BONDIA HASSANI MWAKINYO AINGILIA KATI SAKATA LA BINTI ALIYEBAKWA/ TUSIMSEME/TUMCHANGIE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 253

  • @AishaSalimu-b6b
    @AishaSalimu-b6b หลายเดือนก่อน +8

    Mashaallah hongera sanaa mwanangu kwaupeo mkubwa ulionao Allah akuongee zaidi upeo kilasiku nasema kujitambua nimoja ya zawadi kubwa kwa allah umeonge vema kwahekima na busara

  • @abbasouko3143
    @abbasouko3143 หลายเดือนก่อน +11

    Ungepewa kibali hicho cha kusipamia kaka ingekuwa poa sana , umetoa wazo zuri

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa หลายเดือนก่อน +19

    Hayo ndo mawazo tunayoyataka ya kizalendo...na huo ndo upendo...safi sana Mwakinyo...

  • @MarksevenTz
    @MarksevenTz หลายเดือนก่อน +15

    NAKUBALIANA NA WEWE 💯 💯 Na umeonesha kweli wewe ni kioo cha jammaniiiii, siyo wale wanaojiita kioo cha jammaniiiii Lakini BAADHI ya wasanii ..Sanaa Yao haina tija Kwa jamiiii Zaidi ya kukata viuno, kuimba Matusi na Kukaa utupu mbele ya Jamiii et kwendana na Soko. (Sasahviii wako kimyaaaa wanasubiri show za Campaign 2025.) Sijasikia Hata wimbo mmoja tu ukikemea haya yanayoichafua jamiiii wanayoiwakilisha. Basi hata Tamko tu la kukemea kama wewe @Mwakinyo ....Big up @ FridaAman bora wewe. Ila ukitokea msiba ndani ya 24hrs tu . Ngoma iko Hewani... Na maneno meengi ya "Tutakukumbukaaa Tutakukumbukaaa". Kwanza hata Marehem hawasikii Na hizo chorus zao. Wakati yuko Hai walikuwa Na nafasi ya kuonesha kweliii Wanamdhamini.
    Kama hivi Dada yet, Tena mtoto wa miaka 17 tu. Anapaswa kupaziwa Sauti za Aina zoteee. 1. HAKI ZAKE (Mahakamani), 2. UKARIMU (Sadaka zetu) na 3. Afya yake (Psychology)

  • @daltonpaul5838
    @daltonpaul5838 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kweli huyu dada tumchangie maana anatakiwa pia atoke asijifiche afungue hata biashara jamani ili aondoke kwenye giza la kujificha MUNGU akubariki

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 หลายเดือนก่อน +10

    Wazo zuri kaka, umeongea vizuri, mimi nimekuelewa.

  • @MohammedMzee-e5f
    @MohammedMzee-e5f หลายเดือนก่อน +7

    Assalam aleikum....wazo zuri na maneno ya mazuri. Champs.... number ya dada ipatikane tuanze zoezi hilo....in shaa ALLAH

  • @SelemanChaola
    @SelemanChaola หลายเดือนก่อน +11

    Kaka mwakinyo wewe ni jiniasi upovizuli champion

  • @mahmoudidriss7230
    @mahmoudidriss7230 หลายเดือนก่อน +10

    Umeonyesha unauwezo mkubwa wa kufikiri....big up sana brother Hassan.

  • @mahmoudidriss7230
    @mahmoudidriss7230 หลายเดือนก่อน +13

    Safi sana brother.....umefungua njia kwa wazolako hilo....Allah atakulipa kila la kheri.

