Fid Q feat Saida Karoli -- KIBERITI (Official Lyric Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- #FidQ #Kiberiti #SaidaKaroli #SlideDigital
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on:
/ therealfidq
/ fidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Profeser jay Fd Q mwana fa,ay,john makini,Roma huu muziki wa rap ni wenu aisee
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ngosha the Don👉Fid Q...Legend in HipHop industry..kama unamkubali Fid Q gonga like tukisonga🔥🔥🔥
Fid q Legendary
Ni wasanii wachache sana duniani huacha nyimbo zenye elimu ndani yake kwa faida ya vizazi vyao na vizazi vijavyo. Heshima kwako Legend huu sio wimbo tu bali ni elimu ya kiwango cha phd.
Likes za kutosha za kumpa nguvu Professor FID Q
Brother Ngoshaa wee uwezii shukaa au
Mfalme wa Hipo Hop East Africa nakubali mashahiri Muondoko we mkali Farid Qubanda
Prof ngosha...from lushoto TANGA💥
Iko P sn 💪💪💪💪
Hivi kwa nini bongo wanaojua hawatoboi ... Au ndio hisia za karne ya 21 katika karne ya 20 ya bongo...big up Q
Thanks bro kwa ngoma Kali sana ukuwa niangusha toka nikujue kwenye ngoma zako
Nouma bro
Team mnasikiza Fidq ndo watu Tu wamejitambua hao,likes kwa tunaojiamini
Fid Q mfalme wa Hip Hop 👑
All the way from +254 wakubalika Sana 🔥 🔥
Msanii aliewainspire madogo na madogo wakatusua wakakajikuta star kuzid blow
Please listen to my song 21st century too and kama imekubamba bro subscribe like and comment I'll really appreciate here is my link
th-cam.com/video/46RWF7gYdwk/w-d-xo.html
Tuna taka video king of hip hop
Una roho mbaya kweli hadi leo hujamkumbuka Kiraka Rado
Ngosha ngoshaaa
Fid Q the big IQ.....usichukulie vitu personal
Hii ndio maana kua msanii bola namba 1 wa hip-hop kwangu💪💪 'you deserve it 🔥🔥🔥🔥
Aaah aaahhh anamchana naniiii???? Flow tam Ila udaku mtam zaidi
No shit....I commented too early...this banger is for us all...kiberiti mathafanta
Daah hiz punch sio poa
Now this is good music. Lots of love from Kenya.
FID Q NI NAMBA 1 HIPHOP TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kama unakubaliana na mm
Asihamehame atulie katika hip hop atoe elimu content zipo mbona.
Moto sana
Hili Goma kali ....fid umeweza sana bro
Kwa anzia sasa, Ukiniponda sichukulii personal
Ukinisifia sichukulii personal!
I have learned something great from this so thanks bro fid kubanda
Mwanza Mwanza we are good in Hip Hop
Fid q wewe ndie tunaekutengemia bongo kwenye iyi michano mimi nipo zangu Dubai ila nacho kuomba achia Video iyo mkali wangu wa siku zote
Hi sauti na speed .Uishi milele Bro 💪
Maneno KUNTU #kubandaaa nakubari sana
Sijawai kukataa kazi zako tangu nipo msingi hadi sasa nomekua baba,fd q naelewa uwezo wako bro.
Ngoshaaaaaa
Kitu kali sana fid.i say we ni mwamba.much love from kenya.
Kama wakubaliana nami hapa kwamba wale wote waliomtusi Fid baada ya ngoma ya Fresh RMX wanahusika humu ndani, gonga like hapa.
Kunamtu kademwa hapa Hakukumkumbuka Rado ni nani huyo???
