MUNGU ANATETEA WALIO WAKE - ( ISAIAH 41: 8...)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @jaywan_s
    @jaywan_s 2 หลายเดือนก่อน +3

    AMEN 🙌🙏

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 2 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Siku ya leo Bibilia na Mwenyezi Mungu Anaongea na wewe umefika mwisho, wewe uko na kilio na unaona kama Mungu Amekuacha. Mungu Aliyekuumba Hajakuacha na Ako na kusudi njema juu ya maisha yako. Wakristo Jehova Aliye juu Mbinguni Hajatusahau. Atatukumbuka na Akitukumbuka maisha yetu yatabadilika. Mungu Anatujua na Anatuwaza mazuri, Hajatutupa lakini Anakuja kututafuta. Huyo Mungu Aliyetulete duniani Hajasahau nasi na Anatupenda. Muumba Wetu Yu pamoja nasi kwa hivyo tusiogope, Anasema; tukiingia kwa shimo Yuko nasi na tukiwekewa mitego Yuko nasi. Hatuendi pekee yetu bali tuko na Mungu. Watu wetu, familia na watu wa dunia hawakutusaidia lakini Jehova Amesema Yeye Ni Mungu Wetu na Atatusaidia na Atatuimarisha.

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 2 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Wale wanatuinukia mbele ya Macho ya Mungu sio kitu, wataanguka na kuangamia. Mungu Akikuja na Atubariki tutawatafuta waganga, wachawi na wale wanatuombeanga mabaya lakini hatutawaona kwa maana watakuwa wameenda. Maadui watakuwa wametoweka na kusahaulika tutawatafuta lakini hatutawaona. Mkono wa Jehova Utakuwa juu yetu, Ataitwa Mungu wetu na Atatulinda. Mikono yetu ilikuwa imeinamishwa na mashida, huzuni na machozi lakini Mungu Atatushika mkono na Atatuinua kimaisha na kiroho. Heri wale hushikwa na Mkono wa Jehova kwa maana huenda mbali. Mungu Akitushika mkono tutaenda mahali hatungeenda na tutaingia mahali hatungeingia. Wakristo Mungu Akitubariki tusiogope.

  • @nancyngeru2918
    @nancyngeru2918 2 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen

  • @wakirealestate8324
    @wakirealestate8324 2 หลายเดือนก่อน

    Amen. Following from Zimma. Rev. James Kiongo thanks

  • @hiramkiragu496
    @hiramkiragu496 2 หลายเดือนก่อน

    Sitaogopa tena God is with me and will help mi

  • @charitymburu3344
    @charitymburu3344 2 หลายเดือนก่อน

    Siogopi the hand of God is upon me

  • @charitymburu3344
    @charitymburu3344 2 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @hiramkiragu496
    @hiramkiragu496 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 2 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Wakristo Mkono wa Bwana uko juu yetu leo. Mkono wa Jehova sio mkono wa watu. Watu walituwekelea mikono ya shida na ya kutulaani lakini Mkono Wa Jehova Uko juu yetu na Uko kazini. Wale walitaka tuaibike Mungu Amesema Anaenda Kuwaaibisha. Wale walikuwa wanatuchimbia mashimo wao ndio wataingia kwa hayo mashimo na wale walitutegea mitego wao ndio wataingia kwa hiyo mitego. Walikuwa wanangojea tuaibike na maisha yetu ifike mwisho lakini Mkono wa Jehova uko juu yetu na Ulinzi wa Jehova uko pamoja nasi. Hatutakufa bali tutaishi juu kuna Mungu. Badala tuaibike wao ndio wataaibika na badala tuanguke wao ndio wataanguka. Hiyo mishale wamekuwa wakiturushia Ulinzi wa Jehova Unatuzingira. Mishale ikirushwa inarudia wenyewe.

  • @AgnesWangari-e4u
    @AgnesWangari-e4u 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏sitaogopa

  • @MaureenOtieno-od4bu
    @MaureenOtieno-od4bu 2 หลายเดือนก่อน

    Mkono wa bwana uko katika kazi

  • @wairigrace9646
    @wairigrace9646 2 หลายเดือนก่อน

    Amen, sitaogopa.

  • @saloomwas3770
    @saloomwas3770 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @janembui5044
    @janembui5044 2 หลายเดือนก่อน

    Sitaogopa

  • @JamesWaithaka-cj6ok
    @JamesWaithaka-cj6ok 2 หลายเดือนก่อน

    Ata mimi siogopi tena

  • @LenaKamau-jj2vl
    @LenaKamau-jj2vl 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙌

  • @ndungulincoln
    @ndungulincoln 2 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @patrickmuriungintwiga5441
    @patrickmuriungintwiga5441 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @josephinenagide2749
    @josephinenagide2749 2 หลายเดือนก่อน

    Amen