TUNZA UHUSIANO WAKO NA MUNGU WAKO - ( NEHEMIAH 4:1... )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 2 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Wakristo wakati tunasimama na kazi ya Mungu tujihami na Neno La Mungu kama upanga na ndiposa adui anapokuja kutupinga tutamkata kwa Upanga wa Neno La Mungu. Wewe unajuana na Mungu ndiye utasimama katika pengo kutetea Kazi ya Mungu ukisikia injili inapingwa. Mungu Anaweza kupitia kusimama kwako na ukweli aokoe hata kizazi chako na familia yenu. Saa zingine Mungu Hufanya mambo ambayo sio ya kawaida wakati tunafanya Kazi yake kama kufanya maadui wajiunge nasi. Ni vizuri kuwa na ukarimu hata kwa Kazi ya Mungu bila kusukumwa. Ukimtolea Mungu kutoka kwa moyo wako Naye Atakubariki kutoka kwa Moyo Wake. Hatufai kuvutwa na watu wa dunia kwa dunia bali sisi ndio tunafaa kuwavuta katika wokovu.

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 2 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Nehemia aliposikia Kanisa imekaa vibaya na Hekalu ya Mungu imeharibiwa alihuzunika, akafunga na akakosa kula na kunywa. Saa zingine Mungu Hutafuta mtu ambaye ako na uzito Naye na Kazi Yake. Wakristo hata sisi tunaomwamini Mwenyezi Mungu ni vyema kuchukua nafasi yetu na kujua Mwenyezi Mungu Anatuhitaji kusimama katika pengo kama Nehemia. Tukiona Kazi ya Mungu ikienda vibaya tusiingie katika viatu vya Sanbalati tuanze kejeli bali tusimame kama Nehemia kuitetea. Hata kama alipigwa na Sanbalati na watu wengi Nehemia bado aliendelea na ujenzi wa Hekalu. Alihakikisha kuwa Kazi ya Mungu inaendelea na ukuta unajengwa na vile vifaa walikuwa wanatumia ni vya kumtukuza Mungu. Hata sisi ni wakati wetu wa kusimama imara na kutetea kazi ya Mungu.

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 2 หลายเดือนก่อน

    AMINA. Wakristo tusimame imara kumtetea Mungu kama Nehemia na tusikubali wapinga Kristo wadhoofishe yale maono yako ndani yetu. Tukiwa katika wokovu upinzani lazima utatokea lakini cha maana ni kusimama na Mungu na kutunza uhusiano wetu Naye na bila shaka Mungu Atatutetea. Mungu pia Hufurahia mtu ako na uzito. Wakati wote utajitoa kusimama na Kazi ya Mungu bila shaka Nayo Madhabahu Yatakutetea. Tusimame imara na tujenge uhusiano wetu na Mungu na tunapojenga uhusiano wetu vizuri na Mungu tusikubali mtu yeyote ama chochote kile kitutoe karibu na Mungu. Kuna kazi unaweza fanya urisk, Mungu aone umerisk akupeleke level ingine. Wakati unasimama na Kazi ya Mungu na unaitetea Mungu Naye Hukuheshimisha.

  • @sanetag2173
    @sanetag2173 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu nope nguvu za kusimama na wewe

  • @ReginaMwango
    @ReginaMwango 2 หลายเดือนก่อน

    Amina wakristo tutee mwili wa kristo

  • @faithwanjiru1159
    @faithwanjiru1159 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @wakirealestate8324
    @wakirealestate8324 2 หลายเดือนก่อน

    I like the message Sir. Do we have a crusade this year? I appreciate you all. From Pst Mwiti, Mathenge, etc

  • @spacermon
    @spacermon 2 หลายเดือนก่อน

    Wait so was Rahab mother-in-law to Ruth?Pliz help.