ความคิดเห็น •

  • @MaryKalunde
    @MaryKalunde 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwahiyo?

  • @IsiahMosl
    @IsiahMosl 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mnasubir mtu afe ndo mnaleta habar zenu mbovu mnajielewa kweli nyie?mtakufa vibaya nyie mtu akifa anatakiwa aongelewe kwa mazur yake siyo kwa mabaya nyie vichaa nini mmekimbia mrembe.

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 3 นาทีที่ผ่านมา

    Mwandishi hiki kipindi cha dua jwa ajili ya dada dida lakin sio kumuongelea mambo hayo diii vema jamani tumuogope mungu

  • @VivecCarol
    @VivecCarol 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pumbavu sana unatumaje video bila kuihakiki? Kwanza ina voice mbili moja ya kutekwa moja ya umbea wako.. acha ujinga boresha KAZI yako.

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Imetosha jamani, hamna utu? Mwacheni apumzike. Hata hofu ya MUNGU mioyoni mwenu hamna? Mtamsema mpaka lini? Mbona alipokuwa hai hamkumsema? Heshimuni watu wanapokuwa hawapo tena duniani.

  • @BarackaNgasala
    @BarackaNgasala 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Acha. Ujinga. Wewe. Sio. Kweli. Mjinga. Wewe. Tv. Yako

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Na nyie mlisuburi Dida afe mlete story zenu za kishenzi nyie media uchwara mnatakiwa kufungiwa

    • @madoratv
      @madoratv 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aya basata

    • @jacobojames7086
      @jacobojames7086 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@madoratvau tuku report?

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hii ilikuwa tokea muda

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa Nini Leo???