JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @albertkaitaba2513
    @albertkaitaba2513 5 ปีที่แล้ว

    Safi mtukufu raisi wetu mungu akusaidie kupambana na wakwepa Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 5 ปีที่แล้ว +2

    Daaah yani mzee mpaka nakuonea huruma ila kwakuwa umeshaamua pambana kiongozi ila daaah mpaka machozi yanaweza yakakutoka kwakweli

  • @loyceisack1781
    @loyceisack1781 5 ปีที่แล้ว

    Kodi ni kubwa sana ndiyo maana watu wanakwepa. Kodi ikipungua walipaji wataongezeka.

  • @rashidyally7215
    @rashidyally7215 5 ปีที่แล้ว

    kulipa kodi ni wajibu lakini kodi zimekua juu sana siyo rafiki kwa sana nchi

  • @elizagabrael4818
    @elizagabrael4818 5 ปีที่แล้ว

    Tax oriented country Tz,Plus expenditures out of budget!

  • @smarty1064
    @smarty1064 5 ปีที่แล้ว +1

    TRA wanafanya makusudi sana, hasa mipakani, mwaka juzi waliipitisha invoice ya competitor wetu eti kaagiza mahindi toka uganda kwa kila kilo moja Tshs. 40 ya kitanzania - seriously na muhuri kagongewa!! hivi kama bei ni ndogo kiasi hicho si wote tungeenda kuchukua mahindi huko - inamaana kila gunia moja la mahindi la kilo 100 ni Tshs. 4000 kitu ambacho ni uongo wa kutupwa hata wagonga mihuri wa mipakani wanalijua hilo, wengi wanaghushi tu taarifa hilo MLIANGALIE kwa umakini kwa watendaji wenu

  • @malundehatari5929
    @malundehatari5929 5 ปีที่แล้ว

    Dhuuu

  • @mursalismail975
    @mursalismail975 5 ปีที่แล้ว

    Shame on TRA representative

    • @richard.rkilonzo7538
      @richard.rkilonzo7538 5 ปีที่แล้ว

      Wachina pia wezi. Wanaua Tembo sana. Tembo Afrika mashariki zimeisha hasa hasa Kenya na Tanzania.

  • @edwinernest2012
    @edwinernest2012 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Rais,huyo anayeingiza magari bila kulipa si umtaje ili isiwe business as usual kwa hawa watu? Wewe ni msema ukweli, na msema kweli ni mpenzi wa mungu Kama jinsi wewe usemavyo.

  • @husseinkarim7839
    @husseinkarim7839 5 ปีที่แล้ว

    Kodi ni kubwa. Weka tax friendly syestem.