Sijawahi kukoment wala sio vitu vyangu kukoment but hii inanifanya niandike Love I understand u me to when I talk about my mum and my life and my family I feel bad and I crying too so i oky to cry
Pole Lulu Diva, Mwenyezi Mungu hajawahi kumuacha mpamnanaji bila kumbariki hata sikumoja. Nimejipata nalia 😭😭😭 . Keep fighting you are a very strong woman and as a woman mimi nita support kazi zako kwa kutizama kila nyimbo unao toa.😘😘😘💗💗💗
Umeniliza kw kweli lulu naskianga 2 lulu but sikujua ni Binti mrembo pia mvumilivu shupavu na Leo umempoteza mamako inasikitisha RIP mola amweke pema peponi
Ni sawa unapitia hayo yote ni ngumu ktk hali ya kibinadamu...lakin icho ni kipimo chako akuna mtu anae pita akanyooka mtazame Mungu anaitaji nn katka maisha yako....pengine Mungu anaitaji utoke ulipo umtumikie..yamkini mama atapona...Mungu wetu ni mwaminifu na anatenda fanya maamuzi...kama mkristo Okoka sasa....muhislamu rudi kundindi swali sana ....Kunahaja ya wewe ya kubadilika mwamini Mungu achana na yadunia....
kilamutu anahistoria yake lulu diva unanipa ushungu dada Mungu atakuwezesha dada.courage .Nawatu wanayo ku jaji hawajuwi ushungu unayo pitiya na liya sana
Yani acheni tu umeombna na mama ako ili awe sawa ila Mungu amempenda zaid ila umepmbn sana KUHUSU mama yako hongera pia natamni hata nionane na wewe lulu jamni acheni acheni tu
Pole sanaaa Mungu atakusimamia Kwa kila Atua unayopiga akuna swawabu unayopata Kama kuudumia mzazi wako Mungu atakufungulia milango ya heri na kila unachofanya utafanikiwa Kwa sbb mama anafuraha na wewe
Duh pole sana kiukweli umeniliza hata mm maana mama ndio pepo yetu kesho akhera mungu atamjaghalia atapowa kuwa na subra piga kazi mungu yuko pamoja na ww
I got emotional after hearing her story for those who have their mum in good shape always thank God for that not everyone is blessed to that extent Lulu God will see you through your mum will one day get well 🙏
Pole Sana diva umenikumbusha Sana mamangu ambae nijuzi tu ametuacha shkuru mungu wamuona wamgusa wamfanyia chochote natamani Sai Nami n ingekua Nampa mamangu hata maji yakunywa lakini siezi Tena Alhamdhulilah
Pole nimaisha tuu hayo LULI. Mungu. atakulipa atakuongezea rizki.kwa kumtunza mama hakuna.kama mama duniani Leo ndio kabisa katoweka sasa kaa ufikirie.umezaliwa pekeyako zaa upate wezako dada
Pole lulu ndio maisha Allah hakupi mtihani bila kukupima Imaan.. lkn kiukweli ktk hyo mitihani jaribu pia kujielewa mavazi uliyovaa upo uchi na watu wengi wanakuangalia kiukweli haipendezi hasa ktk dini yetu hii isitoshe usijichune punguza na taft dawa ambayo itakutoa sugu mkononi.mbona ww uko vzr bila kujichuna? Allah akufanyie wepesi In Shaa Allah. (AMIIN)
Mpelekeni kwenye maombi,,, vitu vingine mwanadamu akishindwa YESU KRISTO anaweza lulu,,,, mpeleke kwa mwamposa,,,, mungu aliemumba mama yako ndiye atakae unganisha ivo viungo
Unajua am single mother and nina mtoto mmoja nafikilia kuongeza mtoto mwingine inshallah mana naona mwanangu nitamtia unyonge,,namuelewa sana mim lulu diva,,,pole mamy
pole dadaangu wala usilie kuna watu wanamaisha magumu ayo yako cha mtt mimi niliacha shule ilinimuudumie mamaangu lkn wapi mungu ndoaljmpenda zaidi sibora ata wewe mamaunae vumilia uwo ndoujanajike
You are an angel ,Lulu and the best daughter that any mother would wish to have.You have done the best for her in your circumstances.We shall continue praying for you and your mother’s spirit shall live forever.
