MOTO MH NADIL AJIBU KAULI HII ITACHAFUA WANANCHI UJENZI WA PEMBA NI GHALI KULIKO UNGUJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 123

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mh nadir umeongea kweli hongera

  • @amalakh1990
    @amalakh1990 4 หลายเดือนก่อน +1

    Je na sisi wazanzibari kama wazanzibari inatupaswa tufanyiwe ivo ivo na watanganyika ?? Mana na wao ni wengi. Mkoa wa mmoja tu ni znz yoye unguja na pemba . Mawazo finyu ayoo

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 4 หลายเดือนก่อน +2

    Freigt rate tani moja ya lami kutoka dar thadi zanzibar port malindi 58,000 kutoka dar hadi mkoani port tzs. 128,000, ni kweli ghali kujenga barabara Pemba

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tugawe bac kama kujenga pemba ni ghali...hoja butu.

    • @EdiMchubila-kn9ks
      @EdiMchubila-kn9ks 4 หลายเดือนก่อน +1

      😅

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe Nadil hufai kua kiongozi hata kwenye Madrassa ya Dini

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 4 หลายเดือนก่อน +3

    USIDANGANYE WATU. Usiseme uchaguzi sema uchafuzi.

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani si kweli jizimuwe lakini tunajuwa Wapemba hamuna haja na sisi naona wewe ndiye muongo nambari moja huna lolote wewe Nadil usitupege uongo nani asiyewajuwa zijengwe tu za Unguja wewe si muuwaju tu subiri uibe kura huna lolote domo kaya

  • @CholoNassor-h8r
    @CholoNassor-h8r 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hafai kuwa kiongozi hata kidogo

  • @binzubeir6510
    @binzubeir6510 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kujenga PEMBA kwa Mh. Raisi ni wajibu wake.

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 4 หลายเดือนก่อน

    Nadiri kasema kweli Sana ... Hussein Ali Mwinyi Yupo vizuri Hana ubaguzi

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd 4 หลายเดือนก่อน +2

      Nawewe c ni sawa na yeye tu nyote ni mavunjajungu nyinyi shezi

  • @SuleimanMussa-br6hn
    @SuleimanMussa-br6hn 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ipo siku atatuhukumia wapemba

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 4 หลายเดือนก่อน

      Siyo zana ni kweli zitaje hizo barabara za pmb zilizojengwa pmb

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Afu Mukiambiwa munaubaguguzi mna kataa.

  • @SuleimanMkubwa-ic1ig
    @SuleimanMkubwa-ic1ig 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee ana kelele sn lamaana Hana

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN 4 หลายเดือนก่อน +1

    Neno ZANZIBAR UKISEMA WW UTAKUA HAINA ILA UYO MWEHESHMIWA ANASEMA KULE NA UKU ZANZIBAR
    II INAMAANA GANI?

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 4 หลายเดือนก่อน

    Barabara gaani iliyojengwa Pemba

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 4 หลายเดือนก่อน +4

    Meco kampuni yenu

  • @hamaddadi-hp8tc
    @hamaddadi-hp8tc 4 หลายเดือนก่อน +2

    Munapendelea kweli

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umieni lakini tutasema sana huna lolote la ukweli lilofana pemba mumeisahau.
    Ukitaka kujua pemba wapo wengi kila sehem nenda ktik vyuo.

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 4 หลายเดือนก่อน

    Mshenzi huyu alimpoteza mwenziwe kwa kula tu mnafikiri atakua na imani na binaadamu mwenziwe huyu anajiangalia nafsi yake tu kuuwa. Allah amuangamize jweupe kila mtu ashuhudie

  • @bausaboy24
    @bausaboy24 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pemba na zanzibar why this?

  • @awenamuhammed
    @awenamuhammed 4 หลายเดือนก่อน +1

    Fuoni kitongani wanalia Hali ilivo wananchi hawana barabara

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Zanzibar na Pemba, jamani munatudhalilisha.
    Uongozi ni mas.uli mbele ya Allah. Leo unajibu hiyo kwa binaadamu wenzako jitayarisheni na majibu mbele ya Allah

  • @shahidmaftouh1141
    @shahidmaftouh1141 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe tuzarau wapemba, but one day yes ,utatutambua we Mwaharamu, shenzi

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni mwanaharamu wa kihindi anajifanya mwarabu Shenzi Zake!wanatukana na kudharau Wapemba Lin wamewaoa na kuwajaza majumbani mwao ni hivi karibuni tu nudging yake mwanaharamu huyu Amelia Mpemba!kwanini hakumpeleka Matemwe kuoa?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yake

