DK SULLE ACHAMBUA, HISTORIA YA BIBLIA NA KWA NINI ILIITWA BIBILIA , JE NI KITABU CHA MUNGU KWELI ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2021

ความคิดเห็น • 454

  • @babauna3458
    @babauna3458 3 ปีที่แล้ว +18

    Maahaallah Dr sule , hii ndio kazi ya Amani na upendo. Allah akurehemu wewe na waislamu wote ulimwenguni.

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว +2

    Ukristo ni mfumo ambao haujawahi kufeli. Tafiti zake na mipango yake ni endelevu na ndiyo maana hawaangaishwi na wanojaribu kuwakosoa.mfumo wa Ukristo utawala Hadi Yesu arudi Hilo alisema Yesu mwenywe. Mt 16:16-18
    * Hakuna kama Yesu,Hakuna kitabu kama Injili.Injili Ina Habari. Za Yesu Alie hai*

  • @fadhilikawambwa1586
    @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +7

    DR SULLEY ALLAH SW AKUPE UMRI MREFU TUFAIDI ZAIDI HAYA MAMBO MATAMU.

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz หลายเดือนก่อน

    asante BWANA kwa roho wako,roho mtakatifu,roho wa kweli,nakuomba Mungu wangu, utukufu wako uujaze ulimwengu,uwajaze watu wako kwa roho wako katika ukuu wako Yesu kristo Mungu na muumba wetu

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว +3

    Kuongelea Ukristo au Bible ni wazi kuwa Q,ran Haina Cha kusimulia na kutoa challenge Kwa jamii. Ni rahisi Waislamu kuichambua,lakini hutamkuta Mkristo anaichambua Q,ran Kwa sababu Ukristo umetosha.
    Yesu atarudi na kuwahukimu wote.

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว +5

    Ni Mungu yupo aliiteremsha Quran. Nani walishuhidia.mwaka Gani na katika eneo Gani. Mungu mnaomuamini mnasema haionekani. Kama hakuna walioshuhudia ikiteremshwa,basi Hilo ni jambo la kushangaza. Maneno ya Biblia Yana umri mrefu kuliko kitabu chochote
    * Biblia ni kitabu kilichofanyiwa tafiti*

    • @esthertungani676
      @esthertungani676 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz หลายเดือนก่อน

      thank you LORD JESUS CHRIST for the HOLY SPIRIT

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 ปีที่แล้ว +6

    Jiulize bible ilikuwepo lini na mohamed kaja lini baada ya yesu ni ujingatu ulio jificha

    • @abdalahsuleman2791
      @abdalahsuleman2791 ปีที่แล้ว +1

      Yaani wewe hujui kitu

    • @gtunewaves2867
      @gtunewaves2867 ปีที่แล้ว

      @@abdalahsuleman2791 Amna anayejua kila mtu anasema kwa anavyoelewa

  • @user-ki6nw6ve7p
    @user-ki6nw6ve7p 3 ปีที่แล้ว +5

    Asaalmwalekm warahmatourlaih wabarakatu, mweyezimungu akufanyi wepesi ishaalh kutujuza tusio fahamu

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 ปีที่แล้ว +2

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu neno biblia ni neno la kilatini na kigiliki lenye maana ya kitabu au vitabu usipotoshe watu we shee . Inaonekana bado sana hujui kuhusu neno la Mungu

  • @shukurubalahi8630
    @shukurubalahi8630 ปีที่แล้ว +7

    Neno la Mungu ni taa ya miguu yangu. Sitateteleka na kama bibilia ni ya uongo nitaifuta na kuiamini hata kufa kwangu. Na ukweli ni kwamba unachokitafutia udhaifu ili watu wasikiamini ndicho cha kweli

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 ปีที่แล้ว

      Waisilamu wanawazaga kuuwa tu achana nao

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 ปีที่แล้ว +2

      @@kefajoseph158 imani potofu!!

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 ปีที่แล้ว

      Mnaifata kwa sababu inaendana na matamanio yenu, inawaruhusu kula nguruwe, kunywa pombe bila ata kukemewa inaeapambia maisha ya dunia

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      @@paschaljuma3312 nyie waislam hawanywi pombe?hawali nguruwe🤣🤣🤣🤣🤣

    • @haidarsalum9228
      @haidarsalum9228 ปีที่แล้ว

      Sio uutafute ukwl ndgu, ukifata kilichokua sio cha kwl, utapata unachoratajia siku ya mwisho?

