🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yan kocha Mwenda nakukubali sana wangu Yan tuko pamoja sana Simba lazima inyoke

  • @righitkileo
    @righitkileo 4 หลายเดือนก่อน

    Simba ,simba, Aisee kwa siasa zinazoendelea haitakaa itoboe. kupe wenqi sana hapo.itoshe kusema Inauma sana

  • @chrizostomchristian1884
    @chrizostomchristian1884 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nilikuwa na nunua Jez tano kila msim ila saiv snunui tena mpaka mbadiliko ya kisom yafanyike

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenda upo sahihi sana mzazi

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa boss kakosea kumteuwa tena tray agan

  • @michaelmazoya9244
    @michaelmazoya9244 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu nae ni yanga tu. MO anajitahidi mno, huyu hata jersey hanunuagi anapiga kelele tu

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sema kweli babu japo inatuuma

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mwenda kila wakati unalalamika tu

  • @MohdAli-fl2ef
    @MohdAli-fl2ef 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mzee jiheshim usimalize maneno safari bado ni ndefu

  • @sadikimwakalebela7699
    @sadikimwakalebela7699 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unalolote unaleta vulugu tu ndani ya simba

  • @abdulbasitmulla7678
    @abdulbasitmulla7678 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona yanga haipo ni GSM ndo anamiliki yanga

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 4 หลายเดือนก่อน

    Muhindi na football wapi na wapi

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 4 หลายเดือนก่อน +1

    Na hawa kina kaduguda ndo wasaliti wa simba

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yan ukweli ndo huo MO hana Cha kutuambia Yan inawezekana vip mtu useme et amekula hela af umchukue tena awe tena mjumbe kivip?
    Yan n bora MO na genge lake watoke japokuwa WANASIMBA mtanisema vibaya ila ukweli ndio huo

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 4 หลายเดือนก่อน

    Hapa ndo mtamuelewa manara alichokimaanisha!!!! Ukiwa shomvi ndani ya simba, hauna thamani.

  • @DakiaNzunda
    @DakiaNzunda 4 หลายเดือนก่อน

    Simba wanakataa ukweli, kwa Sababu hiyo watapata shida mpaka mwisho.

  • @sadih5333
    @sadih5333 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa hua namskiliza sana kila post nilicho gundua kwake ni ubomowaji tu si kujenga fitina na ubaguzi na kauli chafu.

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 4 หลายเดือนก่อน

    Kumtawala mwanadamu inahitaji nguvu zisizo za kawaida kwakuwa mwanadamu huwa na asili ya chuki baina chuki na mwengine, ndio mana watawala wazamani walijita miungu ili kudhibiti watu anao watawala

  • @idatonymassawe
    @idatonymassawe 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo bro huwa n mtu wa lawama tuu. Malalamiko yataisha siku mkiamua kuiuza. Maana unaosema mbaki nao wote wez tuu. Mbona miaka yote mmeshindwa kuendesha??? Kama vp hamaaaa

  • @mussalimbe6673
    @mussalimbe6673 4 หลายเดือนก่อน

    SI uhame simba

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe chiz bx kachukua hisa mnafiki we

  • @MohamediMbega
    @MohamediMbega 4 หลายเดือนก่อน

    🤔👍👏👏👏👏👏👏👏

  • @nurdiniabdillahi3558
    @nurdiniabdillahi3558 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani huu milembe inamuhusu akiongea unajua ujinga wake

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee umesema ukweli wajinga hawapendi ukweli😢😢

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 4 หลายเดือนก่อน

    Kajaja kajaja kweli na familia yake toka enzi zile

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu anamtaka kaduguda

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe unae muekezaji mengine bx mlete

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 4 หลายเดือนก่อน

    Ww na kaduguda sijuwe mnatatinzo gani ww

  • @NouhuKhamis
    @NouhuKhamis 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwenda ukipewa simba utaweza kusajil mjinga mmoja wewe maneno tu hayasaidii kitu

    • @jworld1480
      @jworld1480 4 หลายเดือนก่อน

      watu wa namna hii ni wa hovyo sana maana hata simba yenyewe haisaidii zaidi ya ushabiki tu mo akila hela sisi haituhusu tunataka ushindi na burudani anaisifia yanga si ahamie huko yanga mbona walipitia kipindi kigumu miaka 4 nani aliyewasaidia au yanga kama yanga inahela za wapi gate collection inawasaidia kusajili nakuendesha team wapi ulisikia

    • @dstaroficial
      @dstaroficial 4 หลายเดือนก่อน

      Ushind ndo huo mwende shirikisho

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa hata kama Tunambeza but kuna kitu ktk talk yake