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 4 หลายเดือนก่อน

      Ameoa

  • @masoudsalum
    @masoudsalum 3 หลายเดือนก่อน

    Hadi hapo ni kilometer 307,05tu

  • @seifjuma4252
    @seifjuma4252 4 หลายเดือนก่อน

    Let me to be silence coz life is too Short Everyday people's die,u don't know Which reason, But Remember that Maisha n safar Ndefu,Kua hadith Mzur skumoja uje usimuliwe,Our last president sayed. Mh alhassan Rest in peace in your Grave 🪦

  • @wadhhasuleiman2621
    @wadhhasuleiman2621 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ww jamaa ndo mbaguzi hasa

  • @MasuKhamis-rl9ne
    @MasuKhamis-rl9ne 4 หลายเดือนก่อน

    Au wew babu yako kuzaliwa unguja

  • @SuleimanMussa-br6hn
    @SuleimanMussa-br6hn 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hata aibu huoni ww

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni mjinga

  • @MasuKhamis-rl9ne
    @MasuKhamis-rl9ne 4 หลายเดือนก่อน

    Na wew sio urudi kwenu india

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa mbona si mzima ( chizi)

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ikiwa ni hivyo wapemba wapo unguja kwanini haki haitendeki wakati wa uchaguzi. Wapemba hamutupebdi muna chuki za ndani lkn Allah atawahukumu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 หลายเดือนก่อน

      Chuki imetawala visiwani ndio maana hata tunapokua twajifanya tunawakataa watanganyika ilhali waunguja na wapemba hawatakani Hua nacheka sana .

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo kiongozi hafai

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa unaposema Pemba ni garama unamaanisha kua Serikali imeshindwa kuijenga Pemba au vipi?

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 4 หลายเดือนก่อน +1

    We ndo kiongozi ati kumaliza lini anajuwa mwenyez Mungu kwa mkataba wa ujebzi kaweka Mwenyez Mungu? Hawa viongozi kujipendekeza tu kwa wakubwa

    • @Pemba680
      @Pemba680 4 หลายเดือนก่อน

      Mjinga uyu

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani hili jamaa nilijinga lakutupwa

  • @alkhalilalkhalil8208
    @alkhalilalkhalil8208 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio hujuelewi kuna skuli moja inaitwa Kengeja wallah NI kongwe mpaka unaona huruma skuli mpya zinahengwa mpaka Leo Ile shule upo vilevile

  • @zahormohammed4476
    @zahormohammed4476 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe wacha ujinga umefanya sensa lini mpaka useme pemba nzima watu wapo 400,000

  • @vivajinako
    @vivajinako 4 หลายเดือนก่อน

    dahhh wapemba pole sana hadi serekali inaiongea hiv 😅😅😅😅 chozi l myonge

  • @jokhaaliy3720
    @jokhaaliy3720 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hafai ata kuongoza kuku

  • @SabraNassor-hv1xi
    @SabraNassor-hv1xi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Uwounaozungumza ww ni uwongo maana barabara za pemba hazina viwango choko ww

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo haya ndio yanayosumbua had kwenye muungano

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Barabara gani iliyojengwa Pemba

  • @ahangfaith1180
    @ahangfaith1180 4 หลายเดือนก่อน

    Lzm wapemba hame sabb nakuskiliza sn kl kitu vta utavikuta kwa mung

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis 4 หลายเดือนก่อน

    Yan uyu mbwa mbaguz sana

  • @alkhalilalkhalil8208
    @alkhalilalkhalil8208 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani uongo kila kitu kinafanyika unguja Hali ya kuwa kuna njia mbovu tena njia kubwa

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 4 หลายเดือนก่อน

    subhanallah! kiongozi unasimama unaongea utumbo huo? uongozi ni busara baba,ukiona unaowangoza wamekosea waeleze kistaarabu sio lugha ya ajabu kama ivo.

