JINSI YA KUPAKA WANJA HATUA RAHISI/

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2024
  • Hello dear , Asante kwa kubonyeza video hii, leo nitakuelekeza namna ya kupaka wanja ulio natural hatua kwa hatua na vifaa sahihi vya kutumia, hata kama hujui kupaka wanja kabisa mwisho wa video hii utakuwa umejua kabisa kujipaka wanja mzuri.
    KWA WATIZAMAJI WAPYA
    Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa , utajifunza pia kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.
    Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .
    NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
    MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
    PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA
    TIZAMA VIDEO NYINGINE BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE
    KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
    PONYTAIL
    • KUTENGENEZA KIBANIO CH...
    KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
    • Kubana nywele fupi NZI...
    KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
    • KUSUKA RASTA ZA MABUTU...
    KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
    • MITINDO TOFAUTI YA LOC...
    KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
    • KUSUKA DISTRESS LOCS K...
    KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
    • Kubana nywele Fupi "Ha...
    KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
    • Kusuka Crochet kwa kut...
    MAKEUP FOR BEGINNERS
    • Beginner Makeup series
    MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
    • MITINDO YA MAVAZI /TRY...
    MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALS • Mafunzo Ya Makeup/Make...
    MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
    Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
    Email ; Business@vivianatz.com
    Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
    INSTAGRAM ; ...
    Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.

ความคิดเห็น • 32

  • @GracceNgekele
    @GracceNgekele 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ ahsante

  • @LuluomarAhmed-qy7kg
    @LuluomarAhmed-qy7kg 9 วันที่ผ่านมา

    Nashkru nimeelewa nilikuwa nahitaji vifaa muhim vya makeup unielekeze kipenzi asante sana

  • @evelynjoseph7326
    @evelynjoseph7326 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri naenda kufanya kwavitendo barikiwa sana

  • @mwanneathuman1585
    @mwanneathuman1585 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sn kazi zako ahsante kwa wanja mpya

  • @Mahuwamlongeleontina-pn7iv
    @Mahuwamlongeleontina-pn7iv 11 หลายเดือนก่อน

    Napenda Sana

  • @annekemboi9589
    @annekemboi9589 2 ปีที่แล้ว +1

    I LOVE YOUR VIDEOS. NEW SUBSCRIBER HERE❤

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Thanks love, welcome to the family ❤❤

  • @haaaa9047
    @haaaa9047 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @monaahirovya1694
    @monaahirovya1694 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana dada unajitoa mmno

  • @emmybasley9293
    @emmybasley9293 2 ปีที่แล้ว

    Asanteee saana

  • @fildaussimon8212
    @fildaussimon8212 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mafundisho yako yani huwa naelewa Kama nipo dalasani

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Asantee dear🥰😍

  • @glorrykiry4831
    @glorrykiry4831 2 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa kutufunza

  • @stellamtete3419
    @stellamtete3419 2 ปีที่แล้ว

    Nmependa

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Asantee dear

  • @monicamwidau7717
    @monicamwidau7717 ปีที่แล้ว

    Asante ni mpenda sana❤️

  • @glorialuhwago6305
    @glorialuhwago6305 2 ปีที่แล้ว

    Wow, thanks mamy🙏

  • @naahmkama8789
    @naahmkama8789 2 ปีที่แล้ว

    Here we go❤

  • @gosperbymusicpostergbmp1176
    @gosperbymusicpostergbmp1176 2 ปีที่แล้ว

    Asant dear yan unaelekeza vizur mpak raha yan

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Asantee dear

    • @zahrahaidar5052
      @zahrahaidar5052 2 ปีที่แล้ว

      Naomba no yako ya wwtsp plz sstr

  • @zenahmohamed8721
    @zenahmohamed8721 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka bidhaa za makeuo sizijui

  • @edithakalvin8170
    @edithakalvin8170 2 ปีที่แล้ว

    Maadam endelea kutufundisha wengine atujui

  • @giftchansa3892
    @giftchansa3892 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaah natamani kujifunza Kama wewe

    • @Vivianatz
      @Vivianatz  2 ปีที่แล้ว

      Karibu ujifunze hapa dear, ukifuatilia hizi videos utakuwa mtaalamu

    • @giftchansa3892
      @giftchansa3892 2 ปีที่แล้ว

      Asante Mungu akubaliki

  • @jennifernondo543
    @jennifernondo543 2 ปีที่แล้ว

    No zako ntk nkofollow watsup

  • @zahrahaidar5052
    @zahrahaidar5052 2 ปีที่แล้ว

    Wow star shkuran Sana naweza ukipata no yako ya WhatsApp plz sister