Wagombezi kadhaa kaunti ya Kwale waghadhabishwa na hatua ya kutoa tiketi moja kwa moja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 เม.ย. 2022

ความคิดเห็น • 10

  • @mohdomar1843
    @mohdomar1843 2 ปีที่แล้ว

    Munampenda sana ashawapanga hakianaetoa ni mwenyezimungu

  • @rzekiomari2333
    @rzekiomari2333 ปีที่แล้ว

    Good

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 ปีที่แล้ว

    Mpeni mama Sikukuu ticket ya UDA ramisi iyo itakua sure bet

  • @ramadhanmzungu665
    @ramadhanmzungu665 2 ปีที่แล้ว

    Hilo ni Giza la UDAKU mamangu

  • @hamadkilalo9713
    @hamadkilalo9713 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwaona kiza mchana na bado

  • @usiniletee
    @usiniletee 2 ปีที่แล้ว

    Imagine out of 20 wards only three went to nomination. Wa kwale hiyo ndio munaitaje. Kupangwa ama kupangika. Hebu twelezee. Hivyo pia ndivyo mashamba yenu itapangwa, endeleeni kuimba wheelbarrows.

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 2 ปีที่แล้ว

    Kura ziregelewe tu ramisi ward,ili usawa upatikane

  • @Helen-yj1sn
    @Helen-yj1sn 2 ปีที่แล้ว

    Mumechapangwa!!

  • @osiaderek3393
    @osiaderek3393 2 ปีที่แล้ว

    Ni kupangwa tu kila mahali.. UDA HATARI

  • @alimwatajiri1202
    @alimwatajiri1202 2 ปีที่แล้ว

    wacheni kujisumbua jameni UDA hakuna haki bali kutumia watu vbaya