  • @mwinyihijajumaa3773
    @mwinyihijajumaa3773 หลายเดือนก่อน +4

    Ndio maana tunakuita Champion huruma na upendo unao Mungu akulipe kwahili

  • @emmanuelmsang3949
    @emmanuelmsang3949 หลายเดือนก่อน +8

    Dogo umeobgea vizuri sana mungu akuongezee kila htua utalipwa kwa wazo zuri

  • @KabysaMrutu
    @KabysaMrutu หลายเดือนก่อน +2

    Up saw lkn bdo tunahtj kujua kwnn police wankuw na mamb ya kutufichia wahalfu

  • @HappyBooks-dj6oy
    @HappyBooks-dj6oy หลายเดือนก่อน +15

    Thanks my brother . Unachokiongea ni Sawa kabisa.Inabiditumchangie Ili abadilishe maisha yake.Mungu akubaliki sana

  • @AishaSalimu-b6b
    @AishaSalimu-b6b หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah hongera sanaa mwanangu kwaupeo mkubwa ulionao Allah akuongee zaidi upeo kilasiku nasema kujitambua nimoja ya zawadi kubwa kwa allah umeonge vema kwahekima na busara

  • @MoosaMzinga
    @MoosaMzinga หลายเดือนก่อน +1

    Wachachee wenye mawazo kama champion.......Hekimaa na busara

  • @GazoMuhuza-x3s
    @GazoMuhuza-x3s หลายเดือนก่อน +1

    Ni kitendo cha unyama na zaid ya unyama, naunga mkono kuhusu bint kuchangiwa na kabla Watanzania kumchangia ningependa kuishaur Serikal kwamba wale vijana watano pamoja na boc wako mishahara yao yote apewe yule bint,na alipwe mshahara huo kipindi cha maisha yake yote mpaka muda na umr wa kustafu boc wake na wale vijana watano

  • @msengasikaonga3039
    @msengasikaonga3039 หลายเดือนก่อน +1

    Akika umenena vizuri mwakinyo Ina bidi iwe ivyo

  • @rogersiddy
    @rogersiddy หลายเดือนก่อน +1

    Wazo zuri sanaaaaa tena sanaaaa ili atakapomaliza heka heka hizi apate biashara na nyumba ya makazi atulie laa sivyo atakuwa mtu wa kufadhaika Kila siku Mungu🙏mpe wepesi maisha yake yote afya njema na uhai mrefu

  • @BusokozaDiane
    @BusokozaDiane หลายเดือนก่อน +6

    Manshaallah kila lakheri Allah akulipe duniani na kesho umur kiyama kwa fikra yako naupendo ulionesha

  • @michaelmwalimu6057
    @michaelmwalimu6057 หลายเดือนก่อน +4

    Upo sahihi sana kaka wazo lako tuko tayari kulifanyia kazi ubarikiwe

    • @FATUMABACARCADANGE
      @FATUMABACARCADANGE หลายเดือนก่อน +1

      Hongerasana hasani mm ndomaana nakupendaga bondia wangu

    • @FATUMABACARCADANGE
      @FATUMABACARCADANGE หลายเดือนก่อน +1

      huyundo bondia mwenye mani mazur

  • @AnnaMkasa
    @AnnaMkasa หลายเดือนก่อน +7

    Safi sana brother hongera sana kweli wewe ni bondiya

    • @CubicTz98
      @CubicTz98 หลายเดือนก่อน

      😁😁

  • @djspeciallee7101
    @djspeciallee7101 หลายเดือนก่อน +2

    Uko sawa na ww mungu ukujaalie nupeo zaidiyahuo

  • @Hamidu0125
    @Hamidu0125 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefarijika sana na wazo lako mwakinyo sijawahi kuliwaza hili ila umetoa wazo zuri mno hongera kwa kufikiri vzr

  • @BwedoFrank
    @BwedoFrank หลายเดือนก่อน +1

    Naamini kila jambo lina msimu huja nakuondoka hata hili pia litapita,,Mwakinyo ametoa wazo zuri ukweli ni kwamba faraja kubwa ya dada yetu hata kama wahusika watapatiwa adhabu lakini kitakachomuondoa hofu na upweke dada ni kubadilika kwa maisha yake kua bora zaidi na asibakie pale alipo hii itamfanya kujiamini na kusonga mbele kimaisha,,Uhuhitaji wa kuwezeshwa huyu mdada ni muhimu sana,,Hongera mwakinyo kwa kuwaza mbali,,,,

  • @AishaRamadhansaid
    @AishaRamadhansaid หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kaka lkn mungu ndie hakimu allh amfanyie wepes

