ONYO KWA WAKENYA MUOGOPEN HUYU PASTAR NGAN'GA SHETANI ANAMTUMIA EV PASCHAL CASSIN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2023
  • #0766998994 #call0688199370 #call0688199370 #

ความคิดเห็น • 179

  • @gracekivuva-nc9lp
    @gracekivuva-nc9lp 8 หลายเดือนก่อน +23

    Barikiwa sana nakubaliana nawe kabsa ju hta akisikia hii habari hile matusi ataachilia utashagaa na anajiita pastor. I surpot you, from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @CynthiaAcheza
    @CynthiaAcheza 2 หลายเดือนก่อน +3

    Very true dunia imeisha shetani ametawala ,nikumuweka Mungu mbele hili atuonyeshe njia kamilifu,be blessed 🙏 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 8 หลายเดือนก่อน +16

    Wacha nihubiri nawe kwa njia hii ya kidole kwa wakenya wenzangu. Huu ni ukweli. Wakenya tuamke,😢😢😢 tumelala sana.

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 8 หลายเดือนก่อน +6

    Wana heri hao wazishikao amri za Mungu...
    Sikieni mafundisho, mpate hekima, wala msiikatae. Wachungaji wote wa kenya ujumbe ndio huo, Mungu ametumana kwenu... na msikatae.
    Kanisa za Town kenya karibia zote watumishi wanatumiwa na ibilisi....
    Amen Amen 🙏 mtumishi Umepata kibali kwa Bwana....Ni hekima ya Mungu inayokuongoza ni wewe tu mwenye ufahamu wa kweli.
    Zidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote. Ukijua kazi yako si ya bure, haijalishi jinsi kazi yako inyoonekana kuwa ngumu au isiyo na maana kwa wasioamini Mungu, ina maana kwa Mungu. Kwa sababu inamletea utukufu, na kwa sababu hiyo si bure. Mungu azidi kukuinua from glory to another... Mungu ako pamoja

  • @felesianyangasi
    @felesianyangasi 8 หลายเดือนก่อน +4

    🇰🇪 Asante kwa ujumbe huu wa kweli.Wakenya wawe waangalifu.Hapa kina Ng'ang'a ni wengi

  • @mshaisharon3608
    @mshaisharon3608 8 หลายเดือนก่อน +2

    🇰🇪God I in Jesus name I ask for forgiveness for all defilement in the church and believers, we have sinned as a Nation we humbly ask for your mercy. we are sorry Lord Jesus 😭😭😭

  • @sakakajouf5900
    @sakakajouf5900 8 หลายเดือนก่อน +7

    Napenda unavyo ongea ukwel,,naomba mungu akutie nguvu na akupiganie kw kila njia na alinde familia yako

  • @damarisnyaata
    @damarisnyaata 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wakenya tumefamiwa jameni
    Mungu tulehemu nikubaya sasa
    Ukweli mtupu
    Be blessed pastor.

  • @erickrao
    @erickrao 8 หลายเดือนก่อน +3

    Very good man of God this is true story kabisa wambie wawache upuzi warudie bwana YESU 🇰🇪😭😭😭

  • @OyengelaMariam-wk6qm
    @OyengelaMariam-wk6qm 8 หลายเดือนก่อน +3

    Anamtusi fala na ng'ombe, Asante sana Pastor Mungu akutie nguvu 🙏🙏🙏

  • @jacklinewahome2416
    @jacklinewahome2416 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera.. Mtumishi..passical cassian huku Kenya matapeli dio wengi.

  • @roselyneezekiel
    @roselyneezekiel 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi... Mafunzo yako yananiwezesha kuepuka mengi sana. Mungu akulinde kila wkt.🇰🇪🇰🇪

  • @ev_abediespoir490
    @ev_abediespoir490 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, amen Mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana tena saaaaaaana kwa mafunuo hayo, Mungu azidi kukulinda kwa kazi yako ya Injili kwa kuwaokoa watu

  • @mercynjeri6275
    @mercynjeri6275 8 หลายเดือนก่อน +7

    Paster wajungaji wengi Kenya ni mapepo tupu wambie ukweri usiwabebeleze 🇰🇪🇰🇪

    • @daisyakhini9331
      @daisyakhini9331 8 หลายเดือนก่อน +3

      Saana n wengi, ad tym niliona et Rose mhando amekuja kuombewa nae, hapo ndo nilijua ukweli kumbe Rose na ng'ang'a wanacheza kimoja

    • @KilonzoMutuku-hi6rs
      @KilonzoMutuku-hi6rs 7 หลายเดือนก่อน

      Ww ukona utafiti ngani,??? Fanya utafiti ujue Kenya iko mbele sana

  • @naamangidion
    @naamangidion 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akutie nguvu Akulinde , akutunze , Mahubiri yako yanatuponya wengi sana Ubarikiwe Aminaa #@passical cassian

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni huzuni kweli wakenya turudi kwa magoti tuombe rehema kwa Mungu.Tuliombee taifa letu nimekuwa chukizo kwa Mungu.Matengenezo !matengenezo!matengenezooooooo!!!!!