Pole diva Allah atakufanyia wepesi kwa hili na in shaa Allah atapona....imenigusa kwakweli imeniuma pia Mungu atakupa nguvu dadangu am naangalia nkiwa kenya
Wale wote walomtukana na kumkashifu Lulu diva ni wasenge mnajaji watu bila kujua cri zao! Eti hajajenga pumbavu zenu kumbe alikuwa na matatizo Sana! Pole Lulu wangu😭
Pole sana dada angu ukiongea kuhusu mama mie naumia sana make bora wewe mama ako hata mlemavu lakini unamuona mie mama angu kaniacha tangu nikiwa mdogo had nafika chuo kikuu namaliza sijawahi kumuona mama yangu na sijui yupo wapi make hata salamu na mimi hana na hata jamaaa mmoja kwa upande wa mama yangu siwajui jipe moyo atapona
Sometimes unaweza ukimwona mtu anacheka machoni, amechangamka lakini ndani ya moyo wake ana maumivu mengi/ struggles nyingi, so ni vizuri kuthaminiana, kusaidiana, kutiana moyo na kuwa na lugha nzuri unapokutana na watu, huwezi jua how your words zinamtia nguvu na kumfariji awe imara
God bless you great daughter in this world you have been looking after your mum there are very less in this world who can take care of their parents You are getting so much blessings lulu don’t care about this world people will never know the struggles of person
msiwe mnawahoji sana watu mpk。 kila mtu anamambo kapitia hivyo tusikumbuke matagizotuwe tunashukuru na kutazama mbele tusijiumize。kila kitu ni mipango ya mungu alhamdulilah hapo ulipo wengine hawajafikia hivyo mshukuru sna sana mungu na ufurahie kila kitu
Pole Sana dada ang mwenyez mung akupenguz zaid yakufanyakaz naliziki upate zaid uweze kumsaidia mama Amin pole Sana machoz yamenitoka tunakupenda Sana haswa Mimi 💕💕💕
😭😭😭😭😭😭lulu unaniliza unanifnya nikumbuke maisha yang niliangaika km ww Nilishndwa kuendelea masomo nilipambana kumukoa maisha yake lkn mm nilishindwa mm akanikimbia 😭😭😭😭 mama akaniacha mwenyewe dah Lulu pamban lulu mpambane. Mama ako usikate tamaaa dad mungu yupo
😭😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲Polesana my dear 😢😢😢💔💔naumia Yani pole bb 💞 Allah akulinde na mahasidi azidi kukupa afyaa njema nawa toto walowazuri pia wawe wenye kumcha Allah 🥰 💞 pia ninge omba tuuu my olewa uzaee watoto ambaoo maman yetu hakuzaaa plz tulia olewa jambo nzur san 💞💞😭😭😭😭
Kwel mama anauma sana hasa ukimuona anaumwa, kwa kwel me nikimuona mama yangu anaumwa hata malaria yan nafsi inauma kwel sana. Usichoke kumtanguliza Mungu 🙏🙏🙏
Aisee pole sana kwa Luludiva,mtoto mmoja lazima tu atapata changamoto,na kwenye mahusiano ni zaidi,na ukiongezea hiyo hali ya mama yake..duuh.I'm deeply touched,very sad! Asante sana Tira.
Sijawahi kukoment wala sio vitu vyangu kukoment but hii inanifanya niandike Love I understand u me to when I talk about my mum and my life and my family I feel bad and I crying too so i oky to cry
Really
Pole Sana lulu 😭😭 stor yako imenigusa inafanana na yangu ila mungu atupe subra inshallah...🇰🇪🇰🇪
Pole Lulu Diva, Mwenyezi Mungu hajawahi kumuacha mpamnanaji bila kumbariki hata sikumoja. Nimejipata nalia 😭😭😭 .
Keep fighting you are a very strong woman and as a woman mimi nita support kazi zako kwa kutizama kila nyimbo unao toa.😘😘😘💗💗💗
Dah! Nimeumia sana, mdogo wangu Mungu akutie nguvu, na yeye ndie kila kitu kwetu. Mungu ampe uponyaji mama yetu, Mungu ni mwema atatenda juu yake.
Lots of love from 🇰🇪.. kenya; praying that the Holy spirit will locate you.
One of the emotional interview ever seen, pole lulu
Umeniliza kw kweli lulu naskianga 2 lulu but sikujua ni Binti mrembo pia mvumilivu shupavu na Leo umempoteza mamako inasikitisha RIP mola amweke pema peponi
Ni sawa unapitia hayo yote ni ngumu ktk hali ya kibinadamu...lakin icho ni kipimo chako akuna mtu anae pita akanyooka mtazame Mungu anaitaji nn katka maisha yako....pengine Mungu anaitaji utoke ulipo umtumikie..yamkini mama atapona...Mungu wetu ni mwaminifu na anatenda fanya maamuzi...kama mkristo Okoka sasa....muhislamu rudi kundindi swali sana ....Kunahaja ya wewe ya kubadilika mwamini Mungu achana na yadunia....
😭😭mavazi siyo vizur lulu jihifadhi lulu subuhanallah rudi kwa Allah jiandalie Akhela yako dada angu kweli mapaja njee kweli 😭
Una niliza lulu 😭😭😭😭😭😭😭maisha yako ndiyo nayapitia na mimi ila naamini mungu yupo inshallaah 🙏
pole dada inaniumiza sana
😥
Pole sana Lulu!!
Mungu yupo sana ukimuomba na majibu yake ni ushindi ilov Lulu murch
Nakupenda San Lulu diva pia pole kwa kumpoteza mama wew ni mwanamke wa kuigw san
kilamutu anahistoria yake lulu diva unanipa ushungu dada Mungu atakuwezesha dada.courage .Nawatu wanayo ku jaji hawajuwi ushungu unayo pitiya na liya sana
Lulu are blessed mother is a more than diamonds in this world
Yani acheni tu umeombna na mama ako ili awe sawa ila Mungu amempenda zaid ila umepmbn sana KUHUSU mama yako hongera pia natamni hata nionane na wewe lulu jamni acheni acheni tu
Mtoto wako kaja daa anakutafuta lulu naomba umpokee mwanao na yeye anilia anakutafuta😢😢
Pole San lulu jaman kweli umepambana sana mungu afanyae njia atenda na kwako mamaaa pole eeee
Lulu dadangu hutaamini ila umenifanya npate nguvu ya kuendelea kumpigania mamangu, but Mungu yupo atatusaidia tu
Pole sana Lulu
Kabisa
Pole sanaaa Mungu atakusimamia Kwa kila Atua unayopiga akuna swawabu unayopata Kama kuudumia mzazi wako Mungu atakufungulia milango ya heri na kila unachofanya utafanikiwa Kwa sbb mama anafuraha na wewe
Duh pole sana kiukweli umeniliza hata mm maana mama ndio pepo yetu kesho akhera mungu atamjaghalia atapowa kuwa na subra piga kazi mungu yuko pamoja na ww
Punguza kuva nguo za ajabu uko uchi jamaniii ila pole na matatizo yapo kwakila mwana dam na haya ishagi pole sana kumshukur mungu
Wale waliomsema Lulu vibaya Mungu anawaona. Utafanikiwa sana kwa sasa fanya kazi ili ufaniliwe kwa kumbukumbu ya mama
Nimeumia sana nina maumivu Makalii
Mama nataman nimfanye awe na furaha lkn bado huwezo sina naumia 😭😭😭😭😭
I got emotional after hearing her story for those who have their mum in good shape always thank God for that not everyone is blessed to that extent Lulu God will see you through your mum will one day get well 🙏
Pole Sana diva umenikumbusha Sana mamangu ambae nijuzi tu ametuacha shkuru mungu wamuona wamgusa wamfanyia chochote natamani Sai Nami n ingekua Nampa mamangu hata maji yakunywa lakini siezi Tena Alhamdhulilah
Hongera Sana Lulu diva,,kwa kumtunza mama yako mungu atakulipa kwa Hilo maana mama Ni mungu wa pili
Tunaopitia mitihani tuko wengi ila nimepata funzo kuwa tumshukur Allaah na tusikate tamaa wala tusijione wanyonge pumzika kwa aman mama
Pole nimaisha tuu hayo LULI. Mungu. atakulipa atakuongezea rizki.kwa kumtunza mama hakuna.kama mama duniani Leo ndio kabisa katoweka sasa kaa ufikirie.umezaliwa pekeyako zaa upate wezako dada
