Kupinga Uislamu na ya Uislamu tu !!!🙌

  • @TheAlman
    @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +2

    Natuendelee kujifunza vitu muhimu sana na mwalimu wetu mbogo

    • @Num3er38
      @Num3er38 2 วันที่ผ่านมา

      Kabisa kaka, somo la leo ndo amethibitisha kuwa Quran haijashushwa, maandiko mengi Muhammad na wenzake walichukua kwenye Biblia. Aibu kinoma, huyu Mwalimu leo kazingua sana, mwanzo mwisho anasoma Biblia kuonyesha miongozo ya waislam.

  • @SaidPandu-x2l
    @SaidPandu-x2l 2 วันที่ผ่านมา

    Upo sawa mwalimu

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา +2

    Muhammad alifufua mtu mwenye urefu wa kilomita zaidi ya 10, kaenda mbinguni akarudi, ajabu kaenda kaburini hajarudi adi leo.
    Mimi nina wasiwasi itakuwa Allah kam'snitch mwamba.
    Mimi ninavyomuleza Muhammad asingekubali abaki kaburini allafu YESU KRISTO AWE HAI.
    Mwamba hakubariki kushindwa😅😅
    Ila Muhammad 😂😂😂😂😂😂 respect 🤐🤐

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂 akirudi nampa jero anywe maji.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +2

    SIMULIZI MWALIMU WA WAISLAM ANATOA SIRI APO BILA KUJUA, ANASADIKI KWENYE BIBLIA.
    Hivyo kuanzia leo waislam wawe na adabu na BIBLIA TAKATIFU. Maana ndio mwongozo wao, wameiga mambo mengi sana ya kiimani.
    Walikosa mafunzo ya UZINZI TU, ambayo Muhammad aliongezea mwenyewe kwenye vitabu vyao.
    Takbirrrr

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 3 วันที่ผ่านมา

      Kama tuiheshimu bibilia mwambiye kwanza alikuja nayo mungu yupi na mtume yupi tutajiye kwanza mana hibilia inasema mungu na yesu na malaika hawajui kamwee kitabu kiitwacho bibiliaa

    • @Khalidmghosi
      @Khalidmghosi 2 วันที่ผ่านมา

      Watu hufikiri torati n ya wakristo, wakristo hawana vitabu babu

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @@Khalidmghosi DUH, ILA WAISLAM 😂😂😂😂😂😂
      Yesu mnasema muislam, Ibrahim umemfanya muislam na leo hii mnasema hatuna vitabu. Kwa iyo adi BIBLIA NAYO MNATAKA KUTUNYANG'ANYA.
      Ila Muhammad sio poa, mmemrithi vile vile, kama alivyokuwa anachukua wake za watu na nyinyi mnataka kutunyang'anya kila mnasema chenu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
      Acha bangi mdogo etu, mmekuta kila kitu kuanzia UKRISTO, BIBLIA na ata YESU KRISTO Muhammad kamkuta na kamuacha. Poleni nyinyi nabii wenu mushamzika. Takbirrrr

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @@SabihaibrahimRajabu ndo alivyokufundisha mama ako ivyo, maana ayo maneno ata kwenye kitabu cha Muddy quran hamna.

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 2 วันที่ผ่านมา

      @Jamal22-o5n bibilia ya wazungu mbona yamo unaumiya kwa maandiko yenu wenyewe muliyotiliwa na miungu yenu ya kimarekani

  • @Num3er38
    @Num3er38 2 วันที่ผ่านมา

    LEO AMEONGEZEKA BIBADAMU WA PILI KWENDA MBINGUNI.
    BAADA YA ZUMARIDI SASA NI MUHAMMAD S.A.W
    Noma sana wadau

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 วันที่ผ่านมา

      Endelea Kumpinga Muhammad SAW na Uislamu iili Muendelee Kupeana Barka Kwa Kuhalaisha Ushoga Kila Sehemu hadi Makanisani

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aaaah!mafundisho swahihi ya kiisilamu,hakika tunaongopewa sana

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@sundaystanley5322 unajidanganya mwenyew maan maandiko yanasomwa hadharan huelewi nn au ndo mnakaririshwa tu wenzangu hulazimishwi kua muislam ila kweny ukwel pasemwe mna chuk za Bure yaan maandiko yanasomwa hamuyaelew

  • @TheAlman
    @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yes here we go......

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo Mungu anayepatikana upande mmoja tu wa kijiografia,ni dhaifu mno,na ni WA uongo,Mungu wa hivyo simtaki --- Mungu wa kweli,haabudiwi kwa kumwelekea upande Fulani wa kijiografia,Bali " anaabudiwa ktk roho na kweli,kwakuwa yeye mwenyewe ni Roho " --- mh! Theologian za kuzimu kuzimu tu,zimekaa kishirikina shirikina tu -- " yaani watu wahukumiwe na Mungu,kwa mujibu wa ushahidi wa jiwe,na si neno la Mungu " mh! harufu ya kuzimu kuzimu tu.

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@albertvalentino130 waliamza kugeuka upande huo wana wa Israel kama sisi ila nyinyi wakristo wapagani hamuwezi kuelewa umubimu wake

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 2 วันที่ผ่านมา

      Kafiri ni kafiri tyu

    • @Num3er38
      @Num3er38 2 วันที่ผ่านมา

      MUNGU WA WAISLAM MPAKA UENDE MAKA
      Muddy kazingua sana. Muongo kama Zumaridi

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 วันที่ผ่านมา

      Kila Kitu/Jambo huwa na Mwongozo/Mfumo (Utaratibu) wake na hivyo ktk Uislamu Kuna Utaratibu wake ktk Kuabudu/Kuswali.
      Na kwenye Dharula (Ugonjwa, Ugenini/Kizani au Baharini nk pasipojulikana Kibra unaweza/Ruksa Kuelekea Popote na Cha Msingi ni Kuweka lmaan kwamba Ibada/Swala hiyo ni kwaajili ya Kutekeleza Amri ya MwenyeziMungu na Kutaraji Malipo Kutoka Kwa MwenyeziMungu tu na Si vinginevyo 🙌

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 วันที่ผ่านมา

      ​@@Num3er38Kwani lbada Zote za Kiislamu lazima kwenda Kibra?!
      Uwongo na Chuki Dhidi ya Uislamu na Waislamu vimejaa ktk Ukristo
      Laakin Kuhalaisha Ushoga na Ukafiri/Ushirikina Wakristo hampingi hayo eti mnahamasishana Kupeana Barka 🙌

