Zoezi 1 tu kusimamisha matiti baada ya kunyonyesha sana | breast lifting naturally

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @AlexIruti
    @AlexIruti 23 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda sana ku na mazowezi urifundisha ni rifanya ivi Niko pia

  • @veeedo6004
    @veeedo6004 13 วันที่ผ่านมา

    Haya mazoezi yanapunguza maziwa pia

  • @MammyMapelele
    @MammyMapelele 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hiv jaman mda sahih wa kifanya mazoe

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 21 วันที่ผ่านมา

    Asante dada nilikuwa sijui ilo zoezi kumbe inawezekana nikarudisha matiti yangu yalivyokuwa kabla sijajifungua

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  21 วันที่ผ่านมา

      Unaweza kuangalia video zingine pia part 1 & 2 natumai ukifanya kikamilifu mazoezi haya utaona mabadiliko mazuri 🫶

  • @RayaAlly-k4e
    @RayaAlly-k4e 8 วันที่ผ่านมา

    Hilo la mkono juu n chin ukiw n unainua maziwa au n mikon tu

  • @WinPchao-si3rb
    @WinPchao-si3rb 5 วันที่ผ่านมา

    Ukifanya zoezi unatakiwa kuvaa brazia

  • @Mamabrayan
    @Mamabrayan 22 วันที่ผ่านมา

    Nakupendaa kadogo kangu jamani❤

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  21 วันที่ผ่านมา

      Nakupenda pia 🫶

  • @ImaniChabayanga
    @ImaniChabayanga 13 วันที่ผ่านมา

    Nataka number

  • @husnatsuma755
    @husnatsuma755 22 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @AishaUkashi
    @AishaUkashi 18 วันที่ผ่านมา

    Mm nahitaji kupunguza tumbo jamniii

  • @Rahmaismail-y9u
    @Rahmaismail-y9u 18 วันที่ผ่านมา

    Kipenzi mimi nataka nianze je inatakiwa mtu afanye marangapi kwasiku? na kuanzia sangapi?

  • @KautharNyawa
    @KautharNyawa 20 วันที่ผ่านมา

    nmependa zoez vip kwa siku unafaa ufanye kwa dakika ngapi

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 22 วันที่ผ่านมา

    Mimi yang yamelal watot wawili

  • @alicemakala-fi8xd
    @alicemakala-fi8xd 23 วันที่ผ่านมา

    Nami nimeanza yamaziwa nashukuru naanza kuona matokeo maziwa yanaanza kuwa magumu ila sasa yanauma

    • @Janetjanet-ke9fv
      @Janetjanet-ke9fv 23 วันที่ผ่านมา +1

      nami nilianza mwanzo yalokuwa yanauma ila sahivi hayaimi tena na ninaendelea na zoezi matokeo mazuri Sana❣️😍

  • @HamisaSaidi-e9y
    @HamisaSaidi-e9y 20 วันที่ผ่านมา

    Ukifanya haya mazoezi na ukafanikiwa yakasimama je ukiacha mazoezi yanarudi kama mwanzo au yataendelea kusimama

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  20 วันที่ผ่านมา

      Yataendelea kusimama kwasababu tayari tissue zimekaza

  • @saudaamohammed8743
    @saudaamohammed8743 22 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda mwalimu mzuