@@DabongeBeautiful hello dear, ni aina ya wanja unaotumia ,kama unatumia ambao sio original huwa zinachuja, jitahidi kununua original au kama huna original uwe ukishapaka wanja ,paka eyeshadow ya poda juu yake inasaidia wanja kuwa mkavu na usichuje .
Unamoyo wapekee dad nipo pamoja nae
Sio hiyo mzikii unatusumbua usiweke sema aasante sanna Allah akubariki
Nakupenda sana napenda na mitindo ya nywele zisizo na dawa
🙏❤❤❤
Kwann hatutumii wanja wa pensel chini ya macho
kitu kilikuw kinanisumbua ni hiki eyeshadow ila Leo madame umenifunza Asante na hongera kutatua changamoto zangu
Asantee dear ❤️❤️❤️🙏
Nimejifunza kitu dada barikiwaaa sanaaa
❤❤
Umetisha sana😊❤
🙏❤️❤️
Balikiwa sana nimejifunza kitu
❤️❤️🙏
Nimewah leo thanks vivy we learn a lot from you ❤️❤️❤️❤️❤️
Asantee kipenzi ❤
Asantee kipenz ❤️
❤
Thank you
❤❤
Minashid yani nikshachonga jicho baadae ule wanja wachin yamacho unachuja kwann
@@DabongeBeautiful hello dear, ni aina ya wanja unaotumia ,kama unatumia ambao sio original huwa zinachuja, jitahidi kununua original au kama huna original uwe ukishapaka wanja ,paka eyeshadow ya poda juu yake inasaidia wanja kuwa mkavu na usichuje .
Mi nina shida na highshed
Always nakuelew Dada Viviana❤😍
Karibu dear❤
Dada Viviana kwani hauna darasa? naitaji unifundishe nina kuelewa sana.
Hapana dear, nafundisha hapa TH-cam tu kipenzi
ety unafanyaje kuzuia mek up yako isichuje?
Ntaweka video kipenzi ntaonyesha kwa vitendo ❤