MUDATHIR, AUCHO WALIVYOZUNGUMZA BAADA YA KILELE CHA WIKI YA WANANCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 188

  • @SantinaChale
    @SantinaChale 2 หลายเดือนก่อน +15

    Asanteni sana wanachama yanga.hii ni historia kumbwa sana.sisi ndo yangaaaa.hongera sana aucho bado tunakuhitaji sanaaaa

  • @noelamkwala4462
    @noelamkwala4462 2 หลายเดือนก่อน +39

    Hongera sana wanayanga Kwa upendo huo mkubwa. Dr. Aucho anastahili sana . Thank you Dr. Aucho . We are proud of you and other players. You deceive it.

    • @yengasclasic5863
      @yengasclasic5863 2 หลายเดือนก่อน +3

      Not deceive andika deserved

  • @aminangano3635
    @aminangano3635 2 หลายเดือนก่อน +22

    👏👏👏👏YANGA oyeee!!! Mashabiki wenye upendo. Ahsante Mwalimu Yanga

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 2 หลายเดือนก่อน +31

    BRAVO khalid Aucho we love you

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 2 หลายเดือนก่อน +20

    Mwalimu Yanga Mungu Wetu Akulinde,Amen 🙏🙏🙏

  • @azizahamza5586
    @azizahamza5586 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakwweli nijambo jema mungu awabaliki nyote mliotoa inapendeza nakutia amasa kwa wachezaji wengine kufanya vizuri 🧡💛🧡💚

  • @MWALIMUCHAKATV
    @MWALIMUCHAKATV 2 หลายเดือนก่อน +27

    Mwalimu Yanga , how can i add kwa hii zawadi ya Aucho. The best midfielder for the last 3 seasons. Jamani i want to also add on this maana kwa kweli he has been the best . Tuzo ya mashabiki

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 2 หลายเดือนก่อน +8

    Aucho alistahili, pongezi kwake na wananchi wote kwa kuona umuhimu wake,tunamuomba MUNGU aendelee kumpigania 🙏

  • @NgomelejiSindiyo-yt5ib
    @NgomelejiSindiyo-yt5ib 2 หลายเดือนก่อน +3

    I appreciate and ❤ for the award for Dr.Khalid Aucho

  • @omarmatata-dc3mv
    @omarmatata-dc3mv 2 หลายเดือนก่อน +17

    Mudathir ndo man of the match 👏 🙌👊💪💛💚

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hapana ni goli keeper wa red arrows

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 หลายเดือนก่อน +4

    Vyema Aucho kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @SakinaMuhsin-nc4zq
    @SakinaMuhsin-nc4zq 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hongereni timu yangu yanga kwa upendo wenu kwa doktor aucho mungu. Awabarik

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 2 หลายเดือนก่อน +10

    Dah hii nimeipenda sana aisee hongereni woooote wana Yanga waliojitolea zawadi hii pongezi kwenu msimu ujao mwingine pia kwa nchango wake kwenye timu🙏🤝👍👏👏👏👏

  • @noelamkwala4462
    @noelamkwala4462 2 หลายเดือนก่อน +35

    Mwalimu yanga big up sana. Mmetenda jambo la heshima sana.

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 2 หลายเดือนก่อน +21

    I once said and repeat again Aucho better nyekundu than kuumia

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 2 หลายเดือนก่อน +5

    This is incredible.....you have done marvelous

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pongezi kwa Mudathir kwa mchezo mzuri🎉🎉🎉MUNGU aendelee kukulinda🙏

  • @Shija-g4m
    @Shija-g4m 2 หลายเดือนก่อน +7

    Tears on my eyes for aucho u r the man n 1/2. Really.

