1.Wanakuita mnyonge ili usiwakabili. 2.nioneshe wasomi taaluma zimeota mbawa 3.wakala nasukuma ajenda kwa miamala 4. Wapotoshaji wanalipwa 5.shabaan robert kamwe hafananishwi na waandishi batili 6. Elimu ninayotoa ni zaidi ya Mbunge ambae hukumuona toka apole kura yako
1.Wanakuita mnyonge ili usiwakabili.
2.nioneshe wasomi taaluma zimeota mbawa
3.wakala nasukuma ajenda kwa miamala
4. Wapotoshaji wanalipwa
5.shabaan robert kamwe hafananishwi na waandishi batili
6. Elimu ninayotoa ni zaidi ya Mbunge ambae hukumuona toka apole kura yako
Funika kikombe mkongwe chidi kawawa ✊🏽
Mafumzo ngelengele nimeiva kikomando🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nipo Kenya now toka NIANZIE WAPI, fire to fire
Oi hii mistari ukizama kwa ndani kabisa kifasihi ni mizito sana .Nash dagama chizi umetisha hom boi
Maalim Nashir, hajawahi kutukosea heshima. Anafany vitu vikubwa kwa ukubwa wajina lake.
Tunafunga mwaka na mziki halisi
Dadeki one man army maalim ,uyo black ninja ni ktu hatari sana
Hii imeenda🔥🔥 futi 6 umekwenda, Mzee wa Ndanenga.
Maalim upo vizur sana ndo hip hop OG umebakia
Maalim ujawah kukosea kaka hongera kwa kipaji kikubwa sana ngoma kali mnoo
Love from Uganda 🇺🇬
Hatui taji tena promo za radio flani flani tena😂😂😂❤❤❤❤❤
Niseme Asante kwa muziki mzuri
maalimnash ndo Mc wangu milele wape dawa heshima kaka heshima kaka
Da'awa Imetuingia barabara Maalim 🔥🙌🏿
Ila Naash Mseeng** sanaaa kwenye hizi mbanga. Oyaaa Nash 💪💪💪💪💪.
Pokea maua yakoo🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹🌹💐🥀💐💐🥀💐🥀🥀🌹💐🌹💐💐💐🥀
Maalim nash uchebe baba tabia tupe vyumaaa
Wakala naskuma agenda kwa miamala
Huu mstari unaweza kuuandika hivi pia
Wakala na's'kuma agenda kwa miamala
That why i love Hiphop its Concious always
HIPHOP ain't no dead❤
Good music from a genius rapper🔥
Tupee huku huku kwa digital jamii yote ipate😊
Salam Alaikum Maalim , Teaching Mzuka, Am calling it #EschatologicalHipHop big up from Meru Kenya
Ngoma kali heshima kwenu @Nash Mc @Black Ninjah
Sio Poa Tabibu Nash Mc 🎉🎉🎉🎉
Kutoka chamazi vigoa nakubali sana kaka Nashir
Noma sanaaa Nash midundo na mitambao yenye degree zote mambo ya Gensu Dean na Large professor.. RESPECT SANAA
Mudi Mabiriani Alikuwa hapa ❤
Greetings from Dar es Salaam,Tanzania 🇹🇿
Ebwana eeeh daa mistali ya umu ndani🫡🫡🫡🫡
Hiii ni hip hop ya kweli kabisa❤❤
Wimbo wangu bora kabisa kwa mwaka hu
Shoutout kwa blackninja beat kali
Goma kali sana elimi,shule starehe raha mziki mnene
Nakubali Nash ma MC's wa siku hizi wepesi sana
Maalim Nash hip hop asili 💥
Nouma sana maalim salut wapotoshaj wanapew pesa utitiri na tuzo za kipuuz ili waendelee kupotosha😂😂😂😂 bongo ukwaju kweli
Kwenzi Sana bro
Nimerudia zaidi ya mara kumi
ChemCheem SAAna SAAna naWANA UKOO WETU DAima ⚖️🕸️🎯⏳🌨️
Daawa imeHUSIKA... 💪🏿💪🏿🔥🔥🔥
Ch3mCh3m sAnA aU 2io?
Mutalemwa always on point ❤❤❤❤
mapema sana sabufa inataka kupasuka
zuzu mkali wangu wa muda wote
Naelewa " MISUKOSUKO NDANI YA SHAMBA KUBWA"
Maalim Nash ni Mmoja tu
Maalimu hebu fafanua hapo aliyepigwa kitako kwa kihelehele
Noma kabisa
Duwa ndo uponyaji na sio kafara
Matangazo yanaruka idhaa ya kiswahili 😊
Dah akili kubwa noma sana
Maaalim unajua sana
Hii verse ya pili moto sana
Maalim Nash Ubarikiwe Daima 🙏
Tunasapoti mwamba,safi sana
Da'awa imetufikia maalim
Mama mkanye mwanao watu tushavurugwa 👍
Black ninja kwenye meza
Maalim na Ninja 🔥🔥🙌🏽🙌🏽
Mwaka tumeumaliza salama
Maalim KUTOA daa'wa🔥🔥
Usiulize nani ni maalim
Ofsa ofsaa✊️
hii verse ya pili 🙌🙌🙌
Maalim nash nakubali
Always misingi tuu
Maalim uku Ninja🙌🏿, nasoma sana yan REAL HIP HOP❤
Watching from kasulu to kigoma
Kubwa sana hii
Nakubali sana @Maalim Nash
Sana mwanetu 🙌🙌
nakubali kaka nashir
Oyaaaa, tatbu npo makn maaabaara
Nash unawapa dawa ....MC mwenye vvu
Wameyatimba Isamuyo wakidhani Lupaso.
Maalim ni shule bila bakora
Maalim 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mama mianyemwanao watu tushavurugwa
Ujumbe mzuri hongera Sana
Video ina ubunifu wa hali ya juu
>>>Maalim 🔥🔥
Maalim Baba Ya HIPHOP
zimemwagika haswa
Maalim Nash🙌🏆📍💰
WAPOTOSHAJI WANALIPWA 💔
Na Dua ndo uponyaji sio kafala
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Da'awa💯
kizazi sana
fikeni page jamaa
Baba nash umetisha🎉🎉
Mitano 5 tena Baba
Maalim Nashi Da'awa 🔥🔥🔥
DA`AWA ✍️🏿💥💥💣
Nasahau za nashiri
Umerudiiiii
Funika kikombe mkongwe chid kawawa. Madini
Wakala nasukuma agenda Kwa miamala
Daawa🔥🔥
Nash hii ngoma Kali sana 🔥⚡️! On fire 🔥
This is good, ❤
Nouma sana maalim salut wapotoshaj wanapew pesa utitiri na tuzo za kipuuz ili waendelee kupotosha😂😂😂😂 bongo ukwaju kweli
NONDO za engineer
Nakubali maaalim mashabiki wako tusio na hela ya album tunapata ladha Kwa nguvu ya bando la jero
Listening all the way from kenya🇰🇪 🔥🔥🔥🔥
Video yangu bora ya hip hop mwaka 2024