BAHARIA YUZO: MAISHA YA MELINI/ NILICHOMWA MOTO/ WALIJUA NIMEKUFA/ NILIENDESHA MELI PEKEE YANGU-08

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 14

  • @MuddMunishi
    @MuddMunishi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba nakuelewa sana ..uwez amin episode zote nime ziweka kwenye flash

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wa pili like zangu kama unafatilia mzigo huu

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 7 หลายเดือนก่อน

    Kelele tatu kwa yuzo wakeeeee🎉🎉🎉🎉😂😂😂
    Asante sana nilikuà naitafta sana huu muendelezo mungu akubariki duba mdupange❤❤❤❤

  • @habibseif8989
    @habibseif8989 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hyu bahari kanifunze neno Deck boss ambao wale mabaharia wengine wazamiaji wanapaita bosenideki ... huyu anawatamka.kitaalam kumbe bi boss on the deck( hili neno alielezea ktk episod za nyuma )

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wa kwanza kulike

    • @JOHNJOHN-pu7wb
      @JOHNJOHN-pu7wb 7 หลายเดือนก่อน

      Aya mi wa mwisho. Umefaidika nn

  • @ElishaPeter-ln1ud
    @ElishaPeter-ln1ud 7 หลายเดือนก่อน

    Nakubali baharia

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 7 หลายเดือนก่อน

    Nakubari baharia

  • @yusuphmtumweni5829
    @yusuphmtumweni5829 7 หลายเดือนก่อน

    Mapezi ya papa wanatengenezea nyuzi za kishonea vidonda hospital

  • @user-tu6wb7xe4d
    @user-tu6wb7xe4d 7 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kimekua kifupi sana mpaka kinachosha kufutilia boss

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 7 หลายเดือนก่อน

    Mbanga kwa hewa🔥🔥🔥🔥

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 7 หลายเดือนก่อน

    Mtangaji hayo maswali yako yanachelewesha story!hacha jamaa aongee mwisho wa story ndo uulize maswali yako sisi tunataka story tuu

  • @HassanSinani
    @HassanSinani 7 หลายเดือนก่อน

    Dupa kipindi kiongezwe.muda

  • @user-dk8dr4kt7r
    @user-dk8dr4kt7r 7 หลายเดือนก่อน

    Dumpa jaribu kuongea na uongozi kipindi kiongezwe mda.......