  • @UtufyoPangachini-ru3yg
    @UtufyoPangachini-ru3yg ปีที่แล้ว +2

    Unahitaji kusoma sana mr sule ili uelewe mambo

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz หลายเดือนก่อน

    Na Mungu wetu,muumba wetu, YESU KRISTO wa Nazareth,akulipe sawa na uovu wako, wewe unayemkataa roho mtakatifu,

  • @hussaynmuhammad8782
    @hussaynmuhammad8782 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah

  • @jeanbb1385
    @jeanbb1385 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe Sana

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 ปีที่แล้ว +5

    Wewe Benson msikilize vizur siokuropokatu

  • @nevillekanju9491
    @nevillekanju9491 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sule uislamu wenyewe haujui vizuri je Biblia utaifaham

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว +3

    Bibilia n mkusanyiko wa vitabu je quran nini

  • @athumanihussein7827
    @athumanihussein7827 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimekuelewa

  • @paulmalagila4152
    @paulmalagila4152 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mungu hawez kuruhusu vitabu vyak vipotezwe

    • @haidarsalum9228
      @haidarsalum9228 ปีที่แล้ว

      Hakika, ndio maan hiyo hajachafua kitabu cha mungu ispokuwa wmchkua maneno na kuyawka ndan ya kitabu chauo, pia kwa kulithibitsha hilo kuwa vitabu vya mungu havichafuliw ni kwamba, Quran inamiak mingi sasa laki hkuna version wala kuonguza/ kuongeza katika kitabu hcho, ahdi hii imo ndan y Quran, ukifatlia utajua hilo..

  • @osmanabdi2632
    @osmanabdi2632 3 ปีที่แล้ว +5

    Asalaam aleikum Ustadh,
    Naomba nukusihi vitabu vya agano ya kale inna vitabu 39 na site 29 kama vile ulivvyo tamka. Pili, wana Israili wapitishwa bahari Nyekundu (Red Sea) na site Mediterranean Sea.
    Naomba radhi.

  • @nurudinehamimu5658
    @nurudinehamimu5658 3 ปีที่แล้ว +1

    Naam shekhe.

  • @bazibaker7986
    @bazibaker7986 3 ปีที่แล้ว +6

    Asalaamu aleykum my brother Dr sule mashalaah may Allah give you long life to do what you are doing wallaahi I'm following you for long time nimefaidika nyingi. Your brother Bazi abu Baker from London msomali

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah yaaan mungu akuongoze kwakweli kwasababu

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 ปีที่แล้ว +12

    Watu wa msalaba wanapingana na ukweli wa maandiko kama kawaida yao full coment za uzwazwa 😅 elezea shekhe wangu mwenye masikio na asikie asie sikia wacha apinge.

    • @fadhilikawambwa1586
      @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +3

      KWELI KABISA

    • @truthspeaker2405
      @truthspeaker2405 3 ปีที่แล้ว

      Kama kweli Biblia iliharibuliwa kwanin Muhammad alisema Wakristo na wayahudi waifuate vitabu vyao?
      Al-Baqarah 2:89
      And when there came to them (the Jews), a Book (this Quran) from Allah confirming what is with them *[the Taurat (Torah) and the Injeel (Gospel)],* although aforetime they had invoked Allah (for coming of Muhammad Peace be upon him) in order to gain victory over those who disbelieved, then when there came to them that which they had recognised, they disbelieved in it. So let the Curse of Allah be on the disbelievers.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 3 ปีที่แล้ว

      @@truthspeaker2405 mpigie simu Dr Sulle akupe elimu au kasome mwenyewe .

    • @nurualishaban7383
      @nurualishaban7383 ปีที่แล้ว +1

      @@truthspeaker2405 kama wapinga Nani alipewa hiyo biblia basi kama wakazana? Yesu alipewa injili sio biblia,mbona hamna akili nyie wakristo wenye shingo ngumu?

    • @suleimanmuhidin1753
      @suleimanmuhidin1753 ปีที่แล้ว +2

      Kwayyte yule atakaye kufa akiwa si muslim ataingia motoni milele namuomba mungu atutowe dunian haliyakuwa waislam mungu atufufue n mtume muhammad (saw) izo dini yengine n vitabu nyengine visivokuwa vile 4 ivo vyengine ni empty

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo hawapendi kujifunza wao wanaushabikituu, mwalimu anadomesha vizuri sana lakini wanacomment kwa hasira , sababu wao wanashabikia hata ujinga , walimu wao akipiga mikeleletuu bila kusomesha wao wanaamini hiyo ndoo ibada , hebu jifunzeni bila ushabiki halafu kawaulizeni wachungaji wenu

  • @casmuiddy7304
    @casmuiddy7304 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akujalie

  • @shabanrama802
    @shabanrama802 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuelewa sana Dr sule

  • @maulideabdala3832
    @maulideabdala3832 2 ปีที่แล้ว +2

    sawa nimekuelewa

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz หลายเดือนก่อน

    sisi ni mashahidi,tumeuona uwepo wako wazi, eeeeh Mungu wangu, YESU KRISTO, BWANA,utuokoe na watu wa dunia hii wanaofuta mapenzi yao,kila akuaminiye wewe BWANA muumba mbingu na nchi,na vyote viujazavyo ulimwengu,tumekuona na wewe hakika ni YAHWE

  • @pstyothamusabuye4111
    @pstyothamusabuye4111 9 หลายเดือนก่อน

    kuwa ni Neno la Mungu hakutegemei kukubali au kukataa kwako, ukweli unabaki pale pale hilo ni Neno la Mungu ukilitii unaona matokeo yake yalivyo, kwanza huna taalumu ya theology, unahitaji uokoke tu, uislamu umeanza juzijuzi tu.

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtatafakari sana lakin inatakiwa mjue kuwa akili za Mungu hazichunguziki.Bali utafuteni uso wa bwana Yesu mpate kuokolewa.

  • @eliudibosco
    @eliudibosco ปีที่แล้ว

    Huu ni uongo na hiyo niroho ya mpinga kristo kama toratai ni ya uongo unaisoma ili iweze kuwadanganya watu acha haraka usitafute masirahi yako kwenye maneno ya mungu tafuta masirahi yako tu.

  • @martoo539
    @martoo539 ปีที่แล้ว +1

    Siogopi kusema Ivi
    Bible is the only holy book ,,,,,I believe in BIBLE only ,,,,,,

  • @rumumbarumumba2403
    @rumumbarumumba2403 2 ปีที่แล้ว +1

    Man sha Allah sasa chekh wetu Sule injili yakweli ingepatikana??

  • @kusakisoma3168
    @kusakisoma3168 3 ปีที่แล้ว +4

    masha allah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah

  • @lenardkenedy542
    @lenardkenedy542 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nawasii Waislam tukiichambua Quran Usichukie Mue wapole kama sisi 🙏

    • @shahabdallah9407
      @shahabdallah9407 8 หลายเดือนก่อน

      Chambua bora useme ya kweli tu

    • @ElishaPeter-ln1ud
      @ElishaPeter-ln1ud 5 หลายเดือนก่อน

      Utopata mapungufu we chambua paka kiama

    • @sayidabdillah8505
      @sayidabdillah8505 3 หลายเดือนก่อน

      Quran ni kitambu cha mungu Allah sw ww chambua tuu hutakuta madhaifu bali itakufanya kjmuamini Allah sw yaani mungu mmoja tuu bila ya kjmshirikisha na kitu chochote
      Quran inaamrisha upweke wa mungu mmoja Allah sw, uchamungu,Quran ni sumarize ya vitabu 3 vilivyokuja kabla yake
      Zabur tauranga injil and last book nj Quran

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 ปีที่แล้ว +1

    Swadacta doctor sule

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa hio bibilia kapewanani benson

  • @munic6686
    @munic6686 ปีที่แล้ว

    ❤jazakallahu khaira Allah akupe umri mrefu shekh tuzd kunufaika

  • @husha6372
    @husha6372 ปีที่แล้ว

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Mbona Injili Ya mwanafunzi wa Yesu Barnabas haiko na ndio injili ya kweli Kwa Sababu jina la mtume Muhamed SaW liko kwenye injili ya Barnabas

  • @stephenmvuo7363
    @stephenmvuo7363 หลายเดือนก่อน

    According to me,,,,,god did not create religion bt this is an idea of some people's business

  • @user-ck9yy6zt9q
    @user-ck9yy6zt9q ปีที่แล้ว

    Wewe bado upo kwenye kwenye nyakati za unabii hivyo huwez jua chochote ila kumbuka si kila asemaye bwana bwana atauona ufalme wa mbinguni Bali yeye ayatendaye mapenzi ya mungu chambua bible verses zote na Korean ila jichunguze roho Yako unaenda sawasawa na mapenzi ya mungu

  • @shukurubalahi8630
    @shukurubalahi8630 ปีที่แล้ว +1

    Neno linasema mwapotea kwa sababu hamyajui maandiko

  • @AbJsm
    @AbJsm ปีที่แล้ว

    Na Pia Sisi WAISILAMU Lazima Tujiulie
    Hivi Vitabu Mfano
    Bukhari
    Muslim
    Al Kafi
    Ibn Maja
    Ni Vitabu Vya MMungu? Maana Asilimia 99 Dini Yetu Inategemea Hivyo Vitabu Visiokuwa Vya MMungu

  • @eliudibosco
    @eliudibosco ปีที่แล้ว

    Kumbe ni historian siyo maneno ya mungu

  • @martoo539
    @martoo539 ปีที่แล้ว

    Hebu angalieni hapa wenzagu😂
    Quaran Inasema endeni mkapiganie dini yenuu 😂
    Bible Inasema endeni mkawahubirie na muwabatizee kwa jina Kristu yesu🙏
    Which side makes sense 🙏🙏
    I believe in bibke

  • @dani72130
    @dani72130 ปีที่แล้ว

    Bible ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya Mungu ambavyo ni Torati, zaburi, injili .

  • @mullamtupa9116
    @mullamtupa9116 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 ปีที่แล้ว +1

    TOKA MWANZO HAD UFUNUO NI YESU MANENO TOTE YANAMUHUSU YESU NI KUTOKUJUA TU NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPE ROHO WAKE MTAKATIFU AKUONGOZE

  • @jacobjulius6244
    @jacobjulius6244 ปีที่แล้ว +1

    Nyie ndo mlipewa yenu close your mouse

  • @justussafari8111
    @justussafari8111 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dr Sulle anaufahamu mkubwa sana hata kuliko mapadri wengi na walimu wengi WA kikristo ijapikuwa Mimi ni mkiristo lakini lazima tukubali ukweli yakwamba Dr Sulle anaufahamu mkubwa sana.

    • @MapsizoShentee
      @MapsizoShentee ปีที่แล้ว

      Na vizur kusikiliza hoja zake na c kupinga ... SIKILIZA Fanya UTAFITI

    • @josephosborne3072
      @josephosborne3072 ปีที่แล้ว

      Mmh huyu ni much know,, biblia ni kibebeo tu ambapo ndan yake kuna vtab vitatu ukiondoa qran ambyo haimo,, biblia sio maandiko matakatf, sema huyu hamnazo

    • @allyhemed6380
      @allyhemed6380 11 หลายเดือนก่อน

      Allah akuongoze upate salama ukisilimu madhambi yote mungu anakufutia uisilamu uko sawa Kama unavyoona uisilamu ni unyenyekevu hata yesu ni mnyenyekevu

  • @user-fu3cg3gv9g
    @user-fu3cg3gv9g หลายเดือนก่อน

    Haina haja kuumiza kichwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi

  • @mgallaeliah1364
    @mgallaeliah1364 ปีที่แล้ว

    Pamoja na kwamba nimechelewa kuisikiliza
    Mbona unatoa references za manabii wote waliotumwa na MUNGU kutoka kwenye Biblia, lakini Mohammad hayupo, musa yopo kwenye Quran, Yesu yupo kwenye Qurani, na hao pia kwenye biblia wapo Kwanini Mohammad hayupo kwenye Biblia? Je yeye(Mohammad) alitumwa na nani mbona hathibitishi kwenye biblia. (Torati ni sheria ukumbuke hilo popote utakaposoma pameandikwa torati kuwa na kumbukumbu)

  • @mohamedmohamed1395
    @mohamedmohamed1395 ปีที่แล้ว

    😂😂 Asante daktari Swali ni BIBILIA NI KITABU CHA NANI NA KAPEWA MTUME/NABII GANI???????? kuruka ruka ndio kuiva Kwa maharageee😅😅😅😅

    • @januarymagai
      @januarymagai ปีที่แล้ว

      Kwani wewe unasema injili,torati,zaburi viko wapi si ndani ya biblia Yani unasema wewe si mtanzania wakati nida na utambulisho wako unakuonyesha dhahiri,unayo macho alafu unasema siyo ya kwako

  • @dani72130
    @dani72130 ปีที่แล้ว

    dr sule inajichanganya, soma malaki 4:4

  • @gitongatitus1553
    @gitongatitus1553 ปีที่แล้ว +1

    Bible is the messages that had been given to prophets of GOD himself or it is GOD who had written the same bible or in another word it is to say that bible it is GOD himself in the physical.
    But it doesn't address truly who Jesus Christ is because Jesus Christ is the true GOD as per the bible in the book of John chapter 17 as from verse 2 to 3 read together with bible in the book of John chapter 14 as from verse 10 to 11 and bible in the book of John chapter 10 verse 30 as well in the bible in the book of John chapter 15 as from verse 22 to 24.
    Here meaning or saying that GOD is the one who had originated from Jesus Christ who was there before anything else being life entity and his real name is life where all other lifes had been originated the life of GOD included.

  • @ukorainzuku8301
    @ukorainzuku8301 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah mungu akuongezee maisha ili udufundishe zaidi

  • @irenekaluse3213
    @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

    Kaeni na mtume wenu alokuwa hajui kusoma na na siku akirudi nabii isa hajui atafanywa nini

  • @naomimachumu5480
    @naomimachumu5480 ปีที่แล้ว

    Rudi usome kwa makini bibilia Ni muunganiko wa vitabu vyote vya manabiii au watu mungu aliowaandaa ili watuletee sisi . Then tofautisha majors na nyakati usiunganishe nyakati kwa akili yako au ulichokalilidhwa mungu hajawah kushusha kitabi Bal alishusha mbao zilizobeba amri na pia alikuwa anaongea na manabii Kisha manabii wanaandika, jiulize Mohammad alikuwepo lini na yesu alikuwepo Lin ujue kuwa Mungu ni wa wote wenye mwili. Hivyo vtab unavyotaja ndivyo muunganiko wa biblia Kama unajua injili ya yesu inauongofu na Nuru amka sasa ukatubu maana unachokiongea hukojui vzuri

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y ปีที่แล้ว

    Wee joezono8 ndie unaeropoka, hizo zinzotolewa na dr sule ni hoja madhubuti, za kielimu, sasa na ww unatakiwa uzijibu kielimu, jibu hoja acha kuropoka, au kulalamika,

  • @elyonredtech
    @elyonredtech 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa ni cartel anasema biblia si kitabu cha mungu alafu anatusomea kutuonyesha vile torati injiri na zaburi kwa biblia na anaiita maandiko matakatifu. Kuran pia iekwe kwa biblia

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwa nini mnapenda sana kusema sema ukristo? Miaka kadhaa hapa nyuma mlikua mkiponda sana Biblia, leo hii mnaitumia Biblia kufundishia na kuuponda teana ukristo.... ajabu sana, Biblia ni jina la mjumuiko wa hivyo vitabu vyote ulivyo sema, sasa kuweka hoja ya ubishi ubishi inasaidia nini sasa

  • @havyarimanaemery
    @havyarimanaemery ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu jifunze biblia yeremiya hajasema tautati

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ya Uislamu ni dini ya haki

    • @januarymagai
      @januarymagai ปีที่แล้ว

      Poteeni tu wazee wa kukariri

  • @user-gu5ws4yl1l
    @user-gu5ws4yl1l ปีที่แล้ว

    Dr sulle vizur sana, wakristo jifunzeni darasa hili, msipohelewa hapa hamtaelewa tena.

  • @francishura7627
    @francishura7627 3 ปีที่แล้ว +1

    Masheikh na wachungaji,, tangazeni neno la mungu sio kusema na kuongea vibaya na dini nyingine.. Maana siku zote anaejikweza ushushwa mbele za mungu... Usijidanganye sheikh kama chako bora kuliko cha mwingine...nyie ni mpo kufunza watu dini au neno la mungu?

    • @seebs1156
      @seebs1156 3 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi hawafunzi neno la Mungu bali wanafunza dini wanapenda kujikweza kujiona wapo corect

  • @mirajijuma-ti2yg
    @mirajijuma-ti2yg ปีที่แล้ว

    Umekomalia tu ubishi tuambie biblia imeteremshwa kwa nabi gani wakati vitabu vyote vina manabii

  • @martinekanji8537
    @martinekanji8537 ปีที่แล้ว

    Mbona hafanya research kuhusu vyanzo vya uislam amachacha na bible ambayo imefanyiwa research na karibu kilamtu.? Acheni unafiki fanyieni Quranic research .. mtakayo yapata mtakuja hapa na machozi.. Quran Ina habari mingi ilihepa sana Kisha muhim.. na zingefanya Quran muhim sana but vile ilihepa ni pigo kubwa sana kwake

  • @makalani4759
    @makalani4759 ปีที่แล้ว

    Shida biblia inasomwa kama adithi ila biblia unaitaji roho mtakatifu akuongoze

  • @sharomdguda
    @sharomdguda 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi wakristo wanaweza kukaa hata dakika Moja kukisoma kitabu Cha qurani ! Haslan habadan , kitu haramu ni haramu tu, waislamu miaka yote hooo Biblia siyo kitabu Cha mungu lkn kitabu hiki kinawafanya waislamu hawalali usiku na mchana wakiangaika na Biblia tangu enzi na enzi . Mbona wakristo na wayahudi mbona hawana time na qurani! , Uislam umekuja duniani na kukuta ukristo na uyahudi upo miaka kabla ya Muhammad?! Sikiliza maswali yake yalivyo ya kislam kislam ovyo ovyo eti Biblia kapewa bwege gani? Kweli umewapata waislamu

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว +1

    Nakuliza swali wakati quran inataja kwamba watu wa bibilia Yani mayahudi na wakristo ulikuwa waelewaje quran yako

    • @jamalmnema8334
      @jamalmnema8334 10 หลายเดือนก่อน

      Imesema watu wa vitabu haujasema bibilia

  • @lucamanguo8410
    @lucamanguo8410 9 หลายเดือนก่อน

    Dini ya juzi karne ya saba. Inashindana na dini ya karne ya tatu.

  • @kakakuonamprubenikakakuona1387
    @kakakuonamprubenikakakuona1387 ปีที่แล้ว

    Ulikuwepo? Au mnashadadia mission za Hawa washenzi wakoloni wa kiaarabu na kizungu?

  • @kristensiamartin9114
    @kristensiamartin9114 2 ปีที่แล้ว

    Angeanza na kitabu chake kwanza

  • @ZAMB334
    @ZAMB334 ปีที่แล้ว

    Mbona unasema zaburi kapewa nabii mohamed tena unasena zaburi kapewa daudi inamaana walipewa wote wawili zaburi

  • @user-yj6rr8qf1x
    @user-yj6rr8qf1x ปีที่แล้ว

    Kwani hivyo vitabu vilivyoshushwa kwa manabii vilishushwa vitabu kama vitabu au walivuviwa watu kuandika hayo maneno matakatifu ya maandiko?????

  • @user-xr3iv3ts3p
    @user-xr3iv3ts3p 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe hata ndacha hakufai una hoja za kitoto mahadhiri muisilamu pekee nadhani shafi mazinge kazeeeka anautindio wa bongo

  • @allykamunya
    @allykamunya 3 ปีที่แล้ว +2

    Hi video ni kwaajil ya kufundish na kukup hint ufany uchunguz sio unakua mpumbav, Freemason hawatak dini ya uislam na ukristo jichunguz kwann dini ckuiz inakua Kama biashara Sasa ndo nawaambia watu hii video ya kukufundisha .

    • @datchdatch3836
      @datchdatch3836 3 ปีที่แล้ว

      usitukane kama unaona kakosea mkosoe kwa kutaja vifungu . jazba ktk mambo ya dini haipendezi.

    • @mostoryhub
      @mostoryhub 3 ปีที่แล้ว

      Huyu si tapeli tumeambiwa Kyle😂😂😂

  • @januarymagai
    @januarymagai ปีที่แล้ว

    Ameweka namba mbona hapokei,muislamu anayejiamini naweka namba nimpe vitu mnavyofichwa waislamu

    • @MaulidsaidRijeby
      @MaulidsaidRijeby ปีที่แล้ว

      Wakristo huwa wakiona njia sahihi kwao ni rahisi zaidi kutambua na kufata, fata njia ilonyooka sasa

  • @noeljuvenalmunishi75
    @noeljuvenalmunishi75 ปีที่แล้ว

    Umesema bibilia in a vitabu 66 agano jipya ina vitabu 23 na agano jipya 29
    Kitu ambacho hesabu ya maneno yako havina ukweli, je hivyo vingine?