Pole lulu ndio maisha Allah hakupi mtihani bila kukupima Imaan.. lkn kiukweli ktk hyo mitihani jaribu pia kujielewa mavazi uliyovaa upo uchi na watu wengi wanakuangalia kiukweli haipendezi hasa ktk dini yetu hii isitoshe usijichune punguza na taft dawa ambayo itakutoa sugu mkononi.mbona ww uko vzr bila kujichuna? Allah akufanyie wepesi In Shaa Allah. (AMIIN)
🙏🙏🙏
This is sooo emotional..have cried with this lady. Trust me Lulu I feel you...after seeing my mum sick and dying its most painful memories
Pole dad angu ayanimatito tu utakaha sawa mamy
Lulu machozi yamenitoka mungu Tampa afueni mama pole Sana nimejikuta namkumbuka mama angu rest in peace Maaa😭😭😭😭😭
Umenifanya nilie dada pole kila mwanadam anamatatizo yake wengine tunacheka t kuyaficha
Duh kweli unaweza ukamuona mtu ana furaha kumbe kabeba mazito mayoni
Nkwel kabs kl mwnadam ana mazt yaliy moyon.mwak
Kabisa
Na ndio maana spendi kumdharau mtu
Inaumiza sana
Pole ana kwa historia yako inayohuzinisha 😢 😭 umenitia nguvu ya kupambana kila mmja amepitia kumbe naona nko pke yngu😢😭🤲
Jamaan lulu ata kama unajichubua sio lzm tujue tafut mafuta mazur y kutoa sugu hizoo zinatisha..nakupenda
Pole sasa luludiva mwenyezi mungu atampa tahafifu mama
😥😥😥😢pole luludiva kwa kuondokewa na mama yetu kipenzi
Mpelekeni kwenye maombi,,, vitu vingine mwanadamu akishindwa YESU KRISTO anaweza lulu,,,, mpeleke kwa mwamposa,,,, mungu aliemumba mama yako ndiye atakae unganisha ivo viungo
Pole mama
I love you strong woman ...May God grant you everything you need in this world 💕💕💕💯🇰🇪
Pole.sana.lulu.😭
Mtuzima akiliya ujue kunamambo mazito yanayo mumiza katika maisha Inaumiza kwakweri pole saan dada LuLu Allah akufanyie wepesi
Pole sana mpenz
Sorry
So touching 😭😭😭niko pekeangu kwa Mama I know exactly how she’s feeling But God is your side
Kwa babangu me nipo peke yangu najua unajiis vipi kwenye moyo wako
Usijiziwiii my lia 😭 pol san diva mwenyezi mung hupo NA wew insha allah mama atakuwa saw insha allah 🤲😭
Amen
Talking will let you free from stress, so talk my sister. Pole sanaqq
So true...it works with every one
But not on social media, because there are bad people with bad energy out there always waiting to strike.
From this moment I'm your number one fan 😭
Pole sana mdg wangu MUNGU akutie nguvu ktk kipindi hiki kigu MUNGU ampuzishe kwa amani Mama etu kipenzi
Umeniliza lulu mungu akupe hitaji la moyo wako
Hongera kwa kum2nza mama ila ulio pitia wengi nimepitia magum kuitafuta pesa mpk ss 2napitia mpnz
Unajua am single mother and nina mtoto mmoja nafikilia kuongeza mtoto mwingine inshallah mana naona mwanangu nitamtia unyonge,,namuelewa sana mim lulu diva,,,pole mamy
Pole Sana dada Lulu nakupenda Sana lakin mshukuru munguu kwakila jambo muombee mama huko alipo awe na Aman ya moyoo mwenyezimungu amfanyiee wepesi
pole dadaangu wala usilie kuna watu wanamaisha magumu ayo yako cha mtt mimi niliacha shule ilinimuudumie mamaangu lkn wapi mungu ndoaljmpenda zaidi sibora ata wewe mamaunae vumilia uwo ndoujanajike
Daah pole sana😭💔💔💔
You are an angel ,Lulu and the best daughter that any mother would wish to have.You have done the best for her in your circumstances.We shall continue praying for you and your mother’s spirit shall live forever.
