Not Dar Young African ---- ni " YOUNG AFRICANS " mna haribu sana majina ya taasisi ninyi waamdishi uchwara wa " kizazi kipya --- jifunzeni na muwe tayari kubadilika "
Siku ya Yanga ilikuwa nzuri sana, Manara tu ndo aliiharibu kwa kuanzia kutambulisha watu wasio na impact kwenye tukio. Hamisa Mobeto anaharibu kiwango Cha Aziz halafu unamyanyua wa kazi gani. Mambo ya Aziz na Mobeto ni too private hayahusiki kwenye sherehe yetu.
ingekua kutangaza dini kwenda kumuona shekhe kutangaza dini ya kislam dini ya allah wasingeweza kuja lakini maisha ya Dunia watu tunawafata kutoka mbali sana masa mpaka ufike lakini dini watu awana habar yoyote
I ❤ young Africa team.from Zambia ku chalo
Dada wa Kenya, tunashukuru kwa kukaa. 1 perfect love💪
Mzee katisha Yanga damu huyo💚💛💚💛💚💛💚💛
Hakika yanga leo mmenifurahisha nipo saudiya
Mungu awabariki jamani mfanye mambo tofauti
Hahahahhahahah uyu mzeeeeee
Mwakyoma umetisha sana broo
Yanga yangu jamani ❤❤❤ we huongopi
Asante Sana ayo TV kwamatangazo nipo hewani kwajili yenu😮😮😮🎉🎉
nan alisema hamn full house
All the best myteam
Hui hui my yanga
kutoka saudia nawapata vyema ayo tv
Mzee anajuwa
Leo watajaa wakabaji, utasikia kesho.
Mbona Kama Mr Nice😂😂😂😂😂
Not Dar Young African ---- ni " YOUNG AFRICANS " mna haribu sana majina ya taasisi ninyi waamdishi uchwara wa " kizazi kipya --- jifunzeni na muwe tayari kubadilika "
Yanga bingwa 🙌🙌💚💚💚
Kwani saa ngapi mpira waanza😢😢
Radio yenu inasumbua tangu jana
Mwananch💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💛💛💛
❤❤wanachiiii💛💚💛💚💛💚💚💛💛💛💛💚💚💚💚💚
Siku ya Yanga ilikuwa nzuri sana, Manara tu ndo aliiharibu kwa kuanzia kutambulisha watu wasio na impact kwenye tukio. Hamisa Mobeto anaharibu kiwango Cha Aziz halafu unamyanyua wa kazi gani. Mambo ya Aziz na Mobeto ni too private hayahusiki kwenye sherehe yetu.
Duhh eti ubwabwa ubwela pumbafu
Mtangazaji bhna eti watu wamependeza na jezi na mnyama
UBAYA UBWELA🦁🦁
Wazee wa ovyoo kabisa😂😂😂😂😂
Yanga inatushaaaa
Mbona hawaiingii dani
Nenda kawaingize
Wanaingia kwa mpango hauwaoni
😂shabiki Lia Lia dah huyu mzee katishaa
ingekua kutangaza dini kwenda kumuona shekhe kutangaza dini ya kislam dini ya allah wasingeweza kuja lakini maisha ya Dunia watu tunawafata kutoka mbali sana masa mpaka ufike lakini dini watu awana habar yoyote
Duh kweli..
Hata wewe usingekuwepo kwenye comment
❤❤❤❤❤❤❤❤
Wee huogopiii
Jirani we huongopi?? 😅😅😅😅
Yanga ni hatari
Bado saana chakuiga ni chakuigatu jambo liliisha Jana tu
VP utopolo
Yanga big up
Furaha inamuliza (wewe huogopi
Inaelekea wanaingia bure ndio maana wanakimbia,babu msanii kweli
❤
Jezi za mnyamaaa watu wamependeza😅😅
Kumbe nawe umemsikia mtangazaji
Safi😊
💚💛
Supu imeisha ndug zangu
Usichuchafuwe hakuna mnyama hapo
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