  • @petermganga6657
    @petermganga6657 2 ปีที่แล้ว

    Andiko huua roho mtakatifu huuisha,,

  • @jacobjulius6244
    @jacobjulius6244 ปีที่แล้ว +1

    Embu ututolee ujinga ongea fact izo ni tabia za ki mbwa

    • @sauzimikito8346
      @sauzimikito8346 ปีที่แล้ว

      mbwa ni wachungaji wenu,Jacob julius

  • @zachanoah8494
    @zachanoah8494 ปีที่แล้ว

    Dante nimeelewa

  • @marymnemela2432
    @marymnemela2432 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusaidie kuutambua ukweli, ipo siku Yesu atakuokoa

    • @ilungavumu6508
      @ilungavumu6508 ปีที่แล้ว

      Ni vyema ukamjibu tu swali hilo kama unajua na sisi tujue

    • @martoo539
      @martoo539 ปีที่แล้ว

      Mwambie tenaa

  • @finiasezra7072
    @finiasezra7072 2 ปีที่แล้ว

    Mbona unatuchanganya inashauri gani kua ayo unayoyasoma ni ya Alla?

  • @NanaGyfty-gt1ie
    @NanaGyfty-gt1ie 8 หลายเดือนก่อน

    Ni vema kusikiliza na kuelewa sio mtu anabishana na kuona kuwa shehe ayuko sawa hata nyie wakristu mkisikiliza vizuli mtaelewa

  • @shukurubalahi8630
    @shukurubalahi8630 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kiongozi ni wap katika Quran kuna torati,zabur na injli

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 3 ปีที่แล้ว

    Akiliako ndo inakudanganya mnasoma bibilia arafu mnapinga fundisheni yakwenu wapinga crst nyinyi

    • @masoudshaban6609
      @masoudshaban6609 3 ปีที่แล้ว

      Kristo ni nani kwanza...ebu muelezee

  • @shijaramadhani8123
    @shijaramadhani8123 ปีที่แล้ว

    Sule mh

  • @crownprinceea2456
    @crownprinceea2456 ปีที่แล้ว +1

    Watu wangu wanangamia kwakukosa maarifa wewe huna maarifa

    • @saleherajabu6890
      @saleherajabu6890 ปีที่แล้ว

      Maarifa mmeshazoa kuongepewa mandiko yenyewe sio ya mungu,niyakina matayo ,yohana,yakobo,wakolinto joshua,walawi warum n.k..mana yesu ndo kapewa injiri ,lakini sasa ayo majina yakima yohana yameingiaje

    • @crownprinceea2456
      @crownprinceea2456 ปีที่แล้ว +1

      @@saleherajabu6890 unaonekana huna elimu kwaio acha kupaza sauti sasa kitabu chenu kuna mpaka kitabu cha maji kila kitabu kinajina la mtu au hujawahi kisoma kitabu chako au hujui kama wale ni watch
      1 Al Faatiha
      2 Al Baqara
      3Al Imran
      4 An Nissai
      72 Al jinn
      Au huju kama haya ni majina ya watu hizo sura zote nimajina kama huju sura ya kwanza mpaka ya 114 ambayo inaitwa ANNA acha kuongea usiyo yajua

  • @nelchenda1237
    @nelchenda1237 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ninashinda yakuamini kila nikisikiliza watu, nimeamua kuamini akili yangu tu sasa

    • @nasrimbaraka341
      @nasrimbaraka341 ปีที่แล้ว

      Amini quran maana maisha yako yote yapo

    • @nasrimbaraka341
      @nasrimbaraka341 ปีที่แล้ว

      Na kingine quran inaeleza mpk mambo yanayokuja tokea mamb yaliyopit bado huamn tu

    • @alisalum8908
      @alisalum8908 ปีที่แล้ว

      Ukiona hivo jitahidi uijue haki iko wapi

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 ปีที่แล้ว

      Sasa unahangaika nn kwakuhani musa kwa mwamposa wamejaa kibao wewe piga pwapwa zk

    • @haidarsalum9228
      @haidarsalum9228 ปีที่แล้ว

      Haupo sahih, hautakuwa salama siku ya mwsho tafta ukwl, uufuate huo ndio ushauri wng kwko..

  • @mkolotz1156
    @mkolotz1156 3 ปีที่แล้ว

    wemsenge kweli

    • @yussufpazzi6715
      @yussufpazzi6715 ปีที่แล้ว

      Msenge wwx

    • @raulianraphael6853
      @raulianraphael6853 ปีที่แล้ว

      Usitukane ndg ang na mkristo mwenzangu njia yetu na yakweli ni Yesu
      Tatizo n pale biblia nyingine n vitabu 72 nyingine n 66 na biblia kua na matoleo tofaut tofaut

  • @justinejonas4187
    @justinejonas4187 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations Dr,Sule

  • @bensonlangat640
    @bensonlangat640 3 ปีที่แล้ว

    Revelation 1:1 waja uongo

  • @annetmathias4157
    @annetmathias4157 ปีที่แล้ว

    shekhe umekulupukia mambo usiyo yajua biblia ni kitu chatofauti sana tofautisha na vitabu vingine
    kwanza ili uielewe lazima uiamini ,
    pili haisomwi kama gazeti unavozania wewe hivo
    tatu hujui tafsili yaneno biblia
    nne usifanye mambo kwakutaka kushindana na mtu au imani ya mtu kama unajiamini na dini yako na upo sahihi na imani basi baki nayo usikulupukie yajilani yako yaache
    naomba nikujibu kiufupi tu
    Biblia ni kitabu cha vitabu yaani namaanisha kimepewa jina biblia kwasababu kimebeba vitabu vyenzake ndani ambavyo vimewekwa humo ili kupunguza nakufanya wepesi waupatikanaji kwasababu vitabu ni vingi
    nikushauli tu kama unataka kusemea jambo kama hilo siku nyingine fanya uchunguzi wamambo kabla hujauambia uma mfano mimi siwezi kutukana au kusema habari za kuruhani wakati hata kilichoandikwa sikijui na sijakijua hata kama nikijifanya nakijua nitakua muongo kama wewe unashadadia tu akati hata kialabu chenyewe hujakimaliza umeanza kudandia biblia.
    pia Dini siyo yako wala yangu jitaidi kutafta kwanza utakatifu wako wewe na MUNGU wako nauhakika hata sasa unataka ujihesabie haki kuwa wewe na dini yako mpo sahihi kumbe hata sasa tukifa hujui kinachofata nyuma
    ila sikupingi mana nchi yetu ipo huru na unaruhusiwa kufanya lolote nakuzungumza tu
    naomba achana na biblia sabu ni neno la MUNGU na lina NGUVU hata sasa linafukuza mapepo linaponya linafufua wafu hata linaweza kumfufua Mtume Mhamadi huyo unae mshadadia wewe ambaye yeye alisema mfwateni mtoto wa mariam ndiye mkombozi wako

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ni nyakati za mwisho kila mtu ashike yake,ushauri wangu mtafute Mungu wa kweli

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu wa kweli tunayemuabudu ss waislamu..! Wengine huabudu watu waliokuwa wakila na kwenda choo ..!

    • @mukrimmohd8954
      @mukrimmohd8954 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna kushika lake dini ipo na imetimia na tunatakiwa tuiftate

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว +1

      Waislam wanamjua mungu wa kweli ila Wakristo hamumjui mnabakia kumuabudu mwanaadam mwenzenu tu

  • @ramahzedon6688
    @ramahzedon6688 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitabu kimeshushwa, hata Musa alikuwa anapewa aandike

    • @Moon-rp5tm
      @Moon-rp5tm 3 ปีที่แล้ว

      Nani kasema kimeshushwa

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumekuteremshia kitabu cha quran na wale tuliowapa biblia. Nenda kasome quran bwege we

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 3 ปีที่แล้ว

      aya gani iyo inaosema ivyo!!!!?? kweli kuwa mkristo ni shidda !!!

    • @ridhiwaniswaleh7878
      @ridhiwaniswaleh7878 3 ปีที่แล้ว

      Makafiri akili zao mbovu

  • @yohanamoikan7709
    @yohanamoikan7709 ปีที่แล้ว

    Je waislamu wanavitabu vya torati enyewe tu??? Au imechanganywa na frukani ??? Manake Kiran ni mkusanyiko wa vitabu vya kuabudia na hivyo ndivyo ilivyo bibilia