HASHIM IBWE APONDA MASHINE MTOA ROHO WA SIMBA SC|KISA FEITOTO ALIA NA YANGA|AWEKA WAZI ISHU YA CHAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 70

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mashabiki wa Simba wanapenda sana kudanganywa, kila siku wanadanganywa kuwa viongozi wa Simba wanafanya mazungumzo na viongozi wa Azam. Halafu mashabiki wa Simba wanakomenti kuwa Fei ni mali ya Simba

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 5 วันที่ผ่านมา +3

    Simba wamchukue fesal? Hamna kitu hicho, hizo ni za akina gb00000.

  • @OmaryAllykumba
    @OmaryAllykumba 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mbali wap raund ya kwnza tu outside 😅😅😅😂

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mashindano ni uzoefu mujitahidi kusajili wachezaji wazoefu

  • @KiboJoseph-cc5eu
    @KiboJoseph-cc5eu 4 วันที่ผ่านมา

    unajua kutangaza, utafika mbali tia bidii, maswali, hekima ya kuingia na kutoka, umalizaji wa mazungumzo, safi

  • @law93king
    @law93king 4 วันที่ผ่านมา

    kuna mchambuzi amesema ni aziz,then akasema amemaliza mkataba swali je kama kamaliza mkataba hiyo offer mnataka awajibu nani😂

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 5 วันที่ผ่านมา +2

    SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOO

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mwamba umewapasua nimekuelewa madundu midomo😂😂😂

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 5 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂usituombe sisi tunawachukulia tu poa hivo hivo acha ujinga

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 5 วันที่ผ่านมา

    Watu waje kufwata feisal mwenye nuksi 😂😂😂 poleni hawawezi kabisa nikimeo😂😂😂😂

  • @zebedayoloilukumai.8813
    @zebedayoloilukumai.8813 5 วันที่ผ่านมา +1

    Tatitizo ni utoto. Ukikua utaacha tu

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 5 วันที่ผ่านมา +1

    Azam fc mwaka huuu wanajambo lao kabisa na naamini watafanya jambo kubwa sana

    • @chinaaudax6459
      @chinaaudax6459 4 วันที่ผ่านมา

      Jambo kubwa labda wazidishe kuhuza ukwaju Ndio jambo lao kubwa

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 5 วันที่ผ่านมา

    Fei nimchezaji mzuri lakini ww msemaji unampandisha sana

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 5 วันที่ผ่านมา

    Simba tu hapa hao wengine hawajulikani ,Fei atakuja Free 😂😂😂

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu kijana wa mgagao mparee ni sawa na kinbuziii kimbalelooo

  • @user-jk4xr8tc7j
    @user-jk4xr8tc7j วันที่ผ่านมา

    aah xx azam fc a2na shida xx xixi azam fc a2wapi nyeye ximba maxikini 2 yamuna levoo ya mchezaji wa2

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 5 วันที่ผ่านมา

    Fei aende simba ndo ataakua zaid moto ila ata akiwa azam fei ni yuleyule mtuwamana sna

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h 5 วันที่ผ่านมา

    Zile 3 hazikukutosha sasa awamu hii wallah mnakula 7

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 5 วันที่ผ่านมา

    Wanataka kumpora wa geita na kmc kama walivyofanya kwa Lawi, aibuuu.

  • @user-gx9jr5le2f
    @user-gx9jr5le2f 4 วันที่ผ่านมา

    Sifa ndio zimewajaa

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi iliuwe msemaji watimu kigezo ni kuwa mpuuzi????
    Hii inashusha Hadi ya soka letu
    Klabu zetu ziboreshe hizi idara iwaondoe wababaishaji na wapuuzi

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 5 วันที่ผ่านมา

    MAKOLO wanapenda vitu vizuri lakini mikono yao mifupi🤣🤣🤣🤣

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 5 วันที่ผ่านมา

    Kwani Feisal amelelewa na AZAM mbona unasema uongo

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 5 วันที่ผ่านมา

    Feitoto anaipenda simba

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 5 วันที่ผ่านมา

    Nanyi eti mna mashabiki Simba na yanga waseme nini?

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 5 วันที่ผ่านมา +1

    Azam naiona mbali kuliko makolo🎉🎉😂😂😂

    • @Gisakijamaduda
      @Gisakijamaduda 5 วันที่ผ่านมา

      Weeeeeeee ngogwe hujui maana ya makolo ni wajomba wa manara kizaramo hivyo utopwax mnafikiri ni tusi😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @mgendihdellicy6210
      @mgendihdellicy6210 4 วันที่ผ่านมา

      hahahahahaaa kipofu leo kaona

  • @YahayaMkahepe
    @YahayaMkahepe 5 วันที่ผ่านมา

    Ww muongo. Mara hakuna ofa ya feisal mara imekuja moja. Sasa tuelewe nn?

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 5 วันที่ผ่านมา

    Tupo Yanga tunakungoja tukukande

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 5 วันที่ผ่านมา

    Mkipigwa figisu musiweke mpira kapuni

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 5 วันที่ผ่านมา

    Uko sawa jamaa huna mbamba azamu mko poa sana sio hao juma mwiko

    • @chinaaudax6459
      @chinaaudax6459 4 วันที่ผ่านมา

      Sasa wewe unaongea au unabwabwaja utakaa hapo nafasi ya tatu mpaka ukome na shilikisho lako kumbe ruza

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu bwege na Aliy kamwe

  • @user-ox1eg1ej6u
    @user-ox1eg1ej6u 4 วันที่ผ่านมา

    Hunalolote. Kibwengo. Mkubwa

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 5 วันที่ผ่านมา

    SI muliramba kwa yule mshamba Feisal tuu

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe na Feisal na mshamba?
      Mwenzako anakula maokoto wewe baki na chuki zako

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 5 วันที่ผ่านมา

    Wekeni bei muone

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 5 วันที่ผ่านมา

    Ww hunakili

  • @PeterNimrod-ug5mg
    @PeterNimrod-ug5mg 5 วันที่ผ่านมา

    So what?

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 5 วันที่ผ่านมา

    Xavi mtupu

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c 5 วันที่ผ่านมา

    Geita naiona mbali kuliko majini fc

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 5 วันที่ผ่านมา

      Yanga bingwa

    • @sosomacharles9920
      @sosomacharles9920 5 วันที่ผ่านมา

      Hayo yote ni makasiriko baada ya Chama kutua Yanga.

  • @chinaaudax6459
    @chinaaudax6459 5 วันที่ผ่านมา

    wewe ongea pia mungu kakujalia ndomo subilia ligi inakuja utaitambua timu ya wananchi watakunyoosha we kasajili mpaka uraya ila utapingwa tu

    • @mgendihdellicy6210
      @mgendihdellicy6210 4 วันที่ผ่านมา

      we yanga kaa kimyaa anapoongea azam,kimya kabisa

    • @chinaaudax6459
      @chinaaudax6459 4 วันที่ผ่านมา

      Sasa we lamba lamba Una kitu gani Cha kumkalisha mwananchi kimya we wakalishe lamba lamba wenzako sio mwananchi tena ukome

  • @VeronicaEmmanuel-t2v
    @VeronicaEmmanuel-t2v 5 วันที่ผ่านมา

    Yani kwa quality ya yanga na azam sioni kwa usajili. Huu wa kolobwabwa kama anataka kushindania ubingwa au kutoshuka daraja

    • @flova7022
      @flova7022 5 วันที่ผ่านมา

      Hivi hizi akili hua mNAZITOA WAP..WATU HATA HHAWACHEZA MECHI MOJA COMENTS TYR

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 5 วันที่ผ่านมา

      Hao wachezaji ambao walianza kukata moto? Wazee FC

    • @VeronicaEmmanuel-t2v
      @VeronicaEmmanuel-t2v 5 วันที่ผ่านมา

      @@flova7022 wewe acha kua kolo bwabwa Debora uwezi kumfananisha ata na awesu awesu,sembuse Quality ya Feisal ukitaka kuelewa ilo ndomana mamelod wanamtaka,kwnn wasinge mtaka debora.hana quality mbona vtu vidogo tu sio adi uwe na degree ndo uelewe sema kwa sababu ukolo bwanji mwngi ndomana ligi ikija kuanza mnatupigia kelele Amna chemistry mara physics
      Mara biology kumbe quality ndogo.azam ana fei ,ana akaminko,Bajana kiungo Bora kabisa Simba mna Debora,Mkwami sjui babakr ngoma alafu mnadanganyana eti mnataka ubingwa njoo yanga kuna azizi k goal 21 assist 8,pacome BAO 7assist 5 Max BAO 11 assist 3, Chama bao 7 assist sita una Dube bareke hzo namba na quality ya hao watu Africa mashaliki na Kati akuna eti usichukue ubingwa kwa sababu Simba kamleta Debora nyoo uo si utaila .mashabiki wa Simba amnaaminishwa uzuzu wachezaji mlio sajili awana quality ya kushindana kweny ligi hii ngumu

