🚨Uchambuzi Cloudsfm,Yanga 1-1 Mazembe,ALAMA 1 NI MUHIMU KWA YANGA ILA BADO KUNA VITU VYA KUREKEBISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @amanyisyeoswald1613
    @amanyisyeoswald1613 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Timu ya Taifa imefuzu na hao mabeki leo ndo wameonekana wafupi?

  • @prospermmary1388
    @prospermmary1388 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie hakuna kitu mnajuaaaaaa pole sana tatizo la haya yote ni gamond still mnataka gamond angebakia 😊😊😊 so sad

  • @witnesskazoba9052
    @witnesskazoba9052 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wachambuzi wa mihemuko. Young wameposes zaidi ya Mazembe alafu mnasema wamezidiwa. Vilub vingi vimeimarisha vikosi vyao ndio maana Young ana struggle kupata matokeo. Kwangu mimi leo Young wamecheza vizuri ukiachilia kosa lililopelek ea kufungwa lile goal

  • @bakarimohamedi9812
    @bakarimohamedi9812 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mouritiana😂😂😂😂Tzn ni kama comedy 🎭

  • @sadih5333
    @sadih5333 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ufupi ni tatizo, hata kibamia kinalalamikiwa

  • @prospermmary1388
    @prospermmary1388 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani hawa watangazaji wanatudamganya utadhania game ilikuwa haioneshwi😅😅😅

  • @mariakeyamba9757
    @mariakeyamba9757 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmesema Yanga wamezidiwa basi tuseme bango la mechi linadanganya nyie ndio mnasema ukweli. USMA nae kumbe yupo kundi la Yanga na hamsemi!?

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Japo kwenye mpira kila kitu kinawezekana lakini hapa maombi ni kwamba labda Al Hilal na MC Alger wadroo vinginevyo hali ni mbaya sana

    • @alenyema
      @alenyema 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora afungwe mmoja, ila wakitoa sare ni mbaya zaidi kwa Yanga