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i 4 หลายเดือนก่อน

      Yupo sawa ni kweli anayosema

  • @MuhamadikhatibMalili
    @MuhamadikhatibMalili 4 หลายเดือนก่อน

    Jamaa tumbo Lake halishibi hata umpe dunia

  • @kassim1262
    @kassim1262 4 หลายเดือนก่อน

    Taget yao kabla uchaguzi 😂😂😂😂😂yni wnamaanisha hwjengi kwniaba ywnanchi bali kwniaba ykuwahadaa wnanchi ili ikifika uchaguzi iwe nirahisi kuwahadaa wnanchi kwbarabra 😂😂😂

  • @MasuKhamis-rl9ne
    @MasuKhamis-rl9ne 4 หลายเดือนก่อน

    SS wew Mungu atakuhukimu sio unasema tunapotaka unakaa usije kuta we mbwa wa kihindi

  • @SuleimanKhalfan-xr1uc
    @SuleimanKhalfan-xr1uc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Achani ujinga muongo ni ww kwani nani asietambua km munaibagua Pemba ila ss hatutokufa kwa ubaguzi wenu tutakufa kwa ahadi za mola

  • @MeniJr
    @MeniJr 4 หลายเดือนก่อน

    Weye HAPA unguja kwenu weye mbwa wa kihindi au unajipendekeza tu mshenzi weye

  • @SuleimanKhalfan-xr1uc
    @SuleimanKhalfan-xr1uc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Na km rais anafuatilia kweli baraza wajinga km hawa hawafai ata viongozi wa nyumba zao awo wake na watoto zao hawawezi kuwaongoza baadae wanakuja kupewa uwaziri lazima raisi alitafakari kwa kina hilo au wanaomshauri wampatie ushauri mzuri sana mh raisi ili na sisi wananchi wake tusimchukie

  • @khamushamad8857
    @khamushamad8857 3 หลายเดือนก่อน

    Huna unalolijua kazi yako kuharibu uko pemba wakujua toka lini muhind weye

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Twende Pemba nikakuoneshe barabara kutoka Mtambile kwenda Kemgeja mpaka Muwambe Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Pemba

  • @abdullmbarouk304
    @abdullmbarouk304 4 หลายเดือนก่อน

    Mmejenga bandari au mmetengeneza uchochoro

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kuna zanzibar na pemba hadi mwakilishi anasema zanzibar alafu pemba😂

  • @MohdMohd-y4w
    @MohdMohd-y4w 4 หลายเดือนก่อน

    Ubaguzi ndo wako mshenzi tu

  • @muflih85
    @muflih85 4 หลายเดือนก่อน

    Ww ni miongoni mwa wizi tu ata kuongea hujui hauna talent ya uongozi

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 4 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa mwenyekiti muwe na tahadhari sana bado ana yaleyale ya zamani anabaguwa huyu ana maneno siyo ya kiuongozi hizo habari za takuwimu zinahusu nini waziri mrekebishe huyo muhindi

  • @MeniJr
    @MeniJr 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanaharamu huyu

  • @MohdMohd-y4w
    @MohdMohd-y4w 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo Bandari iliyojengwa ya mkoani

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe katika viongzi ambao ni wabuguzi waliopo Baraza la Wakilishi ni wewe Nadiri

  • @abdullmbarouk304
    @abdullmbarouk304 4 หลายเดือนก่อน

    Umeonawp bara bara hizo au unajisemea

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa unakataa nini unakubali nini?

  • @KaribuPemba
    @KaribuPemba 4 หลายเดือนก่อน

    Huoni ata aibu kusema pemba garama ni kubwa kuliko unguj. Afu ati wajita mtetezi wa wananchi

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu sijui hata kama shule ipo

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe kiongozi gani unaongea ujinga na utumbo ety wapemba asilimia 70% wapo Unguja yote ni kwa sababu serikali imeshindwa kutengenezwa mazingira rafiki ya sisi wananchi kuishi tulipozaliwa
    Sio kama tunapenda kuishi katika miji ya watu yote ni kwa sababu ya maisha tu
    Wewe kiongozi ni mbaguzi na hufai ata kidogo

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 4 หลายเดือนก่อน

      Zitaje hizo barabara za pemba zinazojengwa sisi pemba ni kwetu na usiseme zanzibar zanzibar ni unguja na pembap

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 4 หลายเดือนก่อน

      Munajenga mwaka gani wakati hata compaseshen hamjafanya

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu zenu ni watanganyika siyo wapemba

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani sio kweli! Wacha kuwafanya Wapemba wajinga!huyu kweli ni Waziri?hana vigezo hata kidogo anazungumza Kama Yuko Kisonge na inawezekana ndiye mwandishi wa Yale maneno yanayoandikwa ktk ule ubao wao

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 4 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rahimahamad1016
    @rahimahamad1016 4 หลายเดือนก่อน

    Hell to hear you. Unguja ubaguzi. Pemba tunapigwa mikwanja tu hamna kitu

  • @AliWahid-c5h
    @AliWahid-c5h 4 หลายเดือนก่อน

    Weee ni fala sana fala sana hufai kuwa kiongoz msenge wewe

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe pumbavu kuliko.

  • @khamismassoud8533
    @khamismassoud8533 4 หลายเดือนก่อน

    ww ni muongo pemba mumetuletea mecco anatengeneza barabara mbovu kil sehemu

  • @YahyaOthman-et2ki
    @YahyaOthman-et2ki 4 หลายเดือนก่อน

    Ww ata akili hutumii kwan hizopesa unazozitaja za babayako

  • @nassorseif404
    @nassorseif404 4 หลายเดือนก่อน

    Hili ni jipu liondoeni, lina sera za ubaguzi

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 4 หลายเดือนก่อน

    hujuwi ww km pemba imebaguliwa tokea zamani pemba ww wacha ujinga ww mpuuzi moja1

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na ndio maana mnataka Serikali ili mtoe makucha yenu mliyoyaficha kwa Wazanzibari na hasa watu wa Unguja hahahaha mtashaaa

  • @omarabdallah9576
    @omarabdallah9576 4 หลายเดือนก่อน

    Muhimu ni kujielewa kwanza maana nikudhalilisha hilo baraza tu

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo maneno unayoongea wewe Nadiri ni maneno ya Ubaguzi ambayo Rais anatakaiwa akutumbuwe kabisa. Na huyo Spika wa baraza anazidi kukusaidia khaaaaaa

  • @ahangfaith1180
    @ahangfaith1180 4 หลายเดือนก่อน

    Nkwl mnatubagua pemba musitudanganye taasisi na makampun mazur mnaziweka unguja nenden uko musishauwe

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Na Muheshimiwa Mussa Foum yupo hapo. Acha waseme wawakilishi wetu maana unachoongea wewe ni uongoooo

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mjinga sana eti kule hakuna watu...wewe unaongea nn

  • @saidsheha-wn4qw
    @saidsheha-wn4qw 4 หลายเดือนก่อน

    Pemba kumejengwa masoko mangapi hadi sasa , na unguja kumejengwa masoko mangapi, oumbavu zako wewe.

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu kiumbe hajawahi kusema kitu kimoja kikawa na furaha kwa wananchi na hao wapemba waliokua Unguja si nawape sumu wafe apumzike nao

    • @Aisha-lj8bu
      @Aisha-lj8bu 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @AaAa-vm8bb
      @AaAa-vm8bb 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo hakuonapo kheri yeye na familia yake muacheni atumie nafasi aliokua nayo limbukeni hao ndio watu wa motoni walivo angalia hio misharubu yake

  • @Pemba680
    @Pemba680 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa msenzi sana na hajawahi kuwa na majibu ya kistaarabu

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd 4 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni baradhuli eti

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 4 หลายเดือนก่อน

    Muongo mkubwa wewe Nadri....njia zote pemba mbovu .....ni muongo mkubwa wewe

  • @alkhalilalkhalil8208
    @alkhalilalkhalil8208 4 หลายเดือนก่อน

    Njia mbovu tutasema wewe binafsi inaonesha ubaguzi

  • @SuleimanMussa-br6hn
    @SuleimanMussa-br6hn 4 หลายเดือนก่อน

    Hizo punzi ipo siiku zitaisha

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 4 หลายเดือนก่อน

      Zako haziishi

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 4 หลายเดือนก่อน

    Mjinga hata hazungumzi kisomi...yaani barabara zinazojengwa nyanda za juu kusini bara au longido lami au mahitaji si yanashushwa daresalaam? Mjinga sana huyu jamaa

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 4 หลายเดือนก่อน

    ،Hafai kuhukumu hata paka

  • @alinassor391
    @alinassor391 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mjinga mkubwa ww

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 4 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi mjinga mbaguzi wawazi ..yanini kusema wanaenda pemba kwa uchaguzi ...kiongozi gani wewe

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 4 หลายเดือนก่อน

      Uyu jamaa WA kummiminia tindi Kali Tu ety wapemba wengi wanakaa unguja

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@wadhhasuleiman2621kwani kaongea uongo jamani

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani uongo ,Wapemba wote mmejazana kwenye mabonde ya Maji Unguja

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@R10_Rajabna shukuruni sana maana hapa unguja kama sio wapemba wanaowatafutia kila pembe ya dunia mpaka leo mungekuwa mwavaa kaniki na mirekani sambamba na kupanga foleni kwenye maduka ya serikali kuhitaji huduma

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@R10_Rajabwewe inawezekana ndie unaishi mabondeni kama kambare maana hapa mjini wapemba wamenunuwa kwa asilimia kubwa fanya utafiti ndugu ujue ukweli