Mdee: Ukiona Dar kumekucha ujue nchi inaondoka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Mh. Halima Mdee akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani wakati wa uzinduzi wa vuguvugu la mabadiliko (Movement for Change) katika Mkoa wa Dar es salaam uliofanyika tarehe 26/05/2012.

ความคิดเห็น • 17

  • @hydarybairu989
    @hydarybairu989 8 ปีที่แล้ว +3

    namkubali halima mdee

  • @mwanalegaamin4445
    @mwanalegaamin4445 7 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sn dada chapa kazi

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 8 วันที่ผ่านมา

    Mhuuu upumbavu mtupu naona hapo halima acha kudanga nya mnajipa Moyo sana badae mkishindwa mnasema mmeibiwa kwa sababutu mlijipa uhakika wa kushinda we Kazi yote hii aliofanya mama bado tu mnajipa matumaini ya kushinda kweli mna roho Ngumu haya acha tuone 2025 mchukue mkoa wote wa dar mhuuu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 วันที่ผ่านมา

    Ilikuwa zamani

  • @muhammadilutando9910
    @muhammadilutando9910 6 ปีที่แล้ว +1

    halima nakupendaga bure dada yangu

  • @JackJuma-o2r
    @JackJuma-o2r 8 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi sana kuona mwitikio

  • @zakiamaungazakia720
    @zakiamaungazakia720 5 ปีที่แล้ว

    Msahau kuingia ikulu

  • @joycesongoloka8412
    @joycesongoloka8412 6 ปีที่แล้ว +1

    kamandaaajike

  • @yohanacharles4599
    @yohanacharles4599 7 ปีที่แล้ว +1

    Chapa kazi mama !?!!!

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 7 ปีที่แล้ว +1

    Lini hii

  • @gizakazeno1688
    @gizakazeno1688 4 ปีที่แล้ว

    Mmetoka mbali

  • @MakeleleMsiminza-pe2xs
    @MakeleleMsiminza-pe2xs ปีที่แล้ว

    Hi

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 7 ปีที่แล้ว +2

    Kudadeki harakati kama kawaida

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน

    Ww zakia kwenye biblia au msaahafu wapi kumeandika upinzani hauwezi ingia ikulu ndo tuamini vitabu vya mungu?

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi 9 หลายเดือนก่อน

    Ww zakia mbumbavu hujielewi

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Pumba hizo kujichosha bila malipo

  • @zakiamaungazakia720
    @zakiamaungazakia720 5 ปีที่แล้ว

    Huna lolote karekebishe saut nyaubaa weee