2023 Rent mwezi ujao na haujalipa school fees ya mwanao
Huu mstari unanifunza sana
Hip Hop icon salute Kubanda, Much Respect Malcom u mean professional
Yani faridi kubanda wewe ni zaidi ya hip hop bro bali mm nakuona kama mwalimu wa vijana pia hapa wale wakongwe maana mistari yako na kile unacho fanya ni zaidi ya fikra za kawaida kabisa mm nimekwelewa sana ten sana cjui km na wengine wamekuelew kama mm nilivyo kuelewa ila wewe ni fire
Punch lines za kush 💪💪💪
Real Hip Hop Fid Q is hip hop
Best writer.
sijui nin inafanya fid q asipatiwe nafasi ya nominated like BET AFRICAN or US but i belive one day one time u will be nominated
Uko vizuri brother ngosha big up mzee wa busara
Nguzo 5 za Hiphop
Ngoma Khali Sana jombaa #fid q, Yuko poa Sana shangazi #Saida karoli
My BEST RAPPER.FID Q...TAFADHALI NITUMIE ILE REMIX YA "MALAIKA"
My Favorite song in Kitaaolojia, This is more than a Hit Song, It's an International Anthem
please there is another encouraging song on TH-cam using this link th-cam.com/video/46RWF7gYdwk/w-d-xo.html if it pleases you don't mind to subscribe like and comment I'll appreciate be blessed
From Nairobi 🇰🇪 lovely hiphop💖💯🎤🎤
Asante Kaka Mkubwa kwa hili Darasa. I personally am appreciative for what you deliver to us.🔥🔥🔥💕
Hii bonge la dis trak kama mbele vile
Faridi kubanda X Saida Karol
🔥🔥🔥
This is my best song of the year, both 2019-2020😁😁makida we sio king ka kiba damn man....
Huyu saida jamani hazeeeki
Bonge la ngoma!dah leo ndio nimejua ukali wa saida karoli
Fid kama fid
Ngosha akoseagi💪💪
Mzee mbuzi
Li Brain click here to watch all videos>>>th-cam.com/channels/5kqDK4XaBQirDCIgZ0fPKQ.htmlvideos
KING OF HIP HOP KAJA NA KEBERIT💪💪💪💪
Ebhana hii ngoma ina message 10000
Fid the GOAT
Watching from Kisumu, Kenya big up Fid Q ... Not taking things personal in 2020 #realtalk #kiberiti #boom
Wuod luo please listen to my song 21st_century lyrics too on TH-cam using this link and subscribe and comment too I'll appreciate wuo dala here is the link th-cam.com/video/46RWF7gYdwk/w-d-xo.html
👍👍💪
naomba likes za Saida Kalori jamaniii
uko juu kaka
Fid Q Baba lao 😎
Legend, salute!
LEGEND FARID KUBANDA🔥
Dope🔥🔥🔥
Mziki wa Fid unakata Hangover na kutibu msongo wa mawazo
This song shud be trending now😂😂😂🤷hamjaskia storry ya Kiberiti
Haha Saida already was living 2050 😳😳😳
@@jimmwaura 😂😂😂😂😂😂✌️
The best🇨🇩🇨🇩🇨🇩
My fav hip hop artist of all time
Bdo cjaona kama FID Q ,unajua brooh watu wengi tunaitaji huduma yako ayo maneno yako ni hekima toxha (although this is a dis track 😁)
Ukijikuna tako , usikate kucha kwa meno
This is a book
Mkuu unatisha
Fire
U a genius
Yani huwa skiskii kitu leo nmeelewa! Hah fa🤣🤪
🐐🐐🐐
Fid hop ☺️☺️☺️unajizungumzia humo ndani ww mwenyewe ila vinega wanasema Diss
leo ndio nimejua hili bro..ddahh. fid kichwa sana.nimemuelewa
Nasubiri video
Wow 😯
Wow 😍🔥
the flow man the beat fire
Good music mbuzi ila umechamba sana
Mondi kadisiwa.... 2024..😂
Legend #fidq
🔥🔥🔥🔥🔥
Bro 🙏
Ukijikuna tako usikate kucha kwa meno 🙂
True bro
Nice fonts
Rockstar
💥💯
Kiberiti
Ukijikuna tako usikate kucha kwa meno😁😁😁😂😂😂
🙌🙌
Joh makini diss
Asante sana
I wonder if this guy do collaboration... With khalighaph Jones
It's gonna be fire 🔥