Mwanangu Stereo, sasa nime tune rasmi kwenye frequency yako ! Kaa Chonjo ni bonge la ngoma. Ni mara chache sana na sikiliza nyimbo mmoja zaidi ya mara tano kwa siku. Huu ndio muenedo na muelekeo wa ubunifu wa Real Bantu Hip Hop. Asante kwa ku wakilisha Utamaduni wetu na kila La Heri kwenye project zako zijazo. Huu ni mwaka wako wa Ku shine Mazee ! Stay focused. Pamoja sana, Balozi Dola
Stereo, nakubali. Quite a rendition of Bongo Daresalam. Kazi safi kuleta uhai kwa track za nyuma kiasi ili kukubalika na kizazi cha sasa na kijacho. Wazo zuri.
KIPINDI AWA JAMAA WANA HIT KWENYE HIPHOP BONGO, ATA USHOGA AUKUEPO KABISA, ILA WAKINA MBOSSO WALIVOANZA MIZIKI YAO, UWEZI VUKA NYUMBA 10 DAR UJAKUTANA NA SHOGA. 😂😂
NIME WATIKISIA SANA SCHOOL BATTLE WATOTO NA VERSE ZA HUYU MWAMBA... nazihoz chat mwana harakati... Njoo chini ya muembe... Nikunyoe pank nikuchane ka kiwembe.... Vua shati kifuani manati ka madenge.....
Dah kumamamakeee doh nyoko sanaaa hili dude hii ndio tunatakaga welevu sasa kuanzua beat la kiafrika kita kaua waliopita humu sasa ndio balaa hiphop bila mafunzo sio hiphop hvi ndio tunataka unabrudika huku unajifunza salut sanaaa
Stereo Nomaaaaaa....welcome to mainstream brooooo
Wanao mkubali stereo kuwa father now naomba like ap😂😂 stereo sikupingii kk mr walete...
Nimeongeza sauti ya hii ngoma Mama mwenye nyumba kaniambia nisimlipe kodi...🎉
Sterio ulipoa mzeer umekuja kama bom sasa 💣 💣💥💥 on trending
Ila One Day Stereo Now Mzima Mwamchukulia Poa AkisHafariki Utaskia Pengo Lake Halina Spere Mpeni MauwaykE
Nomaaaaa singa singa waatoto wa juzi hawa kujui
Kali sana bana singasinga🔥🔥
Nzuri inatuelimisha tulimisi mziki kama huu big up #stereo
Hii chorus ya Bongo Dar es Salam 2002 dada Jide alipitamo vema ila Queen Ziporah kainyoosha freeeesh.
Singasinga na Baysa combination noma sana 🔥
Wazza anasema ngoma kali sana hii
Singa singa haitaji maua yenu pesa anayo atanunua maua atakayo
Uncle mikazo tu❤
Mwanangu Stereo, sasa nime tune rasmi kwenye frequency yako ! Kaa Chonjo ni bonge la ngoma. Ni mara chache sana na sikiliza nyimbo mmoja zaidi ya mara tano kwa siku. Huu ndio muenedo na muelekeo wa ubunifu wa Real Bantu Hip Hop. Asante kwa ku wakilisha Utamaduni wetu na kila La Heri kwenye project zako zijazo. Huu ni mwaka wako wa Ku shine Mazee ! Stay focused. Pamoja sana, Balozi Dola
Singasinga, nimekubali kaka kimya kingi mshindo mzito. Salute kaka
Hip hop haijawai kuimbwa na FALAA,,,,,,Vichwa Vimekutana,,,KATI Kuna Voice ya queen 🎉🎉🎉,,,bonge la Dem,,,na hakuna MACHUPCHUPiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
Huo u Africa ndani umetisha Sana AFRICAN SON
Goma la mwendo ⭐ zingazinga😍
Mzee Stereo Masanilo .....Hasira hizi za ajabu mzee... Big up sana mzee
Credits all the way from Gaborone
Daaa hatarii sana Bro Stereo.. Kalii kinoma hii trakii...
Sitaki. Tena penz la recho kizunguzu ngu n miba ya nungunungu😂😂😂👍chunda bad
Daaaah niki mbishiiii wp wewe umeshindwa kweli ubunifu km huu
Mwanangu James, hii ngoma ni noma, hiyo beat nakumbuka stunt 101 gorilla unt😊
Kwa mara ya kwanza tangu miaka ya 2007 nimepata burudani ya hip-hop ya verse 3 za maana.
hongera sana Stereo
hongera Mr Blue
Hongera Ziporah
mzee zima data bando la kuumiza💥💥💥💥💥
kazi safi sana, nimekufatilia sana since 2008 Stereo, good job,,Mr blue pia hatari,,you guys dont grow old,,eeh,,one love from +254
Shida bongo sa hv mpka ngoma iwe inaongelea pombe na mademu unless thaat haifiki mbali mziki wetu unekua wakise*****
Sasa huyu ndo stereo ninayemjua mimi🎉🎉🎉
Big up mzee Kochaaaaa
Unazingua kila siku unajifanya unajua kila kitu.wewe mchawi s unamjua yesu cristo
Asantee Brother angu naona sasa umeamua Chuma baada ya Chumaa Kaaa Chonjo weweeee
Ngoma Kali, Video kali
Stereo, nakubali. Quite a rendition of Bongo Daresalam. Kazi safi kuleta uhai kwa track za nyuma kiasi ili kukubalika na kizazi cha sasa na kijacho. Wazo zuri.
Singasinga na nyani zee aisee sio poa
Hii kaka imekwenda
Kaka Mkubwa✊🏾
Mtu wa maana kabisa
Ngoma imetulia saana
Sio poa kaka noma 🔥
Singasinga African son! Balaa
Nilichopenda ni namna mlivyofichana humo ndani, CHUKUENI MAUA YENU
Singasinga🎉
Unarudi kwa kas babu. Keep movin 🔥🔥
Nakukubali kaka Singasinga☑️
KIPINDI AWA JAMAA WANA HIT KWENYE HIPHOP BONGO, ATA USHOGA AUKUEPO KABISA, ILA WAKINA MBOSSO WALIVOANZA MIZIKI YAO, UWEZI VUKA NYUMBA 10 DAR UJAKUTANA NA SHOGA. 😂😂
Hongera sana Brother James Kazi mzuli mungu ni mkuu tunapata wasaa wa kujifunza apa,kazi mzuli
Kiitikio wameiba kwa professor jay dada kaimba vizuri illa kaiba
Daaah hili dude ni noma sana Stereo🔥🔥🔥
Tunaomba remix ya ngoma hii kali washirikishe stamina na con boy
Mr Blue Bado relevant mpaka kesho STEREO ikabidi ipige na verse ya 3 tu.😅🎤🎤
Stereo utawauuuu watotoooo
Hizi verse za Stereo mimi mkenya Mombasa nimeikubali Yani nimesahau kama Mr Blue yuko ndani ❤.
My Favourite Rapa karudi rasmi ,JOB IS PRESENT (KAZI IPO)
Stereo singasinga in the building salute kwenu wazeee kazi nzuri🔥
Huna baya Singa Singa....ngoma Kali mnooo.Blue kama kawaida yake pia kaumiza humu.
Bonge moja la booooom 💥
Ngoma kali sana duuh!
Kalisanaaaa
Kama kanye west wa mwaka 2012 .... Wa 🔥🔥🔥
Chunda Bad 🔥
UMERUDI VIZURI SINGASINGA BIG UP
Singa singa na Babylon ni noma!! The Pro umeua mzee wangu
Waaaah, it's him aiseee❤❤❤
Stereo To The World 💯🔥🔥💥
Respect chundabadi
NIME WATIKISIA SANA SCHOOL BATTLE WATOTO NA VERSE ZA HUYU MWAMBA...
nazihoz chat mwana harakati...
Njoo chini ya muembe...
Nikunyoe pank nikuchane ka kiwembe....
Vua shati kifuani manati ka madenge.....
goma limetulia. big up
You are always doing lit bro🔥🔥🔥
Chunda ni moto wa kuotea mbalii
Kumbe mzik mzur bado upon jaman doh
Stereo sasa kaamua🎉
Queen Zipporah
Big up stereo ulitaka kutuacha wabishi
Goma la kwenda sana heshima sana wakuu
Hii chorus ya professor jay bongo kwenye NGOMA bongo daresaram
nimefurahi sana kwa hii ngoma
Toa Ngoma Moja na phina mkuu stereo
Singa singa umeua humu bro
Stereo lile goma ulopiga na Victoria kima dah goma kali sana
singasinga rhymes is back
Duh kazi kuntu🎉🎉
Noomaaaa singasinga
King is back
I really like the acknowledgement part, maturity👏👏
Zipora nkonoki 😊
Hii ni Zaidi ya nitabaki juu
muda unaenda🎉🎉🎉🎉🎉 singa singa
Chunda badi usituache hivyo tumemis sana radha ya midundo ya hiphop kutoka kwako
umetisha brother
Samaki mwenye kiu...
Dah kumamamakeee doh nyoko sanaaa hili dude hii ndio tunatakaga welevu sasa kuanzua beat la kiafrika kita kaua waliopita humu sasa ndio balaa hiphop bila mafunzo sio hiphop hvi ndio tunataka unabrudika huku unajifunza salut sanaaa
Byser🙌🙌
Now stereo is BAAACKKKK
It's really hip hop 🔥🔥
CHUMAAA KIPO SAWA
Vijana wotee njooni msikilizee mziki mzr🎉
#stereo singasinga , tupe ngoma moja na mex cortez kuna jambo naliona , wee mkali sana mzee
Waueeeeeee chundabad
Ngoma Kali
Mwamba upo kasi Sana nyimbo tatu kwa mwezi mmoja? Umeshindikana unajua sana
Stereo ww tingatinga sio singa lazima wakae
Nyani zeeee
Video color, song sound, stereo🔥🔥🔥🔥
Classic, Good To Have You Back