MashaAllah Dada lulu , usiumie hivyo Allah atamfanyia wepesi Mama. pole sana sana kipenzi duh! mom is everything
Pole diva Allah atakufanyia wepesi kwa hili na in shaa Allah atapona....imenigusa kwakweli imeniuma pia Mungu atakupa nguvu dadangu am naangalia nkiwa kenya
Maneno nimeishiwa man inauma sans pole dada
Pole dear Mungu azidi kukutunza utafika tyu na azidi kumtunza Mama yetu,unaweza Dada ucjaliii
Wale wote walomtukana na kumkashifu Lulu diva ni wasenge mnajaji watu bila kujua cri zao! Eti hajajenga pumbavu zenu kumbe alikuwa na matatizo Sana! Pole Lulu wangu😭
Pole dada lulu usilie mungu akawe msaada wako kwa kila jambo utashida dada usilie
Pole sana dada lulu mapito tu tumeumbiwa ss naamini inakuwa nifundisho kwetu
My dear sister am fell bad😭😭😭😭😭😭😭 but don't ever give up one day ur dream will came true InshaAllah ur mother she will be fine 🤲🤲🤲🤲🤲
Pole sana lulu diva , mungu atamsahidia mama , stay strong❤️🙏🏽. We love uu dada🤍
Pole diva mie mdogo wako nipo hata Mimi nimezaliwa peke yangu njoo singida utanikuta my usilie dada Ake
Wewe Ni hodari Lulu nakukubali Sana umepambana Sana km mwanamke
Pole Sana mami unabaraka kubwa mbele ya Mungu kwa kumtendea wema mzazi utapata neema hayo machozi yatatokea bonge la furaha kipenz
Pole sna mammy mungu atakupa nguvu uzdi kumsaidia mamako maan mungu yuwakwambia pepo ya dunia n Mama be strong
Pole sana mwanangu mungu atakubaliki tu umefanya kazi kubwa ya kumuuguza mazazi wako hadi umauti.Nimesikia uchungu sana hadi nimelia.
Nakupenda san san dada Lulu najihsi furaha san navyokuona Lulu I love you so much my love 😘😘❤️😭😭
So touching jmn😔🤧🤧🤧.... But don't you worry... God is going to be ur strength just don't give up on prayers sweetie
Pole sana dada angu ukiongea kuhusu mama mie naumia sana make bora wewe mama ako hata mlemavu lakini unamuona mie mama angu kaniacha tangu nikiwa mdogo had nafika chuo kikuu namaliza sijawahi kumuona mama yangu na sijui yupo wapi make hata salamu na mimi hana na hata jamaaa mmoja kwa upande wa mama yangu siwajui jipe moyo atapona
Lulu pole mungu atakulinda atakuekea ngao usjali wew ni mwana wa mungu kuwa na amani
Amen
Nimelia wallah.... Sio kwetu tu kumbe hat kwenu mnapitia wakati mgumu mungu akusaidie na akupe nguvu
Sometimes unaweza ukimwona mtu anacheka machoni, amechangamka lakini ndani ya moyo wake ana maumivu mengi/ struggles nyingi, so ni vizuri kuthaminiana, kusaidiana, kutiana moyo na kuwa na lugha nzuri unapokutana na watu, huwezi jua how your words zinamtia nguvu na kumfariji awe imara
Pole sana Dada yan najiskia maumiv sana kwa maneno unayoyatoa mungu akusaidie
Pole sana MUNGU akupe Uvumilivu
God bless you great daughter in this world you have been looking after your mum there are very less in this world who can take care of their parents
You are getting so much blessings lulu don’t care about this world people will never know the struggles of person
Lulu usilie Mungu hatakuacha kabisa amini Mungu anakupenda hawez kukuacha uteseke usilie mumy ipo siku utakua ok nimapito mumy.
