ความคิดเห็น •

  • @lifestylelove9207
    @lifestylelove9207 3 ปีที่แล้ว

    TRC mnajitahidi kwa kweli mungu awalinde🤣

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 3 ปีที่แล้ว

    🤩 Sasa ina onekana kwamba shirika lime anza ku chukua hatua za tahadhari kadiri ipasavyo kwa usalama wa watu na mali zao, pia ku tunza mali za taifa ili taifa lisi pate hasara!
    MWENYEZI MUNGU awa bariki sana, Amen:
    TRC 💪🏾
    🇹🇿🦒🦚🌴🏝🏖🌳🏔🛤🛣🥀❤️✨💫🙏🏽