  • @AWADHIHEMED-y1c
    @AWADHIHEMED-y1c หลายเดือนก่อน +1

    kweli kabisa kaka

  • @AlfaStanley-f1d
    @AlfaStanley-f1d หลายเดือนก่อน +2

    iko fact xana champez one time 🤝

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 หลายเดือนก่อน

    Yan kila unachokizungumza n lazima ukifafanue vzr! U like it Bro.😊

  • @bili-films
    @bili-films หลายเดือนก่อน +2

    Thats true my bro haijalishi source ilikuwa ni nini ila ule ni unyama uliopitiliza

  • @DumaBeatus-yz6mu
    @DumaBeatus-yz6mu หลายเดือนก่อน +4

    Umeonyesha uchampion, ni wachache watu wetu tunao wakubali,(maarufu) wanao onyesha kujali na kuguswa yanapo tokea matatizo ktk jamii zetu na tunawajua hata wasipo jitaja. Umesema vema Champion

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 หลายเดือนก่อน +2

    Naunga mkono hoja. Kama tulichanga kijana alie choma picha ya raisi huyu dada tunashindwaje et tuoneshe faida ya Umoja kijamii🙏

  • @EVALINEIBRAHIM
    @EVALINEIBRAHIM หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa wewe ni mtu katika watu...kwa imani yako hiyo MUNGU akubariki kwa unachikifanyq🙏🙏

  • @khamismimba3925
    @khamismimba3925 หลายเดือนก่อน +1

    Vyema Sana mchakato uanze kumtafuta msimamizi insha'Allah

  • @YahyaJackson-c8e
    @YahyaJackson-c8e หลายเดือนก่อน +2

    Mdogowangu mwakinyo ww zaidi ya mabondia safi sana, kwani mpakaleo ao wanamziki wakubwa awana wazo lolote zaidi ya kuonga,magali na pombe, wanawaza ufuska tupo pamoja mwakinyo

  • @MohamedMwitumba
    @MohamedMwitumba หลายเดือนก่อน

    Nakuungamkono mr Hasani mwakinyo kwamawazoyako tumchangie huyu dada ili tukiohili iwenisehem yakubadilisha maishayake😢😢😢😢badoanaitaji msadawetu ili asahau lililomkuta

  • @Abdallah-b3m
    @Abdallah-b3m หลายเดือนก่อน

    Wazo zuli champion itengenezwe akaunti.yakumchangia na ss tuko tayali kufanya ivyo

  • @JosephAndrea-s5u
    @JosephAndrea-s5u หลายเดือนก่อน

    Umeonyesha bro, ni zury Hilo wazo, Ila watanzania wenzangu nawaomba tutulie maana uchochezi umezidi Sana, tuende kwenye kujenga

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน +1

    Waalekum msalaam warahmatullah wabarakat kuna matukio mengi sana tz ila tukio hili limechukua nafasi kubwa sana na kuumiza roho hisia za watu hili ni tukio la mwaka la kipekee japo yapo mengi sana pia yanaumiza.
    😢

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex หลายเดือนก่อน

    Wadada acheni tamaa kingine vijana tunguzeni njaa mana tunajikuta kwenye matatizo kurinda ugali wa viongozi

  • @Rehemandovu-e9j
    @Rehemandovu-e9j หลายเดือนก่อน

    Nisawa kaka mwakinyo madam yako yamhimu sana template Alison tuweze kuchangia hatatulicho nacho

  • @omaryhamad2357
    @omaryhamad2357 หลายเดือนก่อน

    Pwent xn umeongeya japo kidogo tumchangiye maan shidaa ndio ilimfanya yatoker hayaaa

  • @AshuraAdam-o7q
    @AshuraAdam-o7q หลายเดือนก่อน

    Ogera kaka kwama wozo mazul

  • @DamasStanley
    @DamasStanley หลายเดือนก่อน

    Siku moja South Africa nikiwa salon nilikutana na bondia Hassan Mwakinyo. Tulizungumza kidogo pamoja na watu waliokuwepo pale, hakika niliona jamaa ana busara sana kwa jinsi alivyokuwa aiiongea. Na leo nathibitisha kwamba huyu jamaa ana busara sana na thinking capacity iliyopevuka. Nami naunga hoja tumchangie huyu dada yetu

  • @rashidalmas3792
    @rashidalmas3792 หลายเดือนก่อน

    Haya yote Ndio Faida hasi ya Zinaa. Wote walio husika kilicho wasababishia uzinzi. Dada mnatuabisha Sana acheni kuwapea wanaume na Hali ya kua hata nyumbani hawatambuliki. Acheni ulimbukeni wa ngono mungu hapendi.

