ITAKULIZA! MKE WA MCHEZAJI GERLAD MDAMU AMWAGA MACHOZI/"MDAMU AMETESEKA/ANATAMANI KURUDI UWANJANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @Devothakimei
    @Devothakimei 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze mtumishi wa Mungu apostle Mtalemwa Dions, hakika umekua mwl mwema kwetu.
    Gerald endelea kumwomba Mungu, utapona na utarudi uwanjani. Njia za Mungu ni kuu.

  • @bullindamichael2470
    @bullindamichael2470 2 ปีที่แล้ว +2

    Apostle Mtalemwa asante sana Ulichofanya kwa Gerald Mungu akulinde na akupe furaha kama hii familia iliyopata leo, ni zaidi ya upendo.

    • @KidotiTwiga
      @KidotiTwiga 2 ปีที่แล้ว

      Hakika jmn Mungu ambariki

  • @emanuelibrahimu2046
    @emanuelibrahimu2046 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakupongeza Sana mtumishi wa mungu mtalemwa hakika ukristo ambao yesu mwenyewe anaupenda mungu akujalie mema yake Amina pia watanzania wenye moyo tuungane kumsapoti kijana huyu jaman!

  • @tumainkitundu1015
    @tumainkitundu1015 2 ปีที่แล้ว

    Hawa ndio watumishi wanaoishi maisha ya uhalisia wa kimungu 🙏🙏🙏 Mungu akuongeze palipopungua apostle

  • @elizajames2630
    @elizajames2630 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze Mtumishi wa Mungu Apostle Mtalewa, umefanya jambo la Baraka sana,

  • @ednanewtonkyando2282
    @ednanewtonkyando2282 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutumia Apostle Mtalemwa katika kazi zake sawa sawa na Mapenzi yake 🙏🏽ushuhuda huu ni mkubwa saana Mungu akazidi kukuimarisha Kaka Gerald🙏🏽👏

  • @limymasele21
    @limymasele21 2 ปีที่แล้ว +3

    Marko5;34 Yesu akamwambia ,kijana Imani yako imekuponya nenda kwa Amani na upone kabisa Ugonjwa wako 🙏🙏🙏

  • @stellahlubulila205
    @stellahlubulila205 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Apostle, unaupendo, kujali, kufundisha, kuthamini, maombi yangu kwako Afya njema kwako uzima, maisha marefu kwako na zaidi ya yote ukatawale ktk kila jambo utakalofanya kwa ajili ya utukufu wa Mungu, Amen

  • @upendomsuya4754
    @upendomsuya4754 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungi Apostle Mtalemwa hakika umeacha alama kubwa katika familia hii. Mungu akutunze mtumishi.

  • @pendaelsamuel2529
    @pendaelsamuel2529 2 ปีที่แล้ว +1

    pole sana mungu akusimamie

  • @chiddybanda4598
    @chiddybanda4598 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole San Kak, ila nakushauri Kama kuna uwezekano usije ukacheza mpira tena brow coz ulikuwa umeumia san, mungu akufanyie wepesi upone vizur 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @limymasele21
      @limymasele21 2 ปีที่แล้ว

      Hata mie kidogo niseme hivyo

    • @ednanewtonkyando2282
      @ednanewtonkyando2282 2 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mkuu saana atacheza tena

    • @upendomsuya4754
      @upendomsuya4754 2 ปีที่แล้ว

      Atacheza tena kwa jina la Yesu hakuna linaloshindikana kwa Mungu

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakusaidia utarudi uwanjani

  • @kyliangaspa6760
    @kyliangaspa6760 ปีที่แล้ว

    Mungu asidi kukupa nguvu upote kabisa My brother

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni watumishi wa mungu kwa upendo kwa Geradi

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aliyehai anakuponya....

  • @joellaizer1809
    @joellaizer1809 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka mungu atakuimarisha na utarudi ukiwa imara

  • @williamlazzaro121
    @williamlazzaro121 2 ปีที่แล้ว

    Tunakuombeya kwa Mungu upone kwali brother

  • @beyayomakoja3600
    @beyayomakoja3600 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie mtumish wa mungu

  • @musaomary4610
    @musaomary4610 2 ปีที่แล้ว

    Mungu yu nawe my brother amtegemeae mungu kamwe hamuachi

  • @michaelsamwelmmari9087
    @michaelsamwelmmari9087 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ambariki sana mtumishi wake

  • @thomasmbuko2328
    @thomasmbuko2328 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwaminifu atapona

  • @augustinemaxjcrc
    @augustinemaxjcrc 2 ปีที่แล้ว

    Huu ndio ukristo wa kweli @ukristo katika matendo!
    Tanzania tunajivunia kua na ww mtumishi wa Mungu

  • @sicaliusmwombecki5740
    @sicaliusmwombecki5740 2 ปีที่แล้ว +3

    Sema kijana ulipata mke

  • @emmanuelyegela9386
    @emmanuelyegela9386 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba

  • @fraitmgala5966
    @fraitmgala5966 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanamke ni wife material halisi 🥰🥰🥰

  • @dianasago9214
    @dianasago9214 2 ปีที่แล้ว

    Hakika atapona🙏🙏