🚨Uchambuzi Crownfm, Kiufundi Usajili wa Simba,namna wachezaji watachezeshwa kwenye nafasi zao.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2024
  • #arsenal #arsenalfc #football #liverpool #manchesterunited #simba #simbasc #soccer #yanga #yangaleo

ความคิดเห็น • 6

  • @yohanakiureimoon-mo4py
    @yohanakiureimoon-mo4py 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZamlaKifurago
    @ZamlaKifurago 16 วันที่ผ่านมา

    Duwa ndio muimu kala kitu mungu tu ishaallh mungu atatusaidia

  • @khalidfundi2600
    @khalidfundi2600 18 วันที่ผ่านมา +2

    Viongozi wetu wa Simba tunashukuru kwa usajili wa kimkakati tusisahau Dua kwa wachezaji wetu maana macho ya USDA ni mengi

  • @HassibuMvungi
    @HassibuMvungi 21 วันที่ผ่านมา +1

    Tupe madini

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 16 วันที่ผ่านมา

    Nimemsoma kiundani sana KIBU Nina maoni binafsi hivyo napendekeza Kwa kocha Davids amrudishe KIBU acheze half beki 4 nadhani ana sifa zote za kucheza namba hizo za nyuma.
    1. Ana nguvu mwepesi, mbio na urefu wa kuridhisha kupiga vichwa
    2. Mpambanaji ana jihad
    3. Anafundishika anaweza kuwa sawa hata kumzidi Baka wa yanga.
    4. Kwa kuwa Kibu ana tatizo ktk finishing ama kupasia kule mbele, lakini akiwa nyuma no 4 atakuwa swipa hivyo tatizo atakuwa kaliepuka

    • @browntv1119
      @browntv1119 16 วันที่ผ่านมา

      achana na bacca ww