Achana nao dada diva wanaosema vibaya waache waseme midomo Mali yao pole mamyy jaman mungu akutie nguvu.
msiwe mnawahoji sana watu mpk。 kila mtu anamambo kapitia hivyo tusikumbuke matagizotuwe tunashukuru na kutazama mbele tusijiumize。kila kitu ni mipango ya mungu alhamdulilah hapo ulipo wengine hawajafikia hivyo mshukuru sna sana mungu na ufurahie kila kitu
🙏🙏🙏🙏
Pole sn diva inauma sn hii nimithihan ya dunia amin itapita to atapona kwa uwezo wa mungu amin hilo
Pole Sana najikuta nalia Kila ninapokuona na kusikia interview zako
Pole Sana dada ang mwenyez mung akupenguz zaid yakufanyakaz naliziki upate zaid uweze kumsaidia mama Amin pole Sana machoz yamenitoka tunakupenda Sana haswa Mimi 💕💕💕
Pole sana mpz #luludiva kiukweli nilijikuta machozi yanitoka inauma san
Pole mumy kweli huwezi kumjua mtu zaidi anavyojijua
Pole sana jamani diva nimelia 😭😭😭pia diva please Lia umalize usijizuie kulia utaumia pole sana diva love you so much 😘😘😘
Pole dada Lulu kwa matatizo mungu atakupa wepesi kwenye hii 🙏
😭😭😭
Pumzika kwa amani mama Lulu 💔😭😭😭😭
Pole sana dada yangu hiyo ndio xhangamoto ya sisi watto wakike wewe vumilia mungu atamvuxha salama mama yetu kikubwa tumuombe mungu
😭😭😭😭😭😭lulu unaniliza unanifnya nikumbuke maisha yang niliangaika km ww Nilishndwa kuendelea masomo nilipambana kumukoa maisha yake lkn mm nilishindwa mm akanikimbia 😭😭😭😭 mama akaniacha mwenyewe dah
Lulu pamban lulu mpambane. Mama ako usikate tamaaa dad mungu yupo
Pole sana Sophy
Asante sana 🙏
pole
Umeniliza weye dada, Mungu akupe baraka zaidi
😭😭😭😭😭🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲Polesana my dear 😢😢😢💔💔naumia Yani pole bb 💞 Allah akulinde na mahasidi azidi kukupa afyaa njema nawa toto walowazuri pia wawe wenye kumcha Allah 🥰 💞 pia ninge omba tuuu my olewa uzaee watoto ambaoo maman yetu hakuzaaa plz tulia olewa jambo nzur san 💞💞😭😭😭😭
Dar moyo umeniuma Sana pole Sana dada😭😭😭😭😭
Pole sana lulu mungu atakufanyia wepesi kwakila jambo hizo nichangamoto to za kidunia
Waaaaaa u mak m cryy sorry 😭😭😭😭😭😭hii dunia hk mama dio kila ktu kbs 😭
Kwel mama anauma sana hasa ukimuona anaumwa, kwa kwel me nikimuona mama yangu anaumwa hata malaria yan nafsi inauma kwel sana. Usichoke kumtanguliza Mungu 🙏🙏🙏
Usiseme
Nmejikuta nalia machungu ya kupoteza wazaz yanauma Sanaa pole Sanaa Lulu your Strong woman mamaa utapata Baraka
Pole Dada, Who else is here after knowing that Mama Lulu kafa
Pole dada lulu mungu yupo pamoja nawewe kikubwa husiache kumuombea dua mama yetu kipenzi 🌹
🥺🥺lulu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 such young lady don't cry mungu atakufanyia wepesi kila utakalo kwan mama ndio pepo yako......
Polesana
Daaaah pole sana dada umeniliza sana dada la yote ni ya mungu
Pole sana lulu Mungu amponye Mama yako/yetu.umenigusa sana
Mh! Jamani kama hayajakukuta huwezijua maumivu anayopitia huyu dada, mungu amtiengumu! Mimi wakwangu anaugua amepata strouck! Hajiwezi ila nasema mungu endeleakumuweka! Boranimuonetu pale acheni nimaumivu makali.
Aisee pole sana kwa Luludiva,mtoto mmoja lazima tu atapata changamoto,na kwenye mahusiano ni zaidi,na ukiongezea hiyo hali ya mama yake..duuh.I'm deeply touched,very sad!
Asante sana Tira.
🙏🙏🙏🙏
@@thexoshowtira keep it up Tira,uko vizuri mno🙏🏿