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +3

    LEO MWALIMU ANATHIBISHA KUWA BIBLIA NI KITABU CHA KWELI, ANAFUNDISHA KUPITIA BIBLIA ILI QURAN ILIO'COPY TUSIIBISHIE.
    Takbirrrr

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Toa hoja acha karere

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +2

      @TheAlman HOJA KASHATOA MWALIMU WAKO, ANASADIKI KWENYE BIBLIA, COPY YENU YA QURAN

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      Kwanza inaonesha kuwa mbogo anajihami kulinganisha Yesu na Muhammad.Hakuna aya yoyote katk Quran inayosema Muhammad kufufuka au kupaa, Muhammad yupo ardhini bado,na mbogo ana ashiria yeye na jopo lake wanajipanga kuongeza aya ya Quran ioneshe kufufuka au kupaa Muhammad wakati mpaka sasa aya hiyo haipo.Pia wakati Yesu alipokuja Muhammad hakuwepo!!!!!!. Hakika mbogo ni muongo

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@edwardntamaboko3414 kweli hata mwalimu wako darasani alipata tabu sana
      Hapo nani kalinganishwa au somo hujalielewa kwanza yesu sio mungu, ukristo sio dini, yesu hajakufa msarabani. Kwo tambu ukristo mafundisho unayoyajuwa ww yalianza kufundishwa baada ya kikao kilichokaliwa roma na kufuta baadhi ya maandiko na mafundisho ya yesu mwana wa mariamu

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@Jamal22-o5n tungekufundisha kwa kutumia qurani je ungeelewa kwri au ndio ungekuwa wakwanza kupinga kama ufanyavyo sasa haya jiulize hayo yali9 zungumziwa hapo tunakusomea kutoka kwenye Biblia na bado huelewi je ungesomewa kwenye qurani unasema nn?
      Ww ni kondoo hujasoma huna elimu huna maarifa huna upeo wa kuelewa kondoo

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 3 วันที่ผ่านมา +2

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah uislam ni njiaa iliyoo nyookaa alhaamdulilaah wakristo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana wakristo msiokua na akili mkiambiwa ukweli mnatapatapa wakristo karibu kwenye uislam njiaa iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam ni bure kumuabudu MUNGU ni bure alhaamdulilaah alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu Akbaar alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah namshukuru mungu kuwa mwislam alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      Acha kuandika upuuzi kaka, jitambue.

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @Ayxha12Zanzibar-h9u ww ndie mpuuzi wakwanza punguza makasiliko kondoo unaesomewa tu walahujui 🤣🤣🤣🤣
      Taqbirr........ Allahu akbar....... ❤️ ❤️

  • @imaakubari-g2p
    @imaakubari-g2p 3 วันที่ผ่านมา +1

    Uongo mzuli sana kwa waislam

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 วันที่ผ่านมา

      Yani pamoja na sheikh kutoa maandiko yote hayo ndani ya bibilia bado wakristo mnasema niuongo basi yiyi alie waloga mungu mwenyewe ndio anajua maana maandiko yote hayo Tena ndani ya bibilia sasa nyinyi mnataka Nini au vitu mnavyoviamini nikama vile angesema nabii kiboko ya wachawi yule mkongo ndio mnavyoviamini 😂😂au vile vya Makenzie wakenya shakahola hivyo ndio vitu vyenu au mwamposa au nabii mkuu geogredavie hivya ahaa😂😂😂

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      @@zaidiissa3714 wewe pepo shindwa, kwenye Biblia hakuna jiwe lililofuta dhambi. Mwalimu wako anaongea wewe unasinzia

  • @parismk7460
    @parismk7460 วันที่ผ่านมา

    Maana ya ibada sio mifano

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k 3 วันที่ผ่านมา

    Waislamu kuangali kibira ni ushirikina wa kishikirisha mungu

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 3 วันที่ผ่านมา

      Nyoo

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Hovyo

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 2 วันที่ผ่านมา

      Sirikwanza. Huo ndio mwisho wa upeo wako

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 วันที่ผ่านมา

      @@SirikwaMollel-y3k Thummun bukumun umuyun

    • @ShakurAKBAR
      @ShakurAKBAR 2 วันที่ผ่านมา

      ALLAH AKBAR

  • @TitusIbrahimu-n8j
    @TitusIbrahimu-n8j 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mbogo mbogo weka sawa hadithi inasema jiwe hilo limekuwa jeusi kwa sababu ya watu wenye dhambi wanaligusa dhambi zinabaki kwa jiwe.

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Toa ushahidi siomaneno yakutoka kwenye akili yako

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 วันที่ผ่านมา

    Ukiwa mchanga wa Neno la Mungu, ukimsikikiza Mbogo unaweza kufikiri yupo sahihi kwa asilimia fulani. Tunawasubiri walimu wa Kikristo waje kumchunguza.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      @@daudimichael7338 Basi msubiri Chikawe aje akwambie waislamu wanamuabudia mnyama,hawana raha kwa kusali,kwaakili za Chikawe waislamu wanaosali mara 5 kwa siku ndio wanamakosa,wakristo wanaokaa kwa bench wiki mara moja ndio wapo sahihi

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +1

      Mwalimu gani sasa au unam refer Daniel mwankemwa? 😂😂😂😂😂😂😂
      Mara aseme yesu mungu mara sio mungu mara aseme alkuwa mtoto wamungu
      Nawakati biblia inasema mungu hana kivuri cha kugeuka geuka 😂😂😂
      Mulishapote wakristo hamna dini acheni dawa iingie

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@TheAlmanDini ni ya kikristo, waislamu ndio hamna dini bali matunguri tu nk

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@edwardntamaboko3414 tuambie basi yesu ni nani ana uhusiano gani na Mungu -

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 3 วันที่ผ่านมา

      Ww ndie jinga kweli badala utafute ukweli na uhalisia mwenyewe unasubiri wachungaji wako mpaka wakusaidie kujibu wakati YESU anasema watu wake wanaangaamia kwakukosa maarifa. Jisomee usiwe bendera fuata upepo na kusubiri utafuniwe Wewe umeze kama kifaranga wakati akili unayo na unaweza kufikili na kutafakari pia.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huwezi kupata sehemu nyingine, ili hali ayo ni maandiko yaliopo kwenye vitabu vyetu. Aah jamani uyu Mwalimu.
    Hakika uislam bila uongo, ni marehemu.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa si muyafate,au bibilia ukishaiweka kwapani ndio imetosha

    • @SaidIsmail-f1j
      @SaidIsmail-f1j 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe hauna elimu watu wanaelekea kusudo kwa kuangalia upande mmoja ni kwasababu kule maka ndiko kwenye harshi ya Allah

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @SaidIsmail-f1j Allah ndo nani jamani, waislam acheni utumwa mpaka leo. Kutawaliwa na koloni la kiarabu haimaanishi muburuzwe kwa kila kitu. Allah sio Mungu Guys.

