THE CLASSIC AY PT2 ep1 : KIFO CHA GARDNER/NLILALA KWENYE KONTENA/BIASHARA YA UTUMWA/PROF J NA NATURE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 เม.ย. 2024
  • AY amerudi kwa Part 2 ya The Classic na akamwaga stories nyingi sana kuhusu maisha yake ,kazi zake na kadhalika,pia aligusia kifo cha mtangazaji Gardner G Habash ambae alifariki siku hiyo hiyo ya mahojiano haya.

ความคิดเห็น • 26

  • @NoahMalanga
    @NoahMalanga 2 หลายเดือนก่อน +2

    AY u r a living legend brother....nimekusikiliza way back primary,seco to university. Am married now i still follow you🔥

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jamaa ana Moyo wa kusaidia sana amepambania sana Bongo freva

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 2 หลายเดือนก่อน

    Oyaa hiyo beat iko juu sana interview inasaund tofauti

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubal kaka

  • @boniphace1
    @boniphace1 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bes collabo ni hizi
    1.Mtazamo
    2. Hii Leo
    3. Ingekuwa vipi

  • @gilbertkasikila5294
    @gilbertkasikila5294 2 หลายเดือนก่อน +1

    Movie inaitwa fist of legend

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  2 หลายเดือนก่อน +2

      Umetisha sana aisee,Asante

  • @milley7185
    @milley7185 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 nimuuona ule mkono hatariiii hlf eti wabakuja mwishoniii dah

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 2 หลายเดือนก่อน

    Ungepiga songblana SOG na CBM umsikie master kwenye ubora

  • @paschalmichael119
    @paschalmichael119 2 หลายเดือนก่อน

    Hate it or love it sio wimbo wa G-Unit ni wimbo wa The Game feat 50 Cents

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rip Gardner G

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 2 หลายเดือนก่อน

    Mlete Masanjaaaa Mlete masanjaaaaa

    • @joelasu2984
      @joelasu2984 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ujingaa.. tunataka vitu seriously. Tunataka watu makini, the classic inatakiwa watu kama Ay.. alafu akili zikichoka ndio anatuletea masanja. Coz masanja ni comedian ni special wakat wa ku refresh mind

  • @denissnkya5891
    @denissnkya5891 2 หลายเดือนก่อน

    Respek to prof J

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini tunasahau kama chidi benz ashawahi mpaka kwenye nyimbo zake,tuletee chidi benz twamuhitaji lakini muambieni aache zile fujo fujo amakinike afanye interview nzuri na sio zile zake za kimwehu

  • @user-kk7re2jl8y
    @user-kk7re2jl8y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka namini king crazy GK kuna siku atakuja Tu ila vip jay moe na jaffarai na afande sele

  • @juxmakamba8912
    @juxmakamba8912 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee fanya mchakato wa kumuita d knob

  • @mwalimulukali7831
    @mwalimulukali7831 2 หลายเดือนก่อน

    movie hiyo ya jet lee inaitwa FIST OF LEGEND

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  2 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana,thnx

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 2 หลายเดือนก่อน

    A Y babu anamiaka 102

  • @BETConlineTVTZ
    @BETConlineTVTZ 2 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/1qSlTNDn4LU/w-d-xo.html INSTUMENTAL BEAT PIGANA NA MUNGU BY OBY ALPHA

  • @shemayakijenge7355
    @shemayakijenge7355 2 หลายเดือนก่อน

    The sound is proof
    R i p Gardner

  • @Alegria_doPovo
    @Alegria_doPovo 2 หลายเดือนก่อน

    Huni utaoa lini?? Ujumbe wa terazzi inbox