  • @JosephSimiyu
    @JosephSimiyu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tusamehe sisi watumishi wako kutoka Taifa la Kenya

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 8 หลายเดือนก่อน +3

    😭😭😢🙏 Mungu naomba utusamehe mana kweli tumemuacha Mungu wakenya kama kunae mtu anampenda Mungu akiona clip za huyu mtumishi aezi pita au kumaliza siku bila kutazama huyu mtumishi 😭

  • @RobertpixmasterPixmaster
    @RobertpixmasterPixmaster หลายเดือนก่อน

    Asante kwaajili ya tahadhali. Mungu akuinue kabsa

  • @sakakajouf5900
    @sakakajouf5900 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante poster hapo umeongea,,,,but umemsaau Ezekiel odero

  • @kimsi682
    @kimsi682 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kwa haya yote. Ni kweli huyu pastor anaukali usioeleweka. Mungu ampadirishe. Pia, Mungu akubariki sana!

  • @user-ci6vl1fb9u
    @user-ci6vl1fb9u 8 หลายเดือนก่อน +1

    This is very true evangelist Cassian, may God continue blessing you. Let him hear this voice to have his own decision later. Either to change for God or remain threr & known to be a false pastor.
    Very abusive false pastor ng'ang'a.
    Supporting from Kenya.😢

  • @joannekesa1835
    @joannekesa1835 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaa MUNGU atusaidie ubarikiwe mtumishi wa MUNGU 🇰🇪

  • @Deboraclementgm
    @Deboraclementgm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen mutumishi Ni kweli anamatusi Sana Uyo pastor

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana kwa injiri nzito Mungu akufiche viganjani mwake.😊

  • @user-et6bz6dz4j
    @user-et6bz6dz4j 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ongeza volume kbs,mm sijawai kumpenda Wala kusikia maubiri na nyimbo zake.. Asante kwa kusema ukweli..barikiwa!

  • @GMD820
    @GMD820 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mtumishi wa Mungu Pascal ongeza volume coz uko hundred pasent nimeishi apa u ni mwak 13 sijaipata watumishi wanosema ukweli an that's why niliacha kwenda church nikikuja home ndio mi huendal kanisa naishi uku tu sababu ya watoto other wise 😢

  • @diana56-lorient
    @diana56-lorient 8 หลายเดือนก่อน +2

    BWANA YESUS ASIFIWA SANA, ASANTI SANA MTUMISHI, MUNGU AKUBARIKI SANA, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇨🇵🇨🇵

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 4 หลายเดือนก่อน

    Watumishi wengi wa Mungu walianza vizuri, tatizo baraka za kifedha na Mali ziongezekapo ndipo viroja huanza

  • @user-jj5dz3ro6c
    @user-jj5dz3ro6c 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen barikiwa mtumishi🇰🇪🇰🇪

  • @user-jk7yg8lb4k
    @user-jk7yg8lb4k 7 หลายเดือนก่อน

    Amen mchungaji ni ujumbe kutoka kwa Christo Yesu, wakenya tuitambue sauti ya Yesu

  • @user-wv5cq5kt7b
    @user-wv5cq5kt7b 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mtu wa Mungu ubarkiwe sana nakwelewa sana Asante 🙏🙏🙏

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hatamtumishi wa Mungu Moses Kulola alisema mtumishi wa Mungu akae mbali na vitu hivi:
    1- uzinzi
    2- kupenda fedha

  • @ElijahAmon-uq6zk
    @ElijahAmon-uq6zk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana na mungu kaka mungu azidi kukupaka mafuta yake matakatifu

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu have a blessed day

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 8 หลายเดือนก่อน

    Nyanyua sim upate hela itoke wp fanya kazi tuacheni mafundiso yasiofaa mafundisho mema haya hapa mtazame huyu mtumishi upone kiroho kimwili hata kiafia barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @mwinzilavincent3774
    @mwinzilavincent3774 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ata Anesema Kanisa ni yake .. sio ya mungu.. na ni viosk amefungua sio kanisa

  • @godfreyfesto2490
    @godfreyfesto2490 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki siku zote

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen tuwezi kuogopa kwa maana ule eko ndani yetu nimukuu

  • @OyengelaMariam-wk6qm
    @OyengelaMariam-wk6qm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Amen pastor

  • @brackythechosen3629
    @brackythechosen3629 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ukweli huo, wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuwe macho

  • @rosewacharo3336
    @rosewacharo3336 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa pascal.......waambie wasikie

  • @michaeljm-dz7nh
    @michaeljm-dz7nh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen barikiwa sana mtumishi 🙏

  • @user-dd4zf2ne6f
    @user-dd4zf2ne6f 7 หลายเดือนก่อน

    Amen mutumishi wa mungu akubariki na akuinu na akulinde akubariki Niko Kenya

  • @esthermurunga3659
    @esthermurunga3659 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidia sisi wanawako

  • @NANA-xf1ec
    @NANA-xf1ec 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen na mungu awe nawe 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @NuruMbongo
    @NuruMbongo 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Mungu akupe ulinzi na ngome unasema yaliyopo ameni

  • @lucynjeri1889
    @lucynjeri1889 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa kwa kunena ukweli.Malaika wa mungu wazidi kukulinda.

  • @sakakajouf5900
    @sakakajouf5900 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kofia yake iko na chapa ya illuminate

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 6 หลายเดือนก่อน

    Shetani amewateka wengi,muone vile alivyo na bado anawashiriki kwa hili kanisa jamani, watu wamepotea 😢 mungu atuhurumie na atuletee watumishi wake wa ukweli mungu atuhurumie ,mtumishi wa mungu mimi hapa nimeshindwa hata kenda kanisani

  • @adylineamutamwa959
    @adylineamutamwa959 8 หลายเดือนก่อน +2

    Na watu wanamiminika kule kama maji Ezekiel Sasa ndo next wataje wote wakristo wafunguke macho

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mchungaji cassian

  • @ShimirimanaJolie-uo3wl
    @ShimirimanaJolie-uo3wl 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu.akubariki..nikweli..yesu.kristo..wakati..alikuwa....duniyani..awakumukubali..mungu.akusayidiye.baba

  • @laurentwilson-db4ir
    @laurentwilson-db4ir 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙏 Mtumishi 🙏🙏

  • @RobertWasike-hv2ex
    @RobertWasike-hv2ex 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi pia ni mkenya lakini nakubaliana na wewe, Kenya churchs ni kama maduka ya kulevya,ata heri mlevi kuliko kanisa lililoko Kenya,haswa sana kwenye mji mkuu Nairobi

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeen 🙏😢

  • @mercynjeri6275
    @mercynjeri6275 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shallom hapo nakubariana na ww mtumishi wa mungu hapa Kenya tunahitaji mungu sana ushikome kuwabia baka yesu alundi amen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @annacyril5832
    @annacyril5832 8 หลายเดือนก่อน +1

    Next time tutajie wachungaji wa Mungu ndio twende kuswali huko.

  • @owenmlagala7855
    @owenmlagala7855 8 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda Sana Mafundisho yako

  • @RobertpixmasterPixmaster
    @RobertpixmasterPixmaster หลายเดือนก่อน

    Asante kwaajili ya ukweli

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dangerous postor

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 8 หลายเดือนก่อน

    Aca wakutukane ata YESU kristo alitukanwa, wew Songa Mbele tu

  • @kyalonicholas1707
    @kyalonicholas1707 8 หลายเดือนก่อน

    Ndio MTUMISHI wa Mungu waambie washirika wafunguke Kwa hekima ya Mungu

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 8 หลายเดือนก่อน

    We PASCHAL WE NI MTU WA HOVYO SIO KILA MCHUNGAJI AKIKOSEA ANATUMIWA NA SHETANI

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikua nalia bt apa tunaanza usiku usiku wa manane 😂😂😂😂nimejikuta nacheka

    • @evalineeghwa3932
      @evalineeghwa3932 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂hii ndio comment nilikuwa naangalia ety usiku WA manane

  • @AnordyNyoka
    @AnordyNyoka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwelii kabisaaaaa

  • @nasembakihara3024
    @nasembakihara3024 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukutumia vilivyo

  • @KahwegeAimee
    @KahwegeAimee 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @ObviousKatuka
    @ObviousKatuka 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Toka 🇿🇲 amen

  • @user-jf2jc5gm1h
    @user-jf2jc5gm1h 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @amalalmalki3730
    @amalalmalki3730 8 หลายเดือนก่อน

    Unasema ukweli mtumishi wa mungu,mm ni mkenya but yale ninaona ni mungu atuhurumie sana

  • @GidionMwaki-rp1oc
    @GidionMwaki-rp1oc 8 หลายเดือนก่อน

    Amina mtu wa Mungu

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 8 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli tunapaswa kujiweka tayari kusoma Neno la Mungu nakuzijaribu hizi roho ziko wazi kabisa sijui ni nini kinacho wafanya kwenda kwa huyu mtu Eee BWANA YESU tupd kushinda Kila jaribu

  • @monnymuhia7370
    @monnymuhia7370 8 หลายเดือนก่อน +1

    Atakaye hukumu ni Mungu pekeee... tuache kuhukumiana ...mbona commander peke yake ndiye mbaya?

