USIJIONE NI MCHAMUNGU KULIKO WATU WOTE UTAANGAMIA // SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 27

  • @mussangowengo9463
    @mussangowengo9463 วันที่ผ่านมา

    MASHALLAH! MWENYEZI MUNGU AKUHIFADHI

  • @Baba-l7h
    @Baba-l7h 2 วันที่ผ่านมา

    BARAKA ALLAH FEEK YA SHEKH

  • @abdurazaqiamisi1463
    @abdurazaqiamisi1463 2 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuhifsdhi sheikh wangu

  • @AlbanSaifullah-w1y
    @AlbanSaifullah-w1y 39 นาทีที่ผ่านมา

    Mawaidha mazuri Masha Allah

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 5 วันที่ผ่านมา +5

    Mashallah mawaidhayako ckuzte yanagonga moyo

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 วันที่ผ่านมา

      Mmmmh! Kazi ipo kwa mahizbi wa Bachu

  • @TalibHaji-c3s
    @TalibHaji-c3s 5 วันที่ผ่านมา +1

    Jazakumullah khair npnd sn kusklz mawaidh yko

  • @mubariekabrahams2650
    @mubariekabrahams2650 4 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah akuongoze katika hakki.
    Kutokana na elimu aliyokuruzuku Allah basi usiongeee kimafumbo katika DINI kuwa muwazi kwa kufundisha jamii.
    Na kama umeyaona na unaogopa kuwaita wanaogombana katika dini na wewe hawaambii basi kazi unayo kwa Allah.

    • @mubariekabrahams2650
      @mubariekabrahams2650 4 วันที่ผ่านมา

      Mtume alikuwa anawaita watu na kusiliza hoja sio kupiga kelele ijumaa mpaka ijumaa. Waite ifanywe nikaishi hakki isimame tuu.

    • @AhmadaOzil
      @AhmadaOzil 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@mubariekabrahams2650 ndugu yangu kwanza kasome ndipo utoe hizo fatwa. Vijana wa leo mkiitwa na kufahamishwa jeuri tupu mnajiona mumesoma nyinyi tu. Muache Sheikh atoe mawaidha wakati hajaenda kinyume na mafundisho ya Mtume SAW

    • @KaitaKatema
      @KaitaKatema 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndvyo ulivyo tafsiri kwamaono yako sasa bas usilazimishe watu woooote waelewe kama ulivyoelewa wewe.

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 4 วันที่ผ่านมา

    Sheikh wangu Alkah akuhifadhi.

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 3 วันที่ผ่านมา

    Allahu-akbar❤❤❤

  • @AhmadMassoud-gp4ry
    @AhmadMassoud-gp4ry 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah

  • @sijartv9554
    @sijartv9554 3 วันที่ผ่านมา +3

    HAJI UPEPO UNAFANYA MAKOSA KUWEKA PICHA YA MTU ILIHALI MWENYEWE HATAKI NA HAPENDI HATAKAMA ANAMAKOSA WEWE NIJUKUMU LAKO KUMNYOOSHA TU NA KUMUELIMISHA NA SIO KUENDELEA KUWEKA PICHA YAKE NINAHAKIKA HUO UNAOFANYA SIO UISLAMU PIA MTU AKIFANYA MAKOSA BASI NAWEW USIFANYE MAKOSA

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 2 วันที่ผ่านมา +1

      Alikwambia kama hapendi mbona uchawa😊

    • @znzmawaidh8702
      @znzmawaidh8702 วันที่ผ่านมา

      Kumbe siyo haki mbona ninyi masalaf mukitaka kumradi sheikh yoyote munakuw munaweka picha kahuyo sheikh mutakay muradi

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 4 วันที่ผ่านมา

    Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 4 วันที่ผ่านมา

    Haji ushuzi bana

    • @شيخنيف
      @شيخنيف วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @AmiriUshanga
    @AmiriUshanga 2 วันที่ผ่านมา

    MASUFI WENZANGU ELEWENI MAWAHABI HAWANA KINACHO WATESA MIOYO YAO NA KUWA NA KUWA NARIYA ILA NI HUSDATUH ZA KUUPENDA UMIMI NA KUPENDA MADARAKA WALA SIDINI KAMA WAWADHANIAVYO BAADHI

  • @HdMshighaty
    @HdMshighaty 3 วันที่ผ่านมา

    ukiambiwa.kun.mtu.anamtukn.huyu.shehe

  • @muhammadal-bimani8120
    @muhammadal-bimani8120 4 วันที่ผ่านมา

    Tuache madhehebu. Hali ni kweli haya madhehebu yalikuweko? Vipi leo waislamu wanajitenga kimadhehebu.
    Sote tuwe waislamu tu wacheni kuwaabudu mashekhe na maulamaa. Fuateni hoja tu iliyothibiti. Hawa makafikiri ndio wanataka sisi tujigawe.

    • @zanzibaronlytv3470
      @zanzibaronlytv3470 4 วันที่ผ่านมา +1

      Na wanaokataa hoja je wafanyajwe?

    • @muhammadal-bimani8120
      @muhammadal-bimani8120 4 วันที่ผ่านมา +1

      @zanzibaronlytv3470
      Waachani na ujinga wao. Allah ndio atawahukumu.
      Hayo madhehebu kayaleta nani? Yalikuweko kabla? Upuuzi tu. Kule Makka kulikuwa na kibla nne:
      1.Ya shafi yake
      2. Ya Hanbali yake
      3. Ya Hanafi yake
      4. Ya Maliki yake
      Ujinga ulifika kileleni.
      Angekuweko Mtume wa Allah sasa hivi mungemwambia mimi Sufi, Hanbali au Shafi? Ni ujinga tu kuabudu madhehebu.
      Sisi sote tumeitwa waislamu ndani ya Qurani na sio Sufi, wahabi au Ibadhi au Maliki.
      Wacheni kasumba za madhehebu. Hiyo kujiweka kimadhehebu ndio ujahil mkubwa.

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 4 วันที่ผ่านมา

      Hoja hizo zitatoka wapi bila kupita kwa ma ullama? na ma shekhe wana towa wapi kama si kwa ma ullama? Ikhtilafu lazima kikubwa kuheshimiana katika ufataji wa elimu na ma dhehebu

    • @muhammadal-bimani8120
      @muhammadal-bimani8120 4 วันที่ผ่านมา

      @fauznuhu9981
      Sasa Mtume wa Allah alikuja na uislamu huu wa vikundi?
      Maulamaa wanatoa hoja na iliyo na nguvu ifanyiwe kazi tu. Hii ndio kazi ya maulamaa.
      Lakini sisi tumegawanyika katika vikundi. Shafi, Hanafi, Maliki, Hanbali na vyenginevyo na hii ndio udhaifu wetu waislamu.
      Uislamu haujaja kutuweka sisi katika Ushafi, au Sufi au Ibadhi hii ni siasa tu.
      Utawasikia wakisema Ahli sunna tu Waljama'a ndio kundi lililoongoka na hao ahli sunna wal jama'a yako makundi mane makubwa na yote yanakhitalifiana, kwanza jiwekeni muwe kundi moja tu halafu museme.
      Tuwache kujiweka vikundi vikundi quran imetukataza.

    • @muhammadal-bimani8120
      @muhammadal-bimani8120 4 วันที่ผ่านมา

      @fauznuhu9981
      Don't worship scholars and particular ideology.