MBWADUKE: Dubeee..! Apiga bao la jioni kuipa Yanga pointi muhimu CAF dhidi ya Mazembe/ Ramovic...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like...

ความคิดเห็น • 47

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hongera sana Yanga. Ki ukweli mmecheza vzr, umiliki mkubwa japo ufungaji ulileta zogozi lkn Mungu akajalia hatukutoka kwa haibu dakika ya jiooooni😅

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Saafi sana . Tanzania 🇹🇿 tunaendelea kung’aa kimataifa. Big up mchambuzi.
    Prince Mpumelelo Dube ni bonge la mchezaji ni changamoto za presha za timu hizi kubwa

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Umetisha mwamba

  • @husseinrwanda2394
    @husseinrwanda2394 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    UNAONEKANA KUWA MCHAMBUZI MZURI SANA KWASABABU KUBWA MBILI
    (1) Unapochambua hauingizi mambo ya Usimba na Uyanga lakini
    (2) Uchambuzi Wako una uzalendo zaidi......
    Uko vizur Mbwaduke ... Unastahili kuwa MCHAMBUZI wa kimataifa
    Kinachokuinua ZAIDI ni STATISTICS.......Una uwezo mkubwa sana wa kutunza , kuzichambua na kuziwasilisha takwimu za kisoka.......Big up

    • @alsonaly23
      @alsonaly23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🤝

  • @AbelyMagu
    @AbelyMagu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ...Naiman ....tyu tafuzu MUNGU yupo nansi..

  • @GreysonKunguta
    @GreysonKunguta 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa iv wamebadili maneno ooh hamna point Leo Wana sema mna point lakini hamna point

  • @ExavellyMiti
    @ExavellyMiti 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naipenda san jmaniii❤❤❤

  • @GreysonKunguta
    @GreysonKunguta 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huu ndio uchambuz wa mpira sio wale wanauchambua maisha ya watu

  • @NeemaMwangobola
    @NeemaMwangobola 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakwamini sana sana...una unafki wa uchambuzi...sio kama wengine ni wanafki sana..mungu akusaidie sana sana.

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Una au huna?

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchumbuzi huyu mzuri sana ,unachambua hadi mm mtu mzima naelewa ,wengine unaona kabisa hajui asante yanga

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 38 นาทีที่ผ่านมา

    That's good thing

  • @leonardmfundo7190
    @leonardmfundo7190 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Piga kaz kakai kama washambuliaji wa yanga

  • @VenanceTossi
    @VenanceTossi 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa sajilini wachezaji kuziba mapungufu yawasambuliaji haraka Maisemore ushauri wawatu mpaka19/12/ 2024 Hongera Dube Munguyupo nawe (SAJILI SAJILI HARAKA ENG HERRS FANYA HIVYO TUNAKUSHAURI UTAPATA MAFANIKIO TANZANIA YETU ASANTE MUNGU

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera yanga

  • @samwelmkilya9236
    @samwelmkilya9236 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana uchambuzi wako huna unafiki nakufananisha na Dr Erik

  • @mustafamajanimussa7463
    @mustafamajanimussa7463 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yanga bingwA

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tp mazembe hamna tim u pale imeisha

  • @nangaimwakyusa9784
    @nangaimwakyusa9784 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga sasa wameanza kumkumbuka Alah zamani mlijiona ni wakubwaa sana na hakuna timu ya kuwafunga bara la Afrika

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dua kwa wingi

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    al Hilal kashamfunga mtu huko😂😂😂 bado nyumbani kwake yupo kumaliza watu

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera sana yanga na hongera sana Dube.

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wananchiiii😂😂😂

  • @edwardgosbert-e5j
    @edwardgosbert-e5j 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kwa uwezo wa MUNGU tunafuzu maan njia ishaonekana

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unajuwa san

  • @KhamisShabani-v1n
    @KhamisShabani-v1n 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka nakuelewa Hakka wewe nizaid ya mchambuz upovizili huna makandokando mungu akubarik

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aaamyin! Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!

  • @MuslihiShafii
    @MuslihiShafii 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuna muomba allah ajaalie robo fainali tuingie

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchambuzi wangu bora tz

  • @ZeyanaAbdi-m3g
    @ZeyanaAbdi-m3g 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga tumonewa lile sio goli

  • @mgenikhalfan7471
    @mgenikhalfan7471 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama ni kibonde hata ww ni vibonde wetu tumeshakushenyenda mara nne mfululizo Ludha fc ww

  • @mgenikhalfan7471
    @mgenikhalfan7471 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata kama tukiwa mkian ww unaumia na nn Kolo fc na unateseka ukiwa wp ww Abiola fc

  • @charlesmganga-gv2cs
    @charlesmganga-gv2cs 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    COACH NAMSHANGAA ANATUMIA FALSE NAMBA NINE ILI IWEJE

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Je,lile goli la TP Mazembe lilikuwa goli?

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Refa alilikubali baada ya mwamuzi msaidizi kuashiria kwamba ni bao. Hata wachezaji wa Yanga waliashiria hivyo kwa sababu hakuna aliyejaribu ku-protest. Ila kwa marejeo ya picha za video ni ngumu kwa sababu walioonyesha kutoka uwanjani hawakutupatia angle tofauti. Kumbuka wahusika hawakuwa na ubora kama ule wa Azam Media au washirika wengine wa CAF.

  • @AnithaKalumuna-j4e
    @AnithaKalumuna-j4e 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unajua sana

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huo mkwara wa kuandika kwenye ubao kuna somo gani

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Swaga🤣😂Kila mtu na staili yake. Mzee wa Data kaamua kutumia staili yake hii. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.

    • @alcoqueditrick6525
      @alcoqueditrick6525 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na wanafunzi tunapenda 😅😅​@@MbwadukeStats

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    siwezi kuwa mnafiki mechi haikuwa ma mvuto kuwa ni hadhi ya club bingwa Mpila unaangalia mpaka unasinzia nonsense walikutata wote wa hovyo

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vibonde walikutana 😂😂😂 ila wakwetu bado Yuko mkiani 🐸🐸🐸

    • @MikidadiAbdu-s6o
      @MikidadiAbdu-s6o 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuna wengine wapo kombe la wa mama huko

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 36 นาทีที่ผ่านมา +1

    That's good thing

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchumbuzi huyu mzuri sana ,unachambua hadi mm mtu mzima naelewa ,wengine unaona kabisa hajui asante yanga

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 36 นาทีที่ผ่านมา

    That's good thing