Mm naonelea nivyema kuhojiwa ndio tupate ukweli kutoka kwao😢.nawanao toautabiri na tabiri za ushetani utawabiya aje wale mara jiwe imenena mara kafara mtawambiya nn
Lakini walichelewa sana , kabla hawajamkimbiza hospital ..angesaidiwa labda vile alipanda ndege kurudi Tanzania , roho ilibidi ijipige sana wangrmwacha atibiwe kenya tu ....hiyo kumsafirisha huku na huku then alipofika hospitali tena akalala ndio atibiwe keshowe ....walichelewa sana ...kumpasua
Poleni sana familiar ya Marco mungu awape faraja
😭😭😭pole sana Dada Mungu awe faraja kwenu
Pole sana mama we will miss the voice of Marco
Dada wamariko fanyasu bira
Poleni sana YESU awafanyie wepesi
Yaan waandish jamani kila mara mna wasumbua tu subli basi msiba uishe 😢
pole sana dadangu mungu awe mufarishi wenu
Du! alikuwa na majina mengi, kijana wa mfano, msuruhishi.polen sana kwa msiba huu mkubwa
Dada pole sana jipe moyo mkuu,Mungu amemuita ila inauma sana hta mmi nalia sana japo sijawai ishi nae namjua tu kwa kz yake kweli rip
Mngewaacha wafiwa wapumzike maana mnawahoji sana
Tunatakiwa watanzania tupate habari
Poleni familia na Tanzania nzima
Poreni sana dada yangu
Poleni sana
Pore sana dada angu kwakuondokewa namundongowako kipezi 😂😂😂rinuma sana
Pole sana familia
Pole dada
Nawapa pole sana jamani😢
Mm naonelea nivyema kuhojiwa ndio tupate ukweli kutoka kwao😢.nawanao toautabiri na tabiri za ushetani utawabiya aje wale mara jiwe imenena mara kafara mtawambiya nn
polen sana Kwa kuondokewa na mpendwa wetu😂😂😂
What's funny 😢😭🙄😏
Jaman mbna wacheka wakati wa msiba😢😢😢
Ujifunze kutumia emoji 😢😢😢😢😢
Polen Sana
Jamani wafiwa wasiwe wanahojiwa mana wako katika hali ya majonzi hata kuongea hawawezi.
Lakini walichelewa sana , kabla hawajamkimbiza hospital ..angesaidiwa labda vile alipanda ndege kurudi Tanzania , roho ilibidi ijipige sana wangrmwacha atibiwe kenya tu ....hiyo kumsafirisha huku na huku then alipofika hospitali tena akalala ndio atibiwe keshowe ....walichelewa sana ...kumpasua
🙏🙏🙏🙏
RIP Marco
Yani wanataka maelezo ya kilamtu jmn.
Aki nyiyi watu wa itntaviu mko nashida gani na mashwali
Maswali ni yaleyale jameni wanahabari waacheni waombolezaji mnawasumbua mmezidi
HV NYIE WANDISHI KWANN HUWA MNAWAHOJI WATU WAKIWA WANA HALI NGUMU?KWANN MSIWE MNAWAACHA WAPUMZIKE KWANZA?
Acheni uchonganishi wa ndugu na madaktari ninyi waandishi..acheni familia imlilie na kumuombea apate pumzike kwa amani
Kabisa
Muandishi mpuuzi huna utu, mnatumia wafiwa kujipatia views