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 หลายเดือนก่อน

    Umewaza vema Hassan. Lakini anapataje mil 550, tunampongezaje kwa fedha hii yote baada ya kuwa ameharibu ndoa ya mtu? Maana yeye pia tuna kesi nae baada ya haya! Kwa sasa turuhusu tu deal kwanza na hawa vijana wakatili. Baadae, yeye pia ana suala la maadili. Mimi siamini kuwa hakuwahi kuonywa na huyo afande kuhusiana na hili. Ninamhisi kama mtu aliyekataa maonyo. Em tupate historia yake pia. Tusije kuwa tunampongeza mtu mwenye makosa makubwa. Tunakiri, hakuna kosa linalomfanya mtu afanyiwe unyama mkubwa ule. Lkn pia si kila jambo linahitaji huruma ya kuchangiwa pesa.

  • @salimamoshi619
    @salimamoshi619 หลายเดือนก่อน

    Sawa Anzisha tuta ku support
    Na umfungulie account

  • @TuntuHassan
    @TuntuHassan หลายเดือนก่อน

    Umeongea kikubwa somo weka namba yakuchangia ili tuweze kumchangia

  • @ibrayomapenzi7048
    @ibrayomapenzi7048 หลายเดือนก่อน

    MAWAZO MAZURII KILOBAKIA SASA JAMANI TUJUWEEE TUNAMCHANGIAA WAPII

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka uko vizuri kweli

  • @michaelkilango9300
    @michaelkilango9300 หลายเดือนก่อน

    Safisana mwakinyo uposahihi sana hunabaya

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kaka ni kweli tumchangie

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 27 วันที่ผ่านมา

    Naomba uanzishe ilo zoez andaa namba za cm tutachangia wazo zuri sana

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 หลายเดือนก่อน

    Oy nilikuw skupend ulivyo niangusha marekan ila hapa nipo pamoja naww

  • @TumsifuMbamba
    @TumsifuMbamba หลายเดือนก่อน

    Wazo lako kama langu tu ingawa nilishindwa kulifikisha kwenye jamii kwasababu Sina sauti umeweza kufanya kitu ambacho watu tulishindwa kuweza we kweli ni kioo Cha jamii

  • @jumanneluchagula-rz5vq
    @jumanneluchagula-rz5vq หลายเดือนก่อน

    Tukimchangia huyo si Kuna wengine wanaweza waka taka wafanyiwe vile Ili wachangiwe

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu หลายเดือนก่อน

    Sasa tunachangia yeye hatumwoni?
    Ndio maana wanaharaki wanaomba akabidhiwe kwa watu washeria na haki za binadamu atoke kwenye mikoni ya police
    Wanaojua yuko wapi ni police na watu wake, toka siku yakwanza video ile inasambaa watu wengi walionesha kujitoa mchango wa pesa akiwemo chakumbimbi wetu Mange kimambi aliahidi million mbili

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t หลายเดือนก่อน

    Mshika hizo pesa awe Rais wa TLS mwabukusi, au Madereka au J malisa toeni namba.

  • @hassanngole3423
    @hassanngole3423 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa wajina Ina bidi iwe ivyo mungu akujalie kwamawazo

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 หลายเดือนก่อน

    Omba kibalii na udhamini wa serikali ufungue hiyo special fund kwa mwezi mmoja au miwili kabla sakata halijapoa, watu watachanga, likipoa wataliona kawaida au litokea lingine la kitaifa na hili litafunikwa kama yanavyopotea mengine.

  • @MakokotoMchanga-n5n
    @MakokotoMchanga-n5n หลายเดือนก่อน

    Acheni kualisha upumbavu watu kibao wanashida katika nchi hi tena shida za hualali kabisa mkimchangia nawengine watafanya hivi hivi jeshi la police kuchukua hatua inatosha mambo mengine watalipa wahalifu haohao acheni shobo za kijinga izo

  • @WiliamMatondo
    @WiliamMatondo หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzdishie hekima na basala kijan aznsha hata ww hyo mfuko wa kuchangia kidogo nikcho nacho ntamchangia

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 หลายเดือนก่อน

    Tunaweza kufanya hivyo,ila Cha kwanza,aliyewatuma akamatwe

  • @RoseMinja-e8d
    @RoseMinja-e8d หลายเดือนก่อน

    Tunashukulu n wazo zuli sanaaa ila ingependeza hata kumwona Kwanza tuuu ilitupate moyo kuwa msaada utamfikia

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 หลายเดือนก่อน

    Ubabaishaji atutaki.mbona yule mkuu wa mkoa wa simuyu kama sukosei alishutumiwa kumfanyia mabaya yule binti mwishowe akaondolewa kazini na kufikishwa mahakamani bila kificho sasa huyo alie watuma hao vijana ye ninani haswa mpaka asijulikane mnatuchanganya mnatuchanganya

  • @IssaAlly-d3e
    @IssaAlly-d3e หลายเดือนก่อน

    Brother unsongea vi2 sahihi likini mawakil wanacha kutetea wat wetetea nn

  • @khalfanhamadi3616
    @khalfanhamadi3616 หลายเดือนก่อน

    ume sema jambo zuri lakini nikama ume wahi kabla hili jambo la kumchangia tuje tulifanye baada ya kesi kuisha naomba sasa uje uratibu jambo hili baada ya kesi kuisha ume sema mambo mazuri lakini fanya subira kesi iishe then jambo hili lifate

  • @MbandaChuma
    @MbandaChuma หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi kaka tuko pamoja na sote tumeumizwa na kitendo hiki ambacho hakifanani na watanzania.

  • @jafetzani8568
    @jafetzani8568 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe una Roho wa Mungu kama Yesu. Kwani umeona beyond the seen

  • @bigboymkomola8719
    @bigboymkomola8719 หลายเดือนก่อน

    Naunga mkono hoja wekeni acount tuweke maokoto,,,,

  • @saidiyusuph230
    @saidiyusuph230 หลายเดือนก่อน

    KWAKWELI MAWAZO YAKO MAZURI MWANAMICHEZO MWENZANGY NA NDIO WQKWANZA KUONA UMECHANGIA MAWAZO YA MAANA

  • @GodwinKimario-u4y
    @GodwinKimario-u4y หลายเดือนก่อน

    WATOE NAMBA ZA KUAMINIKA ILI TUWEZE KUMTUMIA MSAADA MTOTO HUYO MUNGU AKUBARIKI SANA ULIYETOA WAZO HILO

  • @FRANKNCHEYE-wk8cz
    @FRANKNCHEYE-wk8cz หลายเดือนก่อน

    Point kubwa Sana akili nyingi uzalendo mkubwa sana

  • @asteruapaul2243
    @asteruapaul2243 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mwakinyo upo sahihi kabisa

  • @OdenialoniNgusi
    @OdenialoniNgusi หลายเดือนก่อน

    Brother hunaga Baya ww ni mwamba Ila hii serikali ndo shda

  • @shirimacostantine5106
    @shirimacostantine5106 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sahihi nduguyangu ndiomaana mungu alikujalia ukashinda lileshindano maana ulienda kiugumuugumu bila msaada na ukatoboa na mungu aendelee kukujalia

  • @shukuruhalfani
    @shukuruhalfani หลายเดือนก่อน

    Ni Wazo zuli mwakinyoo Nafikili uongozi watalifanyia kazi wazo lako

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban หลายเดือนก่อน

    Nashauri huyu bint matatizo yatakapomuisha ahamie mkoa mwingine ambao hajulikani ili kueouka dhihaka za wanaomfahamu maana sio kila mtu atamsema kwa wema

  • @RamadhanAlly-cf7du
    @RamadhanAlly-cf7du หลายเดือนก่อน

    Mm nipo tayar Hassan mwakinyo unaonaje usimamie ilo swala

  • @ErickBandushiEtien
    @ErickBandushiEtien หลายเดือนก่อน +1

    Umeeleweka Mungu akutie nguvu.

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani kabla hujamaliza hoja yako Mwakinyo, nilikuwa mpinzani wako mkubwa kwenye boxing, ila kwa point hii, umenirudisha mzimamzima, nimekukubali mno, umeonesha utu wa kipekee kuliko wote tulioishia kulaani tu tendo lile,umekwenda hatua kumi zaidi kufikiria future ya binti yue, ,natamani taasisi inayofanana, ichukue hilo wazo haraka kufungua mfuko huru watu wafanye.🤝

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md หลายเดือนก่อน +1

    Hupo vizuli sana mungu akubaliki

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 หลายเดือนก่อน

    Kwanini usifungue wewe na uhanze kuchangia wallau laki 5 kisha tushilikishe sisi

  • @Dominickcharles-z8j
    @Dominickcharles-z8j หลายเดือนก่อน

    aingilia kati atasaidia nini acha sheria ichukue mkondo wake

  • @shirimacostantine5106
    @shirimacostantine5106 หลายเดือนก่อน

    Nikweli inawezekana kua uyojaamaa aliekuanae alimdanganya kua hana mke kumbe nwanamkea alikua anafuatilia bwanaake akugundua akaamua kumfanizia ivo

  • @Emanuelsilas-b8s
    @Emanuelsilas-b8s หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie mwakinyo hata mm ikitokea nitachangia ikitokea imeanza hili jambo

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 หลายเดือนก่อน

    Atapatikana wap serikali imemficha yy na familia yake awatak asikike kokote

  • @AsiaRajabu-t2n
    @AsiaRajabu-t2n หลายเดือนก่อน

    Alie Kazaa basi mtoto kpata❤

  • @ramadhanizengwe
    @ramadhanizengwe หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda hiyo safi sana tufanye hima achangiwe

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 หลายเดือนก่อน

    Na wew pia unalaum walio tukana akina nani? Walio sababisha tukio ndio walio leta taahaluki wekama pesa unayo kua wakwanza ... Amna shida ata wanaomsaidia mahakamani nao ni msaada pekee

  • @agpoison1
    @agpoison1 หลายเดือนก่อน +3

    Big up broo

  • @ChieframaaOfficial
    @ChieframaaOfficial หลายเดือนก่อน

    Wazo zul sana tunachangia wap kwamaana nan muweka adhina

  • @FatumaAbdalah-sj3dz
    @FatumaAbdalah-sj3dz หลายเดือนก่อน

    Waaleyku msalam hakika na Allah ataleta wepesi kwa hili ulilo liwaza

  • @AbubakarJuma-fp8fb
    @AbubakarJuma-fp8fb หลายเดือนก่อน

    TUNASUBIRI NAMBA TU TUANZE MICHANGO TUKUMBUKE TUTAKACHO KITOWA TUTAKIKUTA KWA ALLAH KIKIWA NA THAMANI KUBWA ZAID

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j หลายเดือนก่อน

    Broo umeongea maneno yabusara mm pia nakuunga mkono

  • @WanzokiNyamkira
    @WanzokiNyamkira หลายเดือนก่อน

    Safi sana mwakinyo WW nimzarendo🎉

  • @AnithaChinyeu
    @AnithaChinyeu หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe kiwe,una roho ya hekima,ni wazo zuri inabidi tumchangie🙏

  • @maufadhili5500
    @maufadhili5500 หลายเดือนก่อน

    Bi idhin llah hili litapata ufumbuz Inshaallah

  • @sozigwarahim
    @sozigwarahim หลายเดือนก่อน

    Ile video pekee yake pesa kasha kuwa porn star

  • @AllyOmari-if6yj
    @AllyOmari-if6yj หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana champion mchango uwaze mara moja tutachanga