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anawaita watu ng'ombe na wanacheka....tatizo kubwa naona ni hao wanaomsikiliza.

  • @user-rq9ne8vj6x
    @user-rq9ne8vj6x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wambie.ukweli. mtumishi

  • @user-jf2jc5gm1h
    @user-jf2jc5gm1h 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 8 หลายเดือนก่อน

    Mahubiri yadharau nakufedhehesha eti nimahubiri kutokakwaMungu nawafuasi wske wasigunduekitu hatahapatunao .wenyekutishia raiawema naserikalizinawaangaliatu kanakwambawao sheria zasrikali haziwahusu.

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 27 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mat 12: 36- 37 kila Neno mtu anenalo 1 nzuri 2 baya litalipwa

  • @sakakajouf5900
    @sakakajouf5900 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli mtumishi matusi kwake nikama chakula,,,na anatukana wa2 wazima na bado wanaendelea kwenda hapo

  • @virginiakanana7677
    @virginiakanana7677 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu amenipa maono yake Kila mara aki

  • @bettywanjala5630
    @bettywanjala5630 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aeeeeeeeeeeen

  • @janelulambo3957
    @janelulambo3957 8 หลายเดือนก่อน +1

    Obaba wa mbingun mlinde mchugaji pascal,damu yake ilio mwagika pale msalaban ikakufunike wewe na familia yako,na mapigo Yao wanayo kupiga nayo yakashindwe nayakawarudie wenyewe

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 8 หลายเดือนก่อน +3

    Why calling people ng’ombe heti kisa kavaa mtumba mungu azidi kuheremu watu kweli na watu wana cheka 😢

    • @violetnasimiyu8718
      @violetnasimiyu8718 8 หลายเดือนก่อน

      Imagine people are laughing 😮 wote wamepotea na wametekwa na wala hapana asemae rudisha.

    • @mariamswedi1140
      @mariamswedi1140 8 หลายเดือนก่อน

      wamefungwa ufahamu wao hawawezi kutafakari amecheza na akili zao

  • @HarrietKaichwumia
    @HarrietKaichwumia หลายเดือนก่อน

    Harriet nasema hasante kwa kunifungua macho

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 8 หลายเดือนก่อน +2

    Iyo kweli ni shetani kabisa

  • @lucyachieng2831
    @lucyachieng2831 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @peteroderobarasa5205
    @peteroderobarasa5205 8 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtumishi wa Mungu.Mathayo 7:21-22

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi sina shida na huyo mzee hapo umenena kweli ng'ang'a posrt ni comedian

  • @JoviterMbuga-zz6qu
    @JoviterMbuga-zz6qu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @eliaisack156
    @eliaisack156 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @joannekesa1835
    @joannekesa1835 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @agnes7675
    @agnes7675 7 หลายเดือนก่อน

    AMEN

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 8 หลายเดือนก่อน

    Hosea 4:6

  • @thevoiceofchampions
    @thevoiceofchampions 7 หลายเดือนก่อน

    JE PASTORS WAGANI NI WA MUNGU APA KENYA PLIZ TUAMBIE TUENDE KWAO

  • @gigxjr9754
    @gigxjr9754 8 หลายเดือนก่อน

    Zaburi 37:8 Iyo ukali wake na kutukana wakristu ni tunda la Shetani...!

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie jamani Yani wakenya jamani ata naogopa kwenda kanisani nasema Bora niombe nikiwa home Mungu liangalie taifa la Kenya 🙏😭

    • @KilonzoMutuku-hi6rs
      @KilonzoMutuku-hi6rs 7 หลายเดือนก่อน

      Usiamini uyu nambii kwanza shiriki kanisa lake tuone nae okoje

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 8 หลายเดือนก่อน

    Siyo wachungaji tu hata waimbaji wa nyimbo za injili wa kenya mimi huwa siwaelewi mfano ringtone,bahati,willy paul na huyu aliyeimba unipanye uzima anasuka rasta au diledi wanawake wanavaa suruali za kubana sasa najifukilia hivi hawa kweli wameokoka?

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 8 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sawa hapo