#EXCLUSIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ค. 2024
- #EXCLUSIVE: MTOTO wa MAREHEMU KIBONDE APANIA KUSHINDA MISS TZ - VIFO vya WAZAZI WAKE VILIVYOMUATHIRI....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx - บันเทิง
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Wow! That is the meaning of beauty with brain..... appreciate
She very beuty kuwa wewe siku zote una big future usikate tamaa usache maombi
Anaongea vizuri jamani
She is very beautiful. She talks very well. I like her confidence. She is the best. She was supposed to be number 1. And not two
Hongera sana mrembo,,japo umeniliza kwa historia yenu
Mungu mwema binti yetu
Mungu awatunze na wenzio
Kafanana na mama yake sana
Saaana maskn 😢😢
Mashaallah akili nyingi yupo smart ❤❤
Pole sana mwanangu Mungu azidi kuwatunza
Mungu ni mwema
Be blessed bint .
Mungu akutie nguvu
Amiin
Hongera
Unaweza
Mnasema Sura ya urembo hana!! Embu tuambieni ya urembo ipoje?? Acheni kumkatisha tamaa. Hata Hamo aliambiwa hana sauti ya kuimba. Mungu akutangulie.
Daaaa jamani mtoto wa mama angu mdogo huyo❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Kweye afya ya akili umeniongerea mimi kabisaaa nimeteseka sana na ali iyo😢nimepoteza wazazi wangu niko 2 years old,kwakweli imenitesa sana,ubarikiwe sana binti mzuri Mungu akutangulie kila hatuazako utimize ndoto zako🥰
❤🎉
Mungu awakuze wanangu
❤❤❤❤
Mungu awatunze na wenzio, ndoto zenu zitimie wapendwa.
Jmn Mungu awatie nguvu nyie watoto
Uyu binti ana akili
Yuko kama Ruby
Acheni dharau sura ya urembo ipoje
Hongera mwanangu Ila Sura ya urembo huna😂
Jamani 😂😂
Hana Vip, akina joketi waloshiriki wana sura gani? Acha kumkatisha tamaaa
@@julianamwalongo6047 sio kwa ubaya ni hoja yangu
Mungu awatie nguvu
❤❤❤❤
Alitaka kufanna na lulu
😢mmm!angeipata sura ya lulu siangelinga sura mbaya kavu ni wakaida mno ha!
@@ziadasalimu1730we uzuri umekusaidia nini?
@@ziadasalimu1730km ruby
Kufanana na lulu hapana
Ni mzuri angekuwa Kama lulu asingependeza lulu ana mishavu ana uzuri gani Sasa huyu anafanana na Kuna lupita Nancy huko ni model