me huwa nazikubal sn interview za huyu Mzee Azim dewij husema kwel, kocha kazingua ya nn kuwaweka Debora, mutale na ateba benchi ametukosesha magoli kipumbav sn
Simba forward hakuna, Ateba, na Mukwala Ni wakawaida Sana, hawamfikii hata Rupia. Toeni hao+ Lakred, Kijili, Adam Adam, tafuteni wachezaji Wa-3 wenye uwezo Wa kuamua mechi Wa kaliba ya Pakome/Max na Chama.

Kocha amuamini atebaxaweso Debora na Oka jeffer.kibu chasambi si kuwapa mda mwingi
Mzee kapga kwenye mshono,eti nyuki akiwa na njaa😅😅😅
Hujafurahi wewe acha ujinga