    • @VeronicaEmmanuel-t2v
      @VeronicaEmmanuel-t2v 5 วันที่ผ่านมา

      @@flova7022 na kwa taarifa yko hzi akili zinakuja baada ya kuona usajili wa makele Simba kila msimu alafu kwapa ananyanyua YANGA tena kwa mamlaka unamzidi mpinzani point 8,7 ,11,13 kaaa Amna ushindani alafu cha ajabu wewe unazidi kuborsha kikosi kila kukicha washindani wako wanabomoa hii sio ishara nzur ata kidogo akuna ushindani na mkiendelea hv Yanga bingwa mara 10 mfululizo kama mmeshazoea kuleta wachezaji ambao wanavua watu mawigi alafu uwanjani sifuli sizani kma kutakuwa na ushindani .yani wenzenu wako makini nyie mnaleta comedy alafu mnataka ubingwa upi

    • @VeronicaEmmanuel-t2v
      @VeronicaEmmanuel-t2v 5 วันที่ผ่านมา

      Wazee ndo mabingwa ,alafu vijana kina kibu wakaishia nafasi ya tatu kwaiyo utajua kipi bora​@@bahatimshali2731

  • @HassanZiroy
    @HassanZiroy 5 วันที่ผ่านมา

    Kwani ashimu ibwe na ali kome nimashoga? Mbona wakiongea wanaongea sauti fulani iv alafu navile vimawani

    • @VeronicaEmmanuel-t2v
      @VeronicaEmmanuel-t2v 5 วันที่ผ่านมา

      @@HassanZiroy na msemaji wenu mmemkagua Amida ally yule si kungwi kidole juu kma anaimba taarabu mbana pua kama kakalia kipisi cha b ndundn

  • @user-oe2ty7ds4g
    @user-oe2ty7ds4g 5 วันที่ผ่านมา

    Hamuendi kokote

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 5 วันที่ผ่านมา +3

    Kwanini mulimuuza kipre bei ndogo nsibora mngetupa simba

    • @VeronicaEmmanuel-t2v
      @VeronicaEmmanuel-t2v 5 วันที่ผ่านมา +3

      @@JohnJoseph-qq7ow Simba mna ela ya kulipa quality ya kipre nyie sasaiv Amna ela mnanunua wachezaji wa mitumba we katka usajili wa Simba ntajie mchezaji ambae katoka tmu yoyote iliocheza walau makundi caf champion league msimu uliousha akuna,kuna kina Debora tu ,wanasajili ma miss kuja kucheza ligi kuu .mapema na tabili Yanga bingwa ,Azam wa pili Simba atagombania namba tatu na singida

    • @malietamalieta9658
      @malietamalieta9658 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂azam kipre alitaka kuja yanga wakanasuka ikabid wamuuze msimu haujaisha Ili asije akaja jangwani

    • @RaymusicOrgRashid-fq4gv
      @RaymusicOrgRashid-fq4gv 5 วันที่ผ่านมา

      @@VeronicaEmmanuel-t2v Unatabir ujinga tu Ngoja ligi ianze tutajua mchele na chuya na utabir wako.

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 5 วันที่ผ่านมา

    Tatizo AZAM mna ufala mnapo Kutana na simba mnacheza ujinga kwa yanga mnajikuta na man city mnahalibu taswira ya ligi TZ tukijumlisha na maneno ya dube kua viongozi wa AZAM weng wao mashabiki simba

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 5 วันที่ผ่านมา

      Sio mashabiki wa Utopwax?

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 5 วันที่ผ่านมา

      Wangekuwa mashabiki wa Simba si wangeiachia nafasi ya 2?

    • @VeronicaEmmanuel-t2v
      @VeronicaEmmanuel-t2v 5 วันที่ผ่านมา

      @@abedymtore2707 Kwa usajili huu wa Simba,wanaleta wakina Debora Azam pambana baba msimu ujao clabu bingwa tena

    • @MillanFAHMI
      @MillanFAHMI 5 วันที่ผ่านมา

      We panya kanye uko

    • @VenaEliki
      @VenaEliki 5 วันที่ผ่านมา

      Atakuwa hana soko