Yupo kwenye sanaa, wala sidhani kama anajifananisha na vijana huyo mzee! Tafuta interview yake alieza kila kitu wazi ndugu. Sikumbuki ni station ipi alioifanyie hiyo interview! Ahsante sana!
mbone watu wengi wana coment ufala huyu babu aimba vizuri sana kuliko hata hawa tunaita kizazi kipya muacheni babu achape kazi asipo fanya kazi akiwa omba omba balaaa
Seif utaniua ivo hii nyimbo wallah katika nyimbo za babloom ninazo zipenda hii mo kweny list wallah umenikuna hasa 😂😂😂yani mambo ni🔥🔥🔥 roho yangu mimi tobaaa❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌
Mwenyezi MUNGU anamchukia MZEE anae jifananisha na kijana mtenda maovu na anampenda kijana ane jifanisha na MZEE mtendawema
Yupo kwenye sanaa, wala sidhani kama anajifananisha na vijana huyo mzee! Tafuta interview yake alieza kila kitu wazi ndugu. Sikumbuki ni station ipi alioifanyie hiyo interview!
Ahsante sana!
Zee halijitambui hilo
Wewe ni msafii akuna dhambi ya kijana 'na mzee
Nyie wanafki yupo kwenye saana mlitakat
Awejee
Babuuuuuuuuu dah wimbo ukipiga ukweni unapunguziwa Mahari😂😂😂😂😂👋👋👋👋👋👋👋🤝🤝🤝🤝🎻🎻🎻🎻🎻🎻🎷🎷🎷🎷🎷💓💓💓💓💘💘💘
Mzee unajua sana hata xjui kwann hukuingiaga ulingoni
Hapo safi watoto wakieo jifunzeni kwa babu yenu muimbe ki maadili.
Nampenda Anipendi,,,❤❤ataniua,My Song🎉
mbone watu wengi wana coment ufala huyu babu aimba vizuri sana kuliko hata hawa tunaita kizazi kipya muacheni babu achape kazi asipo fanya kazi akiwa omba omba balaaa
*Uwwwiiiiiii 🤣🤣Nafwa mie*
Wallahi Tam yao😋😋😋🥰🤗
Wow my favourite song I like it 👌😍💕
Santaaa babuuu Mungu akujalie na akuzidishie kila unacho hitaji
Wajua Sanaa babu,mungu akuweke mzee wangu
BABU FANYA IBADA WACHAUJINGA HUWO WAKO NI UJINGA TU
Baki na diní yako
Seif utaniua ivo hii nyimbo wallah katika nyimbo za babloom ninazo zipenda hii mo kweny list wallah umenikuna hasa 😂😂😂yani mambo ni🔥🔥🔥 roho yangu mimi tobaaa❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌
Tanga one hiyo
Siku ya Harusi yetu tukijaliwa atakujakuimba 😂😂
Nakumbuka nyumbani Tangaaaaaaa
Kisauji professional like more yu sound
Somo uko vizur nimependa sana kazi zako. Me mjukuu wa Mohamed Abadi
Kaka na sauti hiyo, kama huyo unayempenda hakupendi basi mimi nakupenda. Njoo zako tujikalie Denmark, mimi pia natoka Tanga😊❤
Naomba niwe shoga yako please 😍
@@tatuhamis8411, sawa mama!😊 nipe namba yako ya whatsapp, halafu nitakuandikia!
Mzee wa mjini tofauti na wa kijijini 😂 mzee hakosi pesa ya kahawa
Babu oyeeeeeeeeeee
Babu na wajukuuu zake🔥🔥 subiri tukuletee simu ya macho 3 😂😂
😭😭Yarabb tujaalie mwisho mwema
Iko njema kabisa .....shabiki yako from Iringa town
Mzee huu ndo muda wa kutubu dhambi zako umche Mungu
Wee zako umemwachia naniii🤣🤣🤣🤣
Babu unaweza serious
Ni sheidaaaa bonge la Wimborne
"Chochote atakacho mpe"😁
Rudi kwa Molawako Milango ikowazi yakutubia
Husda hiyo kwani wewe ndo mwenye funguo za peponi
Acha kujidanganya
Umauti hauna umri so pambana na dhambi zako muache mzee wawatu
Hapo chacha
Mzee mwenzangu hata ukija TH-cam ntakufwata, ulipo tupo
Watching from Kenya 🇰🇪love you
Nimekumbuka mbali sana
QUALITY VIDEO...... QUALITY MUSIC..... 💯💥💥
Mambo mazuri ndio hayo😃
Mimi nakushauri utupu kwa wakati umefika nae kupa shauri ujuwe na kupenda siku ya mauti haujui
Uko vizuri sana Sefu ktk taratibu
Mzee umetishaa wachaa ufanikiwe tu
I realy like the song.nice one
Waoooh nakupenda bure🥰
Up oo juu babu
Babu tulia sasa
Wow mashallah beautiful song
Babuuuuu umetishaaaaaa
Uko juu baby👍
Siefu ake my favorite song😘😘😘😘😍
Mzee Kisauji baba uko vizuri!
🙌
Nzuri sana
Hao wanao kufurahiya hawakupendi
Nenda kachukue nafasi ya Mabrouk uko njenje
Innaalil laahi wainnaa ilaihi raajiuun
Msiba mkubwa sana
@@capteinchuimchafu7894 sanaa Allah atuongoze
ni moto🔥🔥🔥🔥🔥
Za Tanga hizo 👌👌
Nakubali mjomba
Babu ongeza volume... Umenikumbusha mbali sana
Nampenda hanipendi
Good songs good saund
Nice song
Mwamba sana
Kuna mdada mguu kama fito du 😂😂😂😂😂😂
Babu wewee!!💕🔥🔥🔥💃
IBLIC KOMA NENDA MOTONI PEKEYAKO😂😂
Very nice
Hand Up ✋ 🔥❤
Alaaa😂🙌🏼
Naitwa mume wangu
Babu wa tuk tuk
mashalla nyimbo nzuli sana
Taangaaaa
Laadha za pwani
Aweeee kisaujiiiiiiiiiiii
babu njoo znz we love u
Aje znz au sio
Santha Babuuu🥰🥰🥰🥰🔥
ما شاء الله big up
nafsi haikongii wengine wanasema ngombe hazeeki maini ila huu ni wakat wa kufanya tobaa
maana ya nyonda ni nini jamani anaejuwa anieleweshe
NYONDA ni mahaba au mapenzi mazito
Masha Allah
Ndo kaimba huu wimbo?
@@ayshajeffa7343 ndio
Nice song baba angu
Weuwwww
Wachaaa wee
Safi
Nice
👏👏🥰🥰🥰🥰
Wewe nimkali
Waoooh
Babuuuuuuuuuuuu
Nyonda yamaanisha nini?
Mpenz
❤
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
😍🥰🥰
Popatlal moja!
Laana tullahi
Woooooooooow