EACC imekabidhi ardhi chenye thamani ya ksh. 400m katika kaunti ya Kisumu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2023
  • Tume ya kupambana na ufisadi nchini hii leo imekabidhi kipande cha ardhi chenye thamani ya shilingi milioni mia nne kwa serikali kaunti ya Kisumu. Hii ni kufuatia uamuzi wa mahakama ulitolewa mwezi Novemba ambapo mwekezaji wa kibinafsi alipatikana na hatia ya kunyakua kipande cha ardhi kilichotengwa kwa ujenzi wa mabomba ya kusambaza maji. Na kama anavyoarifu Laura Otieno tume hiyo sasa imewaonya maafisa wa wizara ya ardhi ambao wanatoa hatimiliki ghushi za ardhi kwa wawekezaji wanaonyakua ardhi ya umma.

ความคิดเห็น • 2

  • @edu-pw7hu
    @edu-pw7hu 7 หลายเดือนก่อน

    What about ,milimani gorvement houses.
    The lower kisumu hardwares jubilee etc are on government land. Kindly check all the above ..
    In kondele top the main sewer line has been built on.eston stage after kona ledjo.. towards port

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 7 หลายเดือนก่อน

    Ardhi yenye thamani
    Kipande Cha ardhi chenye thamani