  • @leemabibaphotography8053
    @leemabibaphotography8053 2 หลายเดือนก่อน +24

    Kiukweli mmefanya kitu kikubwa sana kwa aucho

  • @halimahamis7370
    @halimahamis7370 2 หลายเดือนก่อน +9

    Sijakosea kuchagua hii team wallah hadi vimachozi vimenitoka hongereni wote mliomkumbuka engine yetu Khalid Aucho

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 2 หลายเดือนก่อน +13

    Bg up makamanda wetu❤❤❤

  • @JumaMngumba
    @JumaMngumba 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ule mgoli wa kideo🙌🙌 muda one 🔥

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashabiki hongera😘😘😘😘😘😘 kwa zawadi ya Auchu

  • @SaidiKilobo
    @SaidiKilobo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ninefurahi san hiu nikitu kikubwa sana maan khalid alitubeba sana wengne kwa tamaa zao walitukimbia kwa kujua tutadhalilika asante sana dr kharid aucho wananchi tunakupenda sana

  • @RonaldoLughano
    @RonaldoLughano 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu amsaidie aucho

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mzamzibar anajuwa mpira huyu jamani. Nyie kwani hamuogopi😂

  • @stevenobure8241
    @stevenobure8241 2 หลายเดือนก่อน +18

    Timu ya wananchi 🎉🎉🎉❤❤❤ timu kubwa

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 2 หลายเดือนก่อน +25

    👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪🤣🤣🤣🤣 Nafurahia Kuona Hata Mimi Mchango Wangu Nilioutoa Kwa Mwalimu Haujapotea, Hongera Sana Kijana Wangu Mwalimu,🙏🙏🙏💪💪

    • @GracePaul-k2l
      @GracePaul-k2l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mpaka nimetokwa machozi aisee

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 2 หลายเดือนก่อน +19

    Hongera Sana Mwalim na Timu Yako hii ilitakiwa itolewe pale Uwanjani ikawe fundisho Kwa TFF

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 2 หลายเดือนก่อน +8

    Muda tunae na tunatambanae❤❤❤

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 2 หลายเดือนก่อน +23

    Kama si Derby cku 3 mbele wangechapwa ❤❤❤

  • @claratango9262
    @claratango9262 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU ni mwema hongera Sana wanachama na mashabiki wa Yanga MWENYEZI MUNGU awazidishie muendelee kua na huo moyo kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @FaudhiaBashiru
    @FaudhiaBashiru 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera mudathir

  • @mariamhamis4323
    @mariamhamis4323 2 หลายเดือนก่อน +14

    Very nice aucho 🎉🎉

  • @BennyMabendi
    @BennyMabendi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki mmefanya jambo jema kbx

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 หลายเดือนก่อน +10

    Vnawaoenda mungu awalindeee jmn

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana MWALIMU kiukweli mumetuheshimisha hata tusio changia🤝🤝

  • @frankndebile-mw9mu
    @frankndebile-mw9mu 2 หลายเดือนก่อน +13

    Tulitegemea cm kuita💚💛💚

  • @KaswahiliTz
    @KaswahiliTz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana nakubali sana show yako

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera upo vzr sn mungu yupo na ww

  • @shamiramwaya4631
    @shamiramwaya4631 2 หลายเดือนก่อน +5

    Congrats Dr of Football 💪🏼

  • @marianaboniphace
    @marianaboniphace 2 หลายเดือนก่อน +4

    Najivunia Kwa nilichokitoa kimamfikia mlengwa 💚💚💚💚

  • @VIVIANMUKULU-kr8xp
    @VIVIANMUKULU-kr8xp 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mwalimuuu🎉🎉🎉🎉🎉kitu kizuri sana

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mashabiki wa Yanga SC ndio kivutio cha kwanza cha wachezaji kuja kucheza Yanga SC "Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiii......."

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nimefurabi saan kwa auchooo

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 2 หลายเดือนก่อน +2

    That'is absolutely love for yanga funs,they show Aucho ,

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mm ni simba lkn tunajivunia sana zanzibar finest wetu zanzibar ball nature❤🎉

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ustadh, Shkh, Doctor Aucho

  • @chollejr_
    @chollejr_ 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila AUCHO noma sanaaa 😂😂kapongezwa lakn kakataa ety "sio sana"