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      @@ZayyanaBamuni shoga angu Quran haijashushwa, ni copy ya Biblia. Najua ni aibu kwa Muhammad aliesema ameteremshiwa, ila ndo ivyo ukweli uko wazi. Japo ni ngumu kukubali.

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Jamal22-o5n muisraili anaongea kiswahili huku 😂😂😂 alfu yesu kafa kama wazee wazamani akafufuka nan kamfufua mungu yup na yeye ndo mungu au kajifufua? Na watu walivo wahuni waka mpiga mungu kama mwinzi

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +2

    Swala hamsini kwa siku, Ila waislamu. Kwa iyo Mungu wa waislam ana'bagain. Ukimlilia anakupunguzia bei au idadi 😂😂😂😂😂😂

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Yaani hueleweki unapinga una bisha au unapotosha? Mbona kama huna kitu kichwani? Toa hoja acha makasiliko

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

      @TheAlman DOGO UISLAM UMEJAA UONGO, ACHA KUWA BONGO LALA, MUHAMMAD KAENDA MBINGUNI NA KURUDI, JIWE LIMESHUSHWA TOKA PEPONI, QURAN IMESHUSHWA TOKA MBINGUNI NA MUHAMMAD AKITAKA KUTEMBEA NA MKE WA MTU, KUOA MTOTO WA MIAKA 6, AMEPATA UFUNUO TOKA MBINGUNI. NA UNAAMINI, WEWE NI MZIMA KWELI? AMKA DOGO.

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@TheAlman anamaanisha Mungu akipanga jambo, hapangi kwa makosa. Anapanga kwa kujua mwanadamu utaliweza au hautoliweza. Kusema akaomba ampunguzie ibada maana yake uyo ALLAH hakujua la mbele kuwa waislam wa leo hii wangeshindwa kusali mara 50 kwa siku. Ivyo basi kupitia pointi iyo, uyo ALLAH munaemuabudu sio Mungu. Kaka angu kuuficha ukweli ni kazi. Amkaaaaaaa

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @Ayxha12Zanzibar-h9u yani nyie ndio walewale musiojielewa. Kwani musa sialiwaahidi wana wa Israel kuwafikisha inchi ya ahadi tena mungu wenu ndio alimpa mussa hayo
      Vp mbona musa aliwaacha njiani? Akashindwa kuwagikisha njiani? Je ahadi ya mtumishi wake haikutimia je mussa alikuwa muongo? 😂 😂 😂 😂 😂
      Kwamwenye akili timamu hawezi kuambia mungu mmoja anamatabaka matatu huyohuyo awe mwana, alafu awe baba, alafu awe roho? Achana na upagani njoo kwa allah upate kuokolewa usibaki kwenye upagani

    • @Num3er38
      @Num3er38 2 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli Muhammad aliekutana nae sio Mungu Mwenyezi, ni mchizi wake ALLAH. Maana hasahau wala hakosei, na anajua ya mbele yooote. Kama klivyo leo katika maisha ya kawaida, Mungu hakupitishi njia usioweza kupita kamwe.

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา +1

    Haya waalimu wakristo njooni mutwambie waislamu tunamsujudia mnyama😂

  • @fettymcharuko7341
    @fettymcharuko7341 3 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂wagalatia hawana hoja sheikh anatoa madini wenyewe wanacomment porojo😂😂😂 maneno ya sheikh ni kuwaonyesha UISLAM ndani ya bibilia japo hiyo bibilia inaugulutu wa shatani😂😂😂

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      Mbogo amedanganya matayo 8 waliokuwa wakiambiwa ni wayahudi na waliokuwa wakiabbudu Mila za mababu eti kunawa nk.Haya ndiyo mambo ambayo hata waislamu wanayafuata,kwa hiyo wanao abudu mambo ya binadamu ni waislamu

    • @fettymcharuko7341
      @fettymcharuko7341 2 วันที่ผ่านมา

      @edwardntamaboko3414 hakuna kudanganya elimu Yako ni ndogo na haujui Quran, nyie ni wafuasi wa Paulo Kwa yesu mnajipendekeza tu ndio maana nawaita wagalatia mnafuata pumba za bibilia yaani maneno ya shetani kwanza hakuna kitabu cha mungu kinaitwa bibilia japo Kuna ngano humo ndio madini ya sheikh hapo huwezi kuelewa wewe mgalatia

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n วันที่ผ่านมา

    UISLAM SIO DINI, NI VITA.
    QURAN “9:5 - Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.”

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 วันที่ผ่านมา

      Kwani Vita Kharamu/Dhambi ikiwa ni Vita vyenye Kukubaliwa na MwenyeziMungu?!
      Na Ile Vita ya Msalaba ilikuwa ni Kumuimbia Bwana/Mapambio Wala haikuwa Vita?!
      Endeleeni Kupinga Uislamu na ya Uislamu Ili Muhalalishe Ushoga na Kupeana Barka Makanisani Kwa Kubarki Maasi/Uovu 🙌

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 วันที่ผ่านมา

    Kila Mtume/Nabii na Umma wake walikuwa na lbada zao Kimatendo japo Mitume na Manabii wote wa Kweli (Mmitume na Manabii wa MwenzeziMungu) wote ni Waislamu.

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo wachawi Wana nguvu kuliko kitu kilicho Toka kwa munguu

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika kuna mengi ya kuchekesha kwenye Uislam, Jiwe ukilibusu linaondoa dhambi.
    😂😂😂😂😂😂😂

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 3 วันที่ผ่านมา

      Usichokijua bible inazungumzia pia ilo jiwe we Ka naukafiri wako

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@Jamal22-o5n huyu tusimjibu hamna kitu humu hata elimu hana kichwa maji

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @@brothermuadhwam890Hakuna jiwe la kuondoa dhambi mdogo wetu, toa pombe zako. Na cha pili Muhammad kila alichokuwa anakifanya mwongozo wake ulikuwa ni Biblia, ndo mana vingi ambavyo Mwalimu wako anavisema anatumia Biblia kuthibitisha.
      NILIWAAMBIA UKRISTO NI KILA KITU, BIBLIA NDO MWONGOZO WENU, NDO MANA MNASEMA HATUFUATI, MAANA YAKE NYINYI MNAFUATA YA KWENYE BIBLIA. MMETU'COPY, HUO NDO UKWELI.

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @@TheAlman Ungekuwa na elimu usingekubali uambiwe Quran imeshushwa wakati Mwalimu wako apo ndo anaitumia kuthibisha mwongozo wenu kuwa sahihi. Kwanini asitumie Quran kiluthibitisha, kwa sababu Biblia mdo inahukumu vitabu vingine vyote.
      Na cha mwisho kunijibu mm ww ni lazima, maana maneno yangu yanachoma sana, maana ni kweli. Ningekua naongea kitu ambacho hakipo, kweli mungeweza kutokujibu.
      Takbirrrr

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@Jamal22-o5n hivi ww unazni kama angetumia qurani ww sindio ungetoka roho kwakupinga
      Yeye ameamuwa kutumia maandiko ya pande mbili ili kukupa ww elimu kwaana hata kama angetumia qurani ungesema huiamini ndiomaana tunatumia kukuonesha pande zote mbili ili upate kuelewa.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +1

    Simulizi unamuumbua Mwalimu, yeye kakuambia hakuna kitu kingine kimetoka peponi zaidi ya jiwe, kumbe tena kuna MTI. 😅😅😅😅😅
    ANAKUAMBIA SIKU NYINGINE MTAONGEA

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 2 วันที่ผ่านมา

      Uelewa wako ni mbovu mti hauna mahusiano na Hoja hii ndiyo maana mwalimu amekataa kutoka nje ya hoja. Elewa wewe mkristo

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      Alafu anakubali, wakati kasema hakuna kitu kingine kilichoshuka toka peponi zaidi ya jiwe. Kudanganya kazi jamani, khaa

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      @@daawaonlinetv4486 wewe ndo ubongo wako una shida, sio hoja, kasema hakuna chochote kilishushwa toka peponi zaidi ya jiwe. Ili hali upo 🌲. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu. Ndo mana ata alieandika Quran amesababisha idhalilike kwa mapungufu na makosa yaliyomo ndani yake. Alafu unaambiwa imeshushwa, Mungu hakosei kaka. Amka

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hilo jiwe Al hajar Al aswad ni kimondo kama kilichoko dondoka kule mbozi Maqureish wakakichukuwa wakaliweka kwenye Kaaba na kusema limetoka Mbinguni 😂😂😂 Al hajar Al aswad ni kimondo

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@paulmushi2428 toa ushahidi ili tukuelewe mbona povu ila paulina unakirupukaga sna

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 วันที่ผ่านมา

      Yani maandiko yote aliyoyatoa sheikh Tena kutoka kwenye bibilia badotu hamuamini nyinyi wakristo kweli walimuwenu mnaowaamini nikina nabii kiboko ya wachawi na yule wakenya Makenzie washakahola hao ndio mnao wamiini kina mwamposa nabii mkuu geogredavie hao Ahhaa😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 วันที่ผ่านมา

      ​​@@TheAlman Kwa hiyo na watu wa Mbozi wachukue kimondo wakibusu na kukiadhiria mikono na kukizunguka na kusema Allah Akbar? Narudia tena Al hajar Al aswad ni kimondo kama Cha Mbozi Mbeya

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 วันที่ผ่านมา

      ​​@@zaidiissa3714 Kutoa maandiko mengi SI hoja je anayoyatoa anayatafsiri Kwa usahihi?

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      Muhammad angekuw hai mpka leo, angepata tuzo ya uongo kidunia

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano วันที่ผ่านมา

    Hivi mmezidiwana hoja na wakristo meamua kusema na mtume nae amepaa

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@WazaeliStefano kasome ww au ushamaliza kuijua Kur Ani au ndo chuki maan ayo maneno yapo vitabuni au ndo mikate ya kanisan yameondoa akili zenu kabisa ni wat wakukataa tu yaan wakristo mnafikirisha kusoma hamsomi mkisomewa maandiko mnabisha yaan heee nyiny kwel bilisi bab enu

  • @TitusIbrahimu-n8j
    @TitusIbrahimu-n8j 3 วันที่ผ่านมา +1

    Na mbona mnalizunguka mkiwa na nguo zinazoonesha miili yenu ya siri?

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@TitusIbrahimu-n8j wapi na wapi au unazani ni kanisani pale? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Achu kupotosha jamii

  • @Num3er38
    @Num3er38 2 วันที่ผ่านมา

    SOMO LA LEO MWALIMU KAIDHALILISHA QURAN NA UISLAM, IMEONEKANA WAZI ALIEANDIKA QURAN LENGO LAKE KUWATOA MAKOSA WAKRISTO KUTOFUATA MUONGOZO WA BIBLIA, NA WAO NDIO WANAOFUATA. KWA IYO MUISLAM KILA ACHOFANYA MSIKITINI, AMEFUATA ANDIKO LA BIBLIA.
    NA QURAN PIA IMEIBA MAANDIKO HAYO NA KUKOPI.
    KWA MAANA IYO NI WAZI QURAN HAIJASHUSHWA KAMWE. UONGO LEO MWALIMU KAUWEKA WAZI.
    MUHAMMAD KATUPIGA 😅😅😅

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +3

    LEO MWALIMU ANATHIBITISHA KUWA BIBLIA NDIO MWONGOZO WAO, ISIPOKUWA MUHAMMAD ALICHAGUA YA KUSADIKI, NA AKACHAGUA YA KUYAPINGA. KWA IYO QURAN JAMANI HAIJASHUSHWA, ACHENI UPUUZI. NI COPY YA BIBLIA. MSIKILIZENI MWALIMU WENU. SOMO LAKE LA LEO NI BIBLIA TU KWA ASILIMIA KUBWA. Mwenye macho na masikio aruhusu vifanye kazi.

    • @hemedbamja3197
      @hemedbamja3197 3 วันที่ผ่านมา

      Kumbe Quran ni copy ya biblia,basi afadhali umetusaidia kujua kwamba Yesu si Mungu(kwa mujibu wa Quran ambayo imekopi hivyo toka kwenye biblia)

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 3 วันที่ผ่านมา

      Unaangaika na yap acha usenge kuma wewe waislamm wanaamin yesu alikuwa muislamm kwahiyo biblia inathibitisha hivyoo were unaangaika ukristo in dini yakizungu

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 3 วันที่ผ่านมา

      Sawa lkn wewe ufati bibliaa ndio maana yake waislamm wanaamin mitume wote walikuws waislamm unaangaika nannnnnn

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@hemedbamja3197Aliyewasaidia kujua Yesu siyo Mungu ni mhuni aliyetaka mumuabudu yeye (Herode) yaani wayahudi waliokuwa wakiumia na kubabaika kuhusu Yesu alivyokuwa akithibitidha kuwa yeye ni Mungu.Sasa kutoka kwa Herode yaani wayahudi ndiyo uislamu ukatokea humo

    • @hemedbamja3197
      @hemedbamja3197 3 วันที่ผ่านมา

      @edwardntamaboko3414 : wala siyo sababu ya heroes,bali huwa najiuliza huyo "mungu" aliyetolewa roho na malaika wake,roho yake ilipelekwa wapi alipokufa?nikifikia hapo hata simhitaji herode kunisaidia kujua kuwa yesu si Mungu

  • @ZuberiHafizi
    @ZuberiHafizi 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yani awawaklisto niwatuwajaajusana mwalim anatoa maandiko kutokakwenye iyoiyo bibiliayenu lakinibadowabishi tuu jamani

    • @Num3er38
      @Num3er38 2 วันที่ผ่านมา

      Hatubishi, ila tunachoshangaa ni kwamba kwa nini Quran imekopi Biblia? Maana miongozo yote ya waislam ipo kwenye Biblia. Kwa maana iyo Mwalimu anathibitisha Quran haijashushwa, wamekopi kutoka Biblia.

  • @Ayxha12Zanzibar-h9u
    @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

    Muhammad kwenye Quran utasikia anaongea Mungu mwanzo mwisho, aah kwa kweli aliweza kudanganya huyo baba.

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 2 วันที่ผ่านมา

    Mtume aliacha Aya 7 tuu Hadi anafariki,mengine Niya maswahaba .

  • @Jpn_Studios
    @Jpn_Studios วันที่ผ่านมา

    Ahaha hatari na nusu ko wasio na uwezo wa kufika huko hawajafungamanishwa na Mungu na hawatakuwa na shahidi siku ya kiama...???

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +1

    AYO MASWALI YA NAMNA YA KUFANYA IBADA KWA WAKRISTO NA WAISLAM WANAVYOFANYA. UYO ANARUDIA SWALI, WAALIMU WAKE AKINA SULE NA MAZINGE WALISHAPEWA MAJIBU. ANAPOTEZA MUDA KWENYE IYO MADA

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 3 วันที่ผ่านมา

      Kupinga ni sifa ya makafiri wote duniani

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hatuogopi wapiganaji sisi waislamu tupo kwenye mwongozo hatuna miungu watatu sisi tunadini ya haki

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@SabihaibrahimRajabuKupotosha ni sifa ya makafiri yaani Magaidi ambao ni waislamu kote duniani

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@TheAlmanIla mna Mungu jini, Mungu wa makureshi nk,sasa hao ndio Mungu?

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@TheAlmanHuwezi kuogopa wapiganaji na wakati nyie waislamu ndio wapiganaji yaani Magaidi haswaaaaa

  • @TitusIbrahimu-n8j
    @TitusIbrahimu-n8j 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu hana seemu yakishukia au mrango kwenye mbingu. Mungu yeye anashukia seemu yoyote,hata kwa musa alimtokea seemu tofauti na apo yelusalemu

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Yaani ww hata maandiko huyaoni? Au ushabiki unakuponza

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Kasome mwanzo 28:10 acha kupinga usichokijuwa kasome
      Uislamu ndio dini ya kwli.

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@TheAlmanQuran 2:97 uislamu ni uongo na uadui kwa malaika

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 3 วันที่ผ่านมา

      Kwan umeelewaje mbna huelewi unavamia tu ilo jambo atahalitaki ugumu maan jambo lakawaid uo niutaratibu kama utaratib mwengn tu acha chuki

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@edwardntamaboko3414mungu atakulipa tu ipo siku utajutia Bora kama huna uhakika wa Imani yako Bora usitukane maan nakusikitikia usie soma vitabu maan ibada zenu ata kweny bible hazipo na wala hamumfat yesu munamfata mdomoni tu munge mfata mngejikuta waislam tu ila hujachelewa soma bible kwakina utajua Kam ipi dini sahhi

  • @hajisalimmhina3983
    @hajisalimmhina3983 3 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu mbogo unatakiwa uwe kama mwalimu hasa Silaha unazo lakini utimiaji wako ni mdogo nina maana ufundishaji wako uko chini aueleweki vizuri, tunaomba rekebisha uzungumzaji wako fundisha hasha ili watu waelewe hiyo ndio changamoto uliyonayo.

    • @rizikiyahya5254
      @rizikiyahya5254 3 วันที่ผ่านมา

      Unamaanisha afanye nini ambacho hafanyi? Nashauri utafute namna uwasiliane naye moja kwa moja umpe ushauri wa kile unachoona anapaswa kuongeza

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +2

      Pengine uwelewa wako mgdogo ila wenzio tunaelewa

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hapa huja shauri ila unalaumu, Hayo mawazo uliyo nayo ndiyo unge mpigia mwalimu simu badala ya kulalamika kwenye comment,

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      @@rizikiyahya5254 😂😂😂😂😂 akiacha uongo mutamuelewa, maana hakuna anaedanganya alafu akaweza kunyooka. Na isitoshe leo ametufumbua kuwa Quran haikushushwa, wamecopy kwenye Biblia, na pia kathibitisha Biblia ni kitabu cha kweli. Maana ndo anatumia kuthibitisha usahihi wa muongozo wa uislam na ibada.

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      @@daawaonlinetv4486 ivyo ndivyo tunavyokumbatia mafundisho ya uongo na matendo ya mtume Muhammad S.A.W. Maana ni aibu ikijulikana kwa wasio waislam, ukweli usemwe tu, ili nafsi ziwe huru.

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS 2 วันที่ผ่านมา

    Duuuh kwa nn co MAKKA bali akaenda Jerusalem's wakati wanasemah makka patakatifu amkeni nyny!!

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 วันที่ผ่านมา

    Kusujudia ni kupigs magoti na sio kulamba udongo na paji la Uso

  • @brothermuadhwam890
    @brothermuadhwam890 3 วันที่ผ่านมา

    Yaan wakristo ingekua mnafata iyo bible mgeingia kweny uislam bila shida maan inajieleza ila baadh ya maneno yamebadilishwa imetiwa mikono kam inavojieleza wenyewe

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ok sawa tunaomba maneno original ili tuyafate hayo, unavyoongea utadhan una uhakika kumbe umesikia viongozi wako,je ww hayo maneno yaliyo badirishwa unayajua

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @yohanamwamkili4397 wew husomi bible itakua bible yenyewe ndo inasema kalamu ya waandishi imeifanya taurat iwe ya uongo nahilo pia nimeskia kwa walim wangu kwan siipo was taurat imetiwa mikono izo ni Aya zenu wenyenu napia unajua km majina zaid ya 1000 yameondolewa mpk apo unabisha bas bisha sisi waislam hatunaga kulazimisha fanyen mnavyojua kaz yet kukumbusha tu

  • @parismk7460
    @parismk7460 วันที่ผ่านมา

    Muongo Sana anazunguka nikiwa nae live nitamkatisha mpaka atalia mbele ya waislam
    Uukimpa muislam aongee mfululizo anapoteza swali anajibu kitu kingine. Kwa kukuvuruga hapo kati
    Kwann Mungu abadilishe kibla?
    Antichrist is Muhammad
    Sababu za msingi za kiroho ni zipi?

  • @ZuberiHafizi
    @ZuberiHafizi 3 วันที่ผ่านมา

    Tatizo waklisto awfatimandiko wanafata wachunganjiwao

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      Wachungaji wanatuhuisha maandiko sahihi ndiyo maana tunawaelewa, nyie waislamu mashekhe wenu ni waongo

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@edwardntamaboko3414 hahahaaaaa yaani maandiko yanasema acha wachungaji wanasema fanya alafu unasema unahuishwa wewe ukosawa kweli?

  • @TitusIbrahimu-n8j
    @TitusIbrahimu-n8j 3 วันที่ผ่านมา

    Na kwa nini hiyo ibada ya maka ilikuwa ikifanya na makafiri kabra ya mhamadi?

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Kwann wayahudi walikuwa wakiabudia ndama? 😂😂😂😂😂

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 วันที่ผ่านมา

      Kwani nyinyi wakristo mnamatatizo Gani au nikwasababu kafundisha sheikh muisilamu ndio maana hamuamini yaani maandiko yote aliyoyatoa sheikh Tena kutoka kwenye bibilia bado hamuaminitu lakini angekua kiboko ya wachawi au yule Makenzie wakenya washakahola mngeamini au mwamposa au nabii mkuu geogredavie hao ndio mnao wamiini hatakama wanasema uongo yie kwenu nisawa lakini muisilamu nimuongo 😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@TheAlman lile jiwe Muhammad alizunguka na kuliita Allah Akbar huyo ndiyo Mungu wa Muhammad

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@paulmushi2428 i didn't get your point exactly? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @TitusIbrahimu-n8j
    @TitusIbrahimu-n8j 3 วันที่ผ่านมา

    Alipanda mnyama aina gani

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

    Ndugu zangu waislam Mwalimu wenu Kibaraka cha Muhammad, Dr Zakir Naik anakuja bongo. Angalieni atakvyo chezea za uso.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      @@Jamal22-o5n hoja yaleo ni ibada sahihi

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @ZayyanaBamuni Ibada sahihi BIBLIA imeeleza, si unasikia mwalimu wako anavyoisadiki Biblia, na anakiri taratibu zenu zote mmeiga katiba Biblia. Kasoro uzinzi tu ndo Muhammad kajiongeza kwenye vitabu vyenu.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@Jamal22-o5n😂halafu wakristo ni waajabu kweli,ibada walizofundisha mitume km hamzioni,ibada mnayofata ni ibada aliokufundisheni Paulo ya kuimba na kulewa na ibada ya Papa ya kuzagamuamuana wanaume kwa wanaume basi

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @ZayyanaBamuni nishatoa siri za nabii wako wa uongo ushaanza kuchangabyikiwa, mbona bado. Kuna mengu yanakuja, mana kila nasoma magazeti yenu ya kiislam.
      Pole lakini

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 2 วันที่ผ่านมา

    Watu hufikiri torati n ya wakristo, wakristo hawana vitabu babu

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

    MWALIMU SIO IC NI AC.

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Unaangika kutafuta makosa kwa mwalimu ila huwezi kuyapata huyu sio Daniel mwankemwa 😂😂😂😂😂😂😂 pole

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k 3 วันที่ผ่านมา

    Na kwenye msikiti si ni kma jela Na Je waislamu mkiangalia kibira huwa mnatafuta netwok

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Huna hoja punguza makasiriko 😂

    • @SirikwaMollel-y3k
      @SirikwaMollel-y3k 2 วันที่ผ่านมา

      @@TheAlman Sio makasriko Naulisa kwani waislamu paka waangali jiwe jeusi ndo Mungu asikie maombi yao

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@SirikwaMollel-y3k elewa jiwe jeusi sio uwelekeo ila 🕋 kaaba ndio tunaelekea kasome jiwe lilianzia wapi kasome kwenye Biblia mwanzo 28:10 utaelewa kasome mwanzo mwisho

    • @SirikwaMollel-y3k
      @SirikwaMollel-y3k 2 วันที่ผ่านมา

      @@TheAlman kwani unafikiri sijui Lakin hayo ya jiwe ni ya samani Kabila ya yesu hajasulu wakati alisulubiwa hiyo yakushirikisha Mungu ikaisha sasa nikuabudu kwa roho Na kweli

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 วันที่ผ่านมา

      @@SirikwaMollel-y3k kwo unataka kuniambia YAKOBO alikuwa anamshilikisha mungu? 😂 😂 😂 😂 😂
      Yani ww biblia unaijuwa kweri? Mungu mwenyewe anamwambia yakobo Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka. Nchi unayoilalia nitakupa wewe na wazawa wako. Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa. Mimi nipo pamoja nawe; nitakulinda popote uendapo na kukurudisha katika nchi hii. Sitakuacha mpaka nitakapotimiza ahadi niliyokupa.” Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” Yakobo akaogopa na kusema, “Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka hapa ni nyumba ya Mungu na lango la mbinguni.” Yakobo akaamka asubuhi na mapema, akachukua lile jiwe alilokuwa ameliweka chini ya kichwa chake, akalisimika kama nguzo na kuliweka wakfu kwa kulimiminia mafuta. Akapaita mahali hapo Betheli; lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu. Kisha Yakobo akaweka nadhiri akisema, “Iwapo, ee Mungu, utakuwa pamoja nami na kunilinda katika safari yangu, ukinipa chakula na mavazi ili nirudi nyumbani kwa baba yangu salama, basi, wewe Mwenyezi-Mungu utakuwa ndiwe Mungu wangu. Nalo jiwe hili nililosimika hapa kama nguzo, litakuwa nyumba yako Mungu, nami nitakupa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote utakavyonipa.”
      Haya hapo shirki iko wapi wakati mungu mwenyewe ndio asema kwa mtumishi wake yakobo
      Kwa mujibu wako ww yakobo pia mpagani?

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa iyo kumbe hija za waislam zote wanafuata Biblia, ndugu zangu kuficha ukweli ni ngumu. Comparison ya Mwalimu imefichua siri ya UKWELI KUHUSU BIBLIA, KUWA QURAN NI COPY. HAIJASHUSHWA KAMA WALIVYODANGANYWA NA MWAMBA MUHAMMAD

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา +2

      @@Jamal22-o5n hujiulizi wewe km mkristo kwa nini hufuati kitabu chako?wakristo mmeacha mafundisho ya manabii mnachofata ni maagizo ya Paulo

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Kama biblia huwezi kuielewa na huifati je tukikusomea maneno ya qurani utaamini na kuelewa? Tunatumia kitabu chako kukupa elimu ww mpigaji

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 2 วันที่ผ่านมา

      @@ZayyanaBamuni Mimi nashukuru hujakataa kama QURAN haijashushwa. Mmetu'copy kitabu chetu BIBLIA. Muhammad kwa mara nyingine kawapiga, najua imeingia iyo ila hutoitikia kuilinda dini ya waarabu.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 วันที่ผ่านมา

      @@Jamal22-o5nkunakitu nimejifunza wakristo baadhi yenu ni wabishi sana,nikuulize kitu?Unaijua falsa ya uislam juu ya vitabu vya Mlmungu au unang'ang'ana tu Qur-ani imekopy?sio kwa ubaya jaribu kufatilia kwa lengo la kutaka kujua na sio kushindana,naamini utajifunza kitu,na km unajua unachoongea umeamua tu kuwa mbishi basi sawa nakutakia kheri

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

    Bado Mwalimu anadhihirisha BIBLIA wametu'copy kwa wanayoyapenda na kupinga wasiyoyapenda. QURAN NI COPY NARUDIA TENA. Na kumbe msikitini hawaweki viti kwa sababu BIBLIA inasema alitupa viti kwenye nyumba ya ibada iliogeuzwa soko.

  • @TheAlman
    @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

    Yaani wanabadilisha maandiko dini ya uongo ukristo ni uongo mtupu

  • @ApolloOrao
    @ApolloOrao 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan 3 วันที่ผ่านมา

    Mbogo ivi kweli kumfundisha asie kua muislam miujiza ya mtume ataamini kweli? kujua miujiza kama hiyo anafundishwa muumini hawezi kukuelewa huyo unatakiwa umuache aje na maswali yake umfundishe biblia kwanza hayo masomo hamuwezi kuelewana mfundishe yesu sio mungu ni mtume nayale mepesi mepesi lkn eti miujiza ya mtume kwanza hawamuamini mtume ndo ataamini miujiza kweli

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 2 วันที่ผ่านมา

      Ndugu yangu hata Mtume( SAW) Alikuwa mfikishaji suala la kuamini au kuro kuamini siyo kazi ya Mwalimu. Mwenyezi Mungu yeye ndiyo anaye muongoza amtakaye

    • @FadhilZaharan
      @FadhilZaharan 2 วันที่ผ่านมา

      @daawaonlinetv4486 sawa mbogo nakukubali mwlm mzuri kwajitihada zako zakufikisha ujumbe wa ALLAH

  • @TitusIbrahimu-n8j
    @TitusIbrahimu-n8j 3 วันที่ผ่านมา

    Mbogo kwanini ukiwa umeligusa unalitamkia maneno na ukiwa umelishika kwa mikono miwili. Na jee unatamka maneno gani?

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา

      Punguza chuki

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 2 วันที่ผ่านมา

      Njoo usilimu kwanza utafundishwa hayo matamshi

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@TheAlmanacha upumbavu ww unakua kama zezeta, apo chuki ni ipi? Mtu kauliza swali unaacha kujibu una comment upumbavu mliokubaliana kwenye ibada zenu, jibu swal

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@daawaonlinetv4486jibuni swali nyie maamuma hivi mkoje nyie

    • @TheAlman
      @TheAlman 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@yohanamwamkili4397 kwan ww ulisikia mbogo kazungumzia kuna maneno yoyote unasema ukilishika? Ndio maana nasema wewe zwazwa

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu mwalimu apa mimi ndo anaponichosha, Sio Biblia imekubali, BIBLIA NDO MWONGOZO WENU WAISLAM NA QURAN, MAANA MAANDIKO MENGI MME'COPY. BIBLIA NDIO YA KWANZA MMEI'COPY. ALAFU ETI BIBLIA INAKUBALI, QURAN NDO INAKUBALI

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      Ndio sababu tunawaambia hakuna mtume mkristo,mitume yote walikuwa waislamu,ndio maana mafundisho ya mitume yote yanafanana,suali kwako we mkristo mbona hufati mafundisho ya kitabu chako?na siku ukifata mafundisho automatically utakuwa muislam

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ZayyanaBamuniHakuna mtume muislamu kwa sababu kwa waislamu wanaowaabudu wote ni nje ya uzao wa Ibrahim

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      @@edwardntamaboko3414 kwani kwa akili yako waislamu wanamuabudu nani?wallah wakristo mmepotoshwa sana juu ya uislamu,nakuombeeni Mlmungu akufunulieni mioyo ya uwelewa

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 วันที่ผ่านมา

      Kwani haya maandiko aliyo yatoa kwenye bibilia pia huyaamini??? ndio yaleyale nyinyi wakristo bilakudanganywa bado hajaamini maana angesema kiboko ya wachawi au mwamposa au nabii mkuu geogredavie au Makenzie yule wakenya shakahola hao ndio naowaamini lakini waisilamu wakiwaambia ukweli hamtaki😂😂😂nyinyi alie waloga mungu mwenyewe ndio anajua 😂😂😂

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 วันที่ผ่านมา

    Maskini Jamaa bado anadanganya Waislamu wenzake wasiojua kitu. Tangu lini Muhammad akapaa wakati hakuwahi kufufuka! Kusikiliza Huu Ujinga na kuuamini Labda mtu awe mapepe tu.

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

    IPO SIKU ISIYO NA JINA WAISLAM WATATUAMBIA MUHAMMAD NI MUNGU.
    😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      We akili usizifananishe na akili za waristo,Yesu kupewa uwezo wa miujiza ya kufufua tu munamwita Mungu

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kama mulivyo tuambia nyinyi yesu kumfanya kuwa mungu 😂😂😂😂😂 toa huja punguza makasiliko huna dini ww hata mumgu humjui Taqbirr Allahu akbar

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +1

      @@TheAlman Yesu ni mwenye huruma na mwenye kusamehe, utasamehewa ndugu. Ila angalia mwalimu wako anavyoitukuza BIBLIA, na anadhihirisha Quran ni copy. Takbirrrr

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +1

      @ZayyanaBamuni Mwalimu wako tu ameshindwa kuelewa, wewe ndo chenga kabisa. Sitopoteza muda kwenye ilo.

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 3 วันที่ผ่านมา

      Inalilahi kweli wezetu muna chuki na uislam munaonesha tu kuchukia bila sababu ila musimalize maneno maan hunauhakika na iyo Imani yako Kam nikwel asilmia mia kwaiy weka hakiba ya maneno usije ukajuta kwa kumtukana mungu wa kwel nailhali unajisifu

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

    @Simulizizone tuulizie uyo Mwalimu Kwanini maandiko yoyote yenye ukakasi, yenye kutia shaka na yaliyojaa uongo na vichekesho, kwanini wameandika kwenye vitabu tofauti na Quran. Walijua Quran itajaa comedy, maana yaliomo ni vichekesho na kufuru iliopitiliza.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      We asa pimbi,we utaifananisha Qur-ani na biblia,Qur-ani ni maneno ya Mlmungu aliomfunulia mtume wake Muhammad S.A.W kupitia malaika Jibril,tofauti na biblia kuna maneno ya mlmungu,kuna maoni ya watu na barua za Paulo pia zimo humo humo

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา

      @ZayyanaBamuni ACHA UTAHIRA WEWE, MUHAMMAD ATA ALIVYOTEMBEA NA WAKE ZA WATU ALISEMA MUNGU AMEMFUNULIA. AKIUA MTU PIA ALIWAAMBIA MUNGU AMEMFUNULIA. QURAN IMEANDIKWA NA MTU KAMA WEWE.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Jamal22-o5nZero brain,mada yaleo imekuzidishia mateso,naona leo umezidi hutulii km bisi kikaangoni

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 3 วันที่ผ่านมา

      Huna hoja kijana usjjae chuki wakti huna dini maan husomi vitabu kijna acha chuki usichukie mungu wa kwel na dini ya kwel ujue utakufa ipo siku

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +1

    JAMANI MTUME NA YEYE ALIPAA, MWAMBA AKUBALI KUSHINDWA. IPO SIKU TUTASIKIA NA YEYE ALIFUFUKA 😂😂😂😂

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 3 วันที่ผ่านมา

      Sasa utaenda mbingun bila ya kupaa alienda na malaika gibriil

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 3 วันที่ผ่านมา

      Hahahaaaaaa,heeeee!​@@sultanbakary4292

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      Shida mchungaji wako alikufundisha mtume aliowa mtoto wamiaka 9 tu kuna mengi hajakuambia

    • @Jamal22-o5n
      @Jamal22-o5n 3 วันที่ผ่านมา +1

      @sultanbakary4292 Acha bangi kaka, Muhammad ajawahi kwenda mbinguni, hana vigezo. Mbinguni hakuna mbakaji,mbinguni hakuna muuaji. Amka

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 3 วันที่ผ่านมา

      @@Jamal22-o5n ameenda mbingu tena ndan ya ucku Mmoja tu huko ameenda kupewa nguzo Tano za uislam ameenda sehem ambayo hata malaika hawajawah kufika hata kiumbe yeyote yule Dunian haijafika ila mtume Muhammad mbora wa viumbe wote dunian amefika cku ya kiama kila kiumbe atauona ukubwa wa Muhammad hata ww na upofu wako na kiziwi ulichokuwa nacho utakubali punde tu utakapokata roho

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aisee wewe jamaaa ni muongo sana,sijui unafikiri hatusomi vitabu vyenu?

    • @TheAlman
      @TheAlman 3 วันที่ผ่านมา +2

      Ktika kipi? Toa hoja punguza makasiliko

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา +2

      Km mnasoma ndio ujuwe hamjavimaliza

    • @brothermuadhwam890
      @brothermuadhwam890 3 วันที่ผ่านมา

      Sasa ww izo Aya huziskii au huna akil iyo ni bible inasomwa Kuna hija umo Kuna hekalu Kuna sinagogi Yaan kunakusujudu ivi huelewi nn au ndo mumelishwa chuki kanisan

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      @@TheAlman kaka kila anachosema Sheikh ww ni kweli, Pole

    • @Ayxha12Zanzibar-h9u
      @Ayxha12Zanzibar-h9u 2 วันที่ผ่านมา

      @@brothermuadhwam890 leo nimeamini quran haijashushwa, wamekopi Biblia. Maana mwanzo mwisho kuthibitisha ukweli wa ibada za kiislam