Kwakweli Mimi mwenyewe nilikuwa naangalia Za miaka ya nyuma Nimebarikiwa Sana kuona umerudi live Hakika wewe Ni mtumishi wa Mungu WA kweli Sina shaka Iko siku ikimpendeza Mungu nitakuja kuchota Baraka hapo kanisani
Mtumishi mahubiri unayo hubiri hayapo kwa sasa makanisani mwetu ,,maana unahubiri injili kavu kavu ya Kristo ,unatubariki Sana na mungu akuongeze zaidi ili tupone pia kituo gani cha TV hunaubili ili tufatilie ibada zako tubalikiwe nasi.na kutoa sadaka
MTUMISHI WA MUNGU MUNGU AKUBARIKI YANI HUU UFUNDISHAJI WAKO NATAMANI USIMALIZE NAPATA HAMU YA KUENDELEA KUKUSIKILIZA MUNGU AKUTUNZE. UMENIFUNGUA MACHO MNO
Israel and Tanzania (There is the Bilateral relationship established by John Pombe Magufuli) Kiimani; Israel ni Taifa la Agano na kanisa lililopo (Tanzania) limekirimiwa Imani ambayo ndani ya hiyo tunapokea Ahadi zote za ISRAEL alizopewa na MUNGU. Hivyo ukiona bendera hizo sema BWANA ASIFIWEEEE
Si mitanzamo ya Kisiasa Tu ,Israel ni Heartt for the World,Ni Roho ya Dunia .NiTaifa la Mungu,,baada ya kuumba Mbingu na NchiAluwachangua tangu mwazo....anasema kwa sababu zake mwenyewe,Isaya41:8-16
Mtumushi nimefurahiya sana mahuburi ambayo unayatowa hapa mitandaoni nimekupenda sana na ningekuomba kuniombeya kusudi nisi baki siku Ile ya kunyakuliwa Kwa kanisa nikutwe nikiwa tayari kama bibi arusi
Ubarikiwe baba Mungu akuwezeshe
Ubarikiwe sana Mwalimu....Bwana YESU akutunze . na barikiwa sana unavyo fundisha
Pastor kiukweli unatukuza sana imani yetu kwa mafundisho yako yalyokomaa na yenye uvuvio ulio hai wa Roho Mtakatifu.Barikiwa baba yetu pastor Absalom
Mungu wa rehema azidi kulinda na akuzidishie maarifa na nguvu uzidi kutufudisha neno la mungu amen
Kwakweli Mimi mwenyewe nilikuwa naangalia Za miaka ya nyuma
Nimebarikiwa Sana kuona umerudi live
Hakika wewe Ni mtumishi wa Mungu WA kweli
Sina shaka
Iko siku ikimpendeza Mungu nitakuja kuchota Baraka hapo kanisani
Amina mtumixhi tunabarikiwa xana kwa mafundixho kweli umeandaa fanafunzi mungu akutie nguvu xana
Mungu akubariki sana pastor nabarikiwa na jumbe za siku za mwisho
Mungu akubarikiii sana mtumishi wake Yahusha hamachiaha messiah akutumiee sana kwa viwango vikubwa
Mungu Mwenyezwa Ibrahim mfalme wa aman azid kukubarik nakukulind my special dady
Tunakusikiya 10/10
Tangu nikufahamu mwaka 2007 mbuguni.. mpaka sasa.. wewe ni mtumishi ambaye Unanibariki sana.
AMEN AMEN shalom shalom Baba umenibariki sana
Amen Barikiwa mtumishi
Mungu akubariki Sana pastor
Mungu akutie nguvu
mungu akubariki Sana kwa mafundisho yako mungu akubariki sana
Mungu ni Saidie niliishi Neno lako.
Yes, i remember Elijah and the ravens(kunguru) we are not supposed to lack material things
Mungu akubariki sana baba
Mungu tubariki sote
Amen sana mtumishi
Mtumishi mahubiri unayo hubiri hayapo kwa sasa makanisani mwetu ,,maana unahubiri injili kavu kavu ya Kristo ,unatubariki Sana na mungu akuongeze zaidi ili tupone pia kituo gani cha TV hunaubili ili tufatilie ibada zako tubalikiwe nasi.na kutoa sadaka
Barikiwasana Mtumishi waMungu
Mwenyezi Mungu naomba siku ya unyakuo usiniache,nipe neema ya unyakuo wa uzima wa milele. Amina.
Amina, tulikuwa na kiu sana ya kusikia Neno
AMEN AMEN shalom Baba
Yehovah amekutia mafuta mabichi kwa ajili ya kizazi kwa utukufu wa jina lakdle. Kila siku napata kitu kipya kwako
Yesu nampenda
Umebarikiwa sana
Neema subway kuyasikia haha yote🎉
Amen amen🙏🙏
Amen 🙌🏾
Amen 🎉
Amen amen amen
MTUMISHI WA MUNGU MUNGU AKUBARIKI YANI HUU UFUNDISHAJI WAKO NATAMANI USIMALIZE NAPATA HAMU YA KUENDELEA KUKUSIKILIZA MUNGU AKUTUNZE. UMENIFUNGUA MACHO MNO
AMEN
Tuko wengi tuliokumisi tokea Ludewa njombe ubarikiwe.
Amen
Ameen
Tunatamani tinakiu ya. Kuskia
Emeni
Naomba nielewe kwa nini ndani ya hekalu la Mungu kuwemo na bendera za inchi ?
Israel and Tanzania (There is the Bilateral relationship established by John Pombe Magufuli)
Kiimani; Israel ni Taifa la Agano na kanisa lililopo (Tanzania) limekirimiwa Imani ambayo ndani ya hiyo tunapokea Ahadi zote za ISRAEL alizopewa na MUNGU. Hivyo ukiona bendera hizo sema BWANA ASIFIWEEEE
Si mitanzamo ya Kisiasa Tu ,Israel ni Heartt for the World,Ni Roho ya Dunia .NiTaifa la Mungu,,baada ya kuumba Mbingu na NchiAluwachangua tangu mwazo....anasema kwa sababu zake mwenyewe,Isaya41:8-16
Amen mtumishi napokea Kwa jina la Yesu amen 🙏🙏
Mtumushi nimefurahiya sana mahuburi ambayo unayatowa hapa mitandaoni nimekupenda sana na ningekuomba kuniombeya kusudi nisi baki siku Ile ya kunyakuliwa Kwa kanisa nikutwe nikiwa tayari kama bibi arusi
Hata mimi nimekutafuta sasana sikumuona lakini leo nimekuta YESU APEWE SIFA
Mungu tubariki sote
Amen amen amen
Amen
Amen
Amen, amen