- 21
- 495 588
Stereo Singasinga
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 18 เม.ย. 2014
Tanzanian Hip-Hop Artist, Urban and Regional Planner, Banker, Choir Master.
Stereo Singasinga - Komandoo (Official Video)
Najua mnamiss sana ladha hizi hususani nyakati hizi. Hilo siyo tatizo tena, Komandoo iko kwaajili ya kuikata kiu hiyo. Kwa watu wangu wa ngoma ngumu, ya kwenu hii.
มุมมอง: 20 462
วีดีโอ
Stereo Singasinga ft. Mr Blue & Queen Zipporah - Kaa Chonjo (Official Music Video)
มุมมอง 110K4 หลายเดือนก่อน
Kaa Chonjo ni wimbo unaotukumbusha/unaotuhadharisha kwamba tuwe makini na wenye tahadhari kwenye kila jambo maana mambo yanaweza kutuendea mrama wakati wowote pasi na kutaraji.Melodia tamu ya kiitikio imekopwa kwa Mwanamuziki mahiri Lady Jay Dee kama alivyoimba kwenye wimbo Bongo Dar es Salaam wa nguli wa muziki wa Hip-Hop Tanzania (Mh. Joseph Haule almaarufu Professor Jay. Shukrani sana kwa Ki...
Stereo SingaSinga FT G Nako Walete Official Video
มุมมอง 107K6 หลายเดือนก่อน
Walete is a song aimed at entertaining the listeners and viewers. It is a special gift to all people who love good music in the world. Audio is as produced by Mr. T Touch, video shot by Mufasa.
WALETE - Stereo Singasinga ft. G Nako
มุมมอง 11K6 หลายเดือนก่อน
The song is produced by Mr T Touch. It is all about entertaining people, making them enjoy the good music with rare taste.
Stereo Singasinga ft Barnaba Classic - Asante Mama ( Acoustic Version) Lyrics
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
Choir Soprano: Adventina Elias Alto: Adventina Elias Tenor : Florence Challo Bass: Francis Kapufi Guitar: Barnaba Choir Music arrangement: Godfrey Maro Studio: Hightable Sound Instrumental & vocals by Barnaba Mixing & Mastering : Kita The Pro
Nafanya Kitu Inakuwa - Stereo Singasinga
มุมมอง 9K2 ปีที่แล้ว
Audio produced by Black Ninja at PRO 24 Studios, video shot by Director Breez.
Stereo feat Chidi Beenz Ukonga na Ilala
มุมมอง 3.9K3 ปีที่แล้ว
Stereo feat Chidi Beenz Ukonga na Ilala
Stereo Singasinga Nitabaki juu Official Music Video
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
Stereo Singasinga Nitabaki juu Official Music Video
Stereo Singasinga -Mkizingua Nazingua
มุมมอง 23K3 ปีที่แล้ว
Experience Album now available in all digital stores click distrokid.com/hyperfollow/stereosingasinga/experience-2 Tanzania Hip Hop Artist who work for 9 years with different artist from Tanzania and Kenya his unique style caught a lot of fans from local and international level made him one of the greatest rapper alive. Connect With Stereo Singasinga Instagram: stereosingasinga A...
STEREO SINGASINGA - MKIZINGUA NAZINGUA
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
Experience Album now available in all digital stores click distrokid.com/hyperfollow/stereosingasinga/experience-2 Tanzania Hip Hop Artist who work for 9 years with different artist from Tanzania and Kenya his unique style caught a lot of fans from local and international level made him one of the greatest rapper alive. Connect With Stereo Singasinga Instagram: stereosingasinga A...
Stereo Singasinga - Uhalisia (Official Video)
มุมมอง 32K3 ปีที่แล้ว
Experience Album now available in all digital stores click distrokid.com/hyperfollow/stereosingasinga/experience-2 Tanzania Hip Hop Artist who work for 9 years with different artist from Tanzania and Kenya his unique style caught a lot of fans from local and international level made him one of the greatest rapper alive. Connect With Stereo Singasinga Instagram: stereosingasinga A...
Stereo ft Ben Pol - USIONE HATARI (OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 4.6K3 ปีที่แล้ว
Experience Album now available in all digital stores click distrokid.com/hyperfollow/stereosingasinga/experience-2 Tanzania Hip Hop Artist who work for 9 years with different artist from Tanzania and Kenya his unique style caught a lot of fans from local and international level made him one of the greatest rapper alive. Connect With Stereo Singasinga Instagram: stereosingasinga A...