  • @RahimAzCapable
    @RahimAzCapable 2 หลายเดือนก่อน +12

    Litimu likubwa 😅😅😅

  • @frankndebile-mw9mu
    @frankndebile-mw9mu 2 หลายเดือนก่อน +32

    Me wakwanza naombeni like zangu

  • @JumaMngumba
    @JumaMngumba 2 หลายเดือนก่อน +4

    💚💚💚💛💛💛 My team kila kheir

  • @HoroNzobe
    @HoroNzobe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwer mwalimu ni muaminifu amefikisha sa lama micha ngo yetu🎉

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 หลายเดือนก่อน +6

    Young Africa find way to win Africa champion not only to destroy simba fight for Africa

  • @KondoMhando
    @KondoMhando 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe RashidSaid, una wivu sana watu kumpa zawadi Aucho. Kama una huruma, hii hela ulito nunulia vocha kuwajibu watu walio mpa zawadi Aucho, unge nunu hata panado kisha upeleke hospital wapewe wagonjwa ungekuwa umefanya jambo la maana Sana. Kila jambo lina ratiba zake. Juzi mikoa mbalimbali yanga walitoa misaada mahospitalini, mbona Hilo hulisifu? Wewe ni kati ya wale wanao ona mabaya na kuyasema, lakini mazuri hawayasifu. Kuwa na moyo wa shukran. Badirika

  • @RukiaMideko
    @RukiaMideko 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wananchiiiiiiii

  • @mwajayhaxxan5507
    @mwajayhaxxan5507 2 หลายเดือนก่อน +7

    Manara apunguze sifaaa,, mambo ya kuingia ingia na wanawake anatukwazaa aaache uzwazwa wakee na ukolo wake. Me silipend hilo baba aiseeeh bora angeendee kufungiwa

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 2 หลายเดือนก่อน +2

      Pole Mwajay yule jamaa ni limbukeni na sijui kwa nini viongozi wa Yanga wanamuendekeza. Ally Kamwe ametosha ile nafasi.

    • @mwajayhaxxan5507
      @mwajayhaxxan5507 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@deven.oauditx7547 Yaaan Ali kamwe yupo smart sana kwanza angalia jinsi anavyojiweka karibu na mashabiki pamoja na wachezaj yaan yupo vizuri kwa kweli huyo baba na mdomo wake mchafu hatumtak

  • @NyamongoLife
    @NyamongoLife 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mudathir

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 2 หลายเดือนก่อน +4

    Aucho love you

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mzenji asie na papala❤❤❤

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aucho kiungo bora muda wote

  • @SwebeMwanyilu
    @SwebeMwanyilu 2 หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe Sanaa mumefikiria kitu kikubwa sana

  • @mohamedikassimu7016
    @mohamedikassimu7016 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mubasharaaaaaa

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 2 หลายเดือนก่อน +2

    YANGA TAMU SANA I WISH TO DO SOMETHING

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 2 หลายเดือนก่อน

    All the best Aucho we appreciate you 🔰🔰💪

  • @rickyramsey1469
    @rickyramsey1469 2 หลายเดือนก่อน +9

    . Nyie hamuogop¿ 💚💛🖤🤲✌️

  • @hyahasisihussein6666
    @hyahasisihussein6666 2 หลายเดือนก่อน +6

    Niceeee

  • @yuzomaneno
    @yuzomaneno 2 หลายเดือนก่อน +10

    Ubaya umbege 😂😂

  • @SakinaLinjende
    @SakinaLinjende 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dah!nimependa Sana hongereni wanachama wa yangu kwa mlicho kifanya kwa aucho

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 2 หลายเดือนก่อน

    Mudathiri mwamba kubali sana

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera wananchiiiiiii ✅🔰💚💛🖤🖤💛💚

  • @JoshuajrIron
    @JoshuajrIron 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga💚💚 injinia tunaomba utuongezee beki wa kati Moja big up sana

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mtu wa mpira Sana .... Kwenye soccer wewe ni mtu wa maana sanaa , umeona kitu Cha msingi
      Aziz Andambwile sio center back ni typical mildifielder..... Kuna Mwamba 😂😂 pale Singida Rasta man anaitwa Lauren Omar Makame ni mtu wa kazi ni bacca mtupu

    • @RhodaMloge
      @RhodaMloge 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwanangusanana mbona kulikuwa tetesi za usajili wa hyu mtu

    • @JoshuajrIron
      @JoshuajrIron 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio Cha msingi

    • @JoshuajrIron
      @JoshuajrIron 2 หลายเดือนก่อน

      Watusajirie jaman

  • @talcykyariga1718
    @talcykyariga1718 2 หลายเดือนก่อน +1

    This is love jamn uuuh

  • @JulianaMunubi
    @JulianaMunubi 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni wananchi inazidi kumpa moyo aucho

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 2 หลายเดือนก่อน

    Dr Aucho ulicho pata sio haba ila upendo tunau kupo ni mkubwa sanaaaa chukua hiyo Babu kubwa💪💛💚🙏

  • @NuruJack
    @NuruJack 2 หลายเดือนก่อน +6

    💚💛💚💛💛💚💛

  • @kupazahotnews6747
    @kupazahotnews6747 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dockta la boll jifunze kiswahili wewe ni monster hunter

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 2 หลายเดือนก่อน

    Sherehe imeisha ya team kubwa, nchini imetulia Kelele pyeeeeeh 🔰🔰💪

  • @tariknassoraucho5814
    @tariknassoraucho5814 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baleke kila kitu yanga anakiona kipya 😂

  • @Tzdiaspora
    @Tzdiaspora 2 หลายเดือนก่อน +4

    noma sana noma sana❤‍🔥❤‍🔥

  • @AgenesMugema
    @AgenesMugema 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni nyote mliotoa kwa moyo.

  • @Elon-r4o
    @Elon-r4o 2 หลายเดือนก่อน

    Saw yanga day iliKuW nzuri lkn mimi ombi langu jaribuni kufupish muda man kun watu waliingia mapem sana lifikrieni hili msimu ujao 🙏👍🤕

  • @wandibaitonge8832
    @wandibaitonge8832 2 หลายเดือนก่อน

    Kitu kikubwa sana🎉🎉🎉❤

  • @scopy0428
    @scopy0428 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ni zaid ya upendo kwa Khalid Aucho doctor The Tank

  • @latifakikoti9808
    @latifakikoti9808 2 หลายเดือนก่อน

    asanteni sanaashabiki wa yanga

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 2 หลายเดือนก่อน

    Pongezi nyingi sana mno Wananchi wenzangu kwa jambo ADHIM hakika mmeonesha UPENDO/MAHABA mazito kwa kjn wetu Dr.Khalid Aucho nina imani limeweka HISTORIA ktk maisha yake ya soka,Hakuna uddugu popote zaidi ya YANGA,nimewapenda/nawapenda/nitawapenda DAIMA,Wananchiiiiiiiiiiii ALUTA CONTINUA !!!

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kubwa sana hii

  • @wizmanhalinga1541
    @wizmanhalinga1541 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga hii tutapata raha sana

  • @williamlilangala7826
    @williamlilangala7826 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kilarahel Yanga Africa

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @SirajiZacharia
    @SirajiZacharia 2 หลายเดือนก่อน +1

    Elewa neno "Litimu likubwa"

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z 2 หลายเดือนก่อน +4

    Love yanga

  • @chollejr_
    @chollejr_ 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee saidi alisema 😂😂😂anamuwaza sanaaa 😂😂😂anacheza rafuu

  • @davismaganga1264
    @davismaganga1264 2 หลายเดือนก่อน

    Lile goli ni tamu sanaaa

  • @salemarahbi9171
    @salemarahbi9171 2 หลายเดือนก่อน

    Elewa neno litimu likubwa😅😅 Mudaa

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni kwa siku ya wananchi ila kwa sasa makolo au sanda FC wanatusema tu eti timu yetu mbovu ni ya wazee tumebebwa na refa ndio furaha yao Leo dah ila naimani na viongozi wetu na benchi la hufundi hawatotuangusha ngao ya jamii Wacha madunduka yaendelee kujiamini kuwa timu yetu mbovu na Haina speed,na ni ya wazee ila sisi ni pipo

  • @iddmohammed1086
    @iddmohammed1086 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeenda. Argentina anakutana na Ufaransa katika Kombe la Euro?

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow