ความคิดเห็น •

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimekuwa nikimfuatilia mkurungenzi mkuu wa TRC anafanya kazi nzuri sana👏👏👏

  • @iwas2951
    @iwas2951 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wow, he's so humble. I bet the riders dont even realuze that they are being served by the CEO.

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Leader can make change 🎉 Inapendeza kiongozi akijishusha na kupenda kazi yake MUNGU anapenda sana viongozi wa aina hii

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 18 นาทีที่ผ่านมา

    Hii tren ingekuwa msaada mkubwa kwa watanzania wote ila nasikia kunaubaguzi kwa wasiokuwa na vyeti inamaana waliolipa kodi kufanikisha miundombinu hiyo kujengwa ni wenye vyetu tu kuna namna mnatakiwa kuwahudumia watu wote bila ubaguz na istoshe nchi ndo kwanza inajipangusa vumbi la wakoloni ni ngum kuwa na wananchi wote wenye vyeti kutokana na wengi bado tunasain za vidole gumba