KAIMU MKURUGENZI MKUU TRC ASHUHUDIA KAZI YA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA RELI GODEGODE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 3 ปีที่แล้ว

    🤩 Sasa ina onekana kwamba shirika lime anza ku chukua hatua za tahadhari kadiri ipasavyo kwa usalama wa watu na mali zao, pia ku tunza mali za taifa ili taifa lisi pate hasara!
    MWENYEZI MUNGU awa bariki sana, Amen:
    TRC 💪🏾
    🇹🇿🦒🦚🌴🏝🏖🌳🏔🛤🛣🥀❤️✨💫🙏🏽

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 ปีที่แล้ว +3

    Inabidi reli wawe na kitengo cha preparedness kwa ajili ya mafuriko na majanga mengine ya asili yanayoweza kuathiri miundo mbinu yao, hii ikiwa na kusafisha na kutengeneza drainage systems zinazofaa badala ya kuwa wanasema mvua za aina hii hazijawahi kutokea! Wanatakiwa wawe na flood programs za 15, 25, 50 and 100 years! Tunatakiwa kuanza kuweka recodi za mvua (precipitation) katika kila kituo cha reli kama ilivyokuwa hapo zamani. Data hizo zinazopatikana zitasaidia sana katika ku-model disaster mitigation na kuweza kusimulate worst case scenarios kama kuna mafuriko. You need the base data kwa kazi kama hizi.

    • @buberwajohn1312
      @buberwajohn1312 3 ปีที่แล้ว

      Naaaam maana tukienda kwa mwendo huu hatutafika naomba kuunga mkono hoja.

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 3 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 ปีที่แล้ว

    Waliosikia KIBAKWE NA MLIMA WOTA gonga like! Watu wengi hudhaniaga maeneo hayo yapo mkoa wa Iringa lkn ukweli ni mkoa wa Dodoma.

  • @jaymore6785
    @jaymore6785 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini kusijengwe madaraja, kuliko kupoteza pesa kila nyakati za mvua reli inasombwa