MAGONJWA YA KISUKARI: DAKTARI BINGWA AFUNGUKA "NI UGONJWA SUGU, WENGI HAWAJUI WANAUMWA NINI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Imeelezwa kuwa Magonjwa yasioambukiza yamekuwa changamoto kubwa sana katika Bara la Afrika ikiwemo ugonjwa wa Kisukari huku ikisemwa ya kuwa Ugonjwa huo Umegawanyika katika Sehemu Tatu, Pamoja na Shinikizo la Damu .
    Hayo Ameyasema Daktari Bingwa wa Magonjwa Yasioambukiza Dkt. Mlawa Maneno katika siku ya kuadhimisha wiki ya Ugonjwa wa Kisukari.

ความคิดเห็น • 4