RAIS SAMIA: SGR KUANZA KUBEBA MIZIGO 2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @ramadhankatto9517
    @ramadhankatto9517 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera mama mwenyezi mungu akujalie subra, afya na hekma matunda tumeyaona

  • @thirdsigntzofficial
    @thirdsigntzofficial 17 วันที่ผ่านมา +4

    Mkimalizia mpaka mwanza na mikoa mlioitaja SGR itakua kinara wa uchumi nchini!

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 17 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana mama ishaallah mungu akubariki mheshimiwa samia ❤

  • @EmmanuelMkumbo-o4g
    @EmmanuelMkumbo-o4g 17 วันที่ผ่านมา +1

    Safi Sana...naon tukipiga hatua kubwa ya maendeleo east and central..💯

  • @HAPPYTADEI
    @HAPPYTADEI 17 วันที่ผ่านมา +1

    Yeah hongera serikali.... sema ndo mfanye haraka sasa mana mwanza naskia adi 2026 sasa huo mda ni mrefu😢

  • @EricMhongole
    @EricMhongole 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mama yetu mitano tenaaaaa

  • @FrankBbd
    @FrankBbd 13 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 17 วันที่ผ่านมา

    Ata ya Arusha pia mujenge

  • @beatusismail6618
    @beatusismail6618 17 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa Mbona mmesahau reli ya. MGR ya njia ya Dar-Korogwe-Same-Moshi Hadi Arusha?TRC fanyeni matengenezo ya njia hiyo.Sio SGR imekuja ndio mnasahau MGR!

  • @t1910j
    @t1910j 17 วันที่ผ่านมา

    Safi sana 🎉🙌🏽👏🏽

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 17 วันที่ผ่านมา +1

    SAF SANA MALOLI YAMEKUWA MENGI

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 17 วันที่ผ่านมา +1

    KADOGOSA ALISEMA ITABEBA KONTENA MBILI MBILI HIVI NI KWELI AU ALIKUA ANAIPAMBA SGR TUU

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 17 วันที่ผ่านมา

    Tukomae reli yote iishe

  • @abdulhalimbakhresa2851
    @abdulhalimbakhresa2851 17 วันที่ผ่านมา +3

    Ianze tu ili malori yapunge Barabarani

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 17 วันที่ผ่านมา

    SAFI BIMKUBWA SASA MALOLI KWISHA ABALI YAO SAFI

    • @RichardMwaja
      @RichardMwaja 17 วันที่ผ่านมา +1

      Ufinyu wa mawazo nchi kilometer za mraba Lak9.. maloli hayawez kwisha hbr nchi hii sio kila sehem reli imepita tumia busara vzr.

    • @rashdiyange7758
      @rashdiyange7758 17 วันที่ผ่านมา +1

      SAWA MWENYE AKILI KUBWA WEKA BALA BALA YAKO YA MA LOLI PUMBAVU WEWE LELI IPO KILA KONA