Stereo Singasinga - Uhalisia (Official Audio)
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
Experience Album now available in all digital stores click distrokid.com/hyperfollow/stereosingasinga/experience-2 Tanzania Hip Hop Artist who work for 9 years with different artist from Tanzania and Kenya his unique style caught a lot of fans from local and international level made him one of the greatest rapper alive. Connect With Stereo Singasinga Instagram: stereosingasinga A...
STEREO FEAT BEN PAUL - USIONE HATARI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
มุมมอง 7685 ปีที่แล้ว
STEREO FEAT BEN PAUL - USIONE HATARI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
STEREO SINGASINGA FEAT RICH MAVOKO - MPE HABARI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
มุมมอง 7085 ปีที่แล้ว
STEREO SINGASINGA FEAT RICH MAVOKO - MPE HABARI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
STEREO FEAT CHID BENZ ILALA & UKONGA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
มุมมอง 1K5 ปีที่แล้ว
STEREO FEAT CHID BENZ ILALA & UKONGA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Stereo & Fid Q Nasema Nachojua (Official Music Video)
มุมมอง 9K5 ปีที่แล้ว
Stereo & Fid Q Nasema Nachojua (Official Music Video)
Stereo Singasinga - Nitabaki juu (Official Music Video)
มุมมอง 8165 ปีที่แล้ว
Stereo Singasinga - Nitabaki juu (Official Music Video)
Rostam (Tik Tak) - Stereo Singasinga - Official Audio
มุมมอง 2.8K5 ปีที่แล้ว
Rostam (Tik Tak) - Stereo Singasinga - Official Audio
Tunalipa Dawasco Unalipanua!
🥀🥀
Daaa hatarii sana Bro Stereo.. Kalii kinoma hii trakii...
Ngoma ya December ndo hii
🎉
Mistari mingi mingine naiweka kwenye stooo ili wakuone hauna baya wape bangi
B boy
Singasinga n Gnako ontop!
Puna nikupune babu 🤌👊👊👊
Leo ndo niwaambie ukweli D mbili hazitosho kumuelewa b boy .u need atleast 3 c's
Wajina... Bado tupo nawe 2024
sikilizeni tu Ngoma zenu tuwacheni namikato yetu👊👊👊👊💥💥💥💥💥🔥🔥
singa singa
Hapa pigo ni za kiukubwa pekee
Stereo Nomaaaaaa....welcome to mainstream brooooo
1:25
Unazingua kila siku unajifanya unajua kila kitu.wewe mchawi s unamjua yesu cristo
Salute bwana nshomile
Sema G nimtu mwenye roho safi yani kwenye chorus huwa alembi
🎉
Nan kakudanganya majini hayauzwagi 😂😂😂😂Nilizimiss sana mistari concious 🖖
We mzee........
Hii ni Zaidi ya nitabaki juu
Stereo=Bonta maarifa
Singa singa maradona
Happy to see u back uncle 🎉🎉🎉😂
Stereo kammeza Gnako
Nakukubali kaka Singasinga☑️
Kama kanye west wa mwaka 2012 .... Wa 🔥🔥🔥
Sasa huyu ndo stereo ninayemjua mimi🎉🎉🎉
❤
Stereo tisha sanaaaa
Usiguse
Yule ninayemkubali amerudi mtanikomaje
#Napendaga hiz ila wabongo hampeleki vitu venu asilia kama hv abroad😂
🔥🔥🔥🔥🔥
Stereo, nakubali. Quite a rendition of Bongo Daresalam. Kazi safi kuleta uhai kwa track za nyuma kiasi ili kukubalika na kizazi cha sasa na kijacho. Wazo zuri.
kazi safi sana, nimekufatilia sana since 2008 Stereo, good job,,Mr blue pia hatari,,you guys dont grow old,,eeh,,one love from +254
Zipora nkonoki 😊
huu ni wimbo
Mtu wa maana kabisa Ngoma imetulia saana
CHUMAAA KIPO SAWA
Remix artist suggestions? 1. P. Mawenge 2. RosaRee 3........ 4.......
Dah👊👊👊
Noumah
umetishaaa sana goma la kufungia mwaka🎉
Nyani zeeee
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Chunda Bad 🔥
umeme utasha usigus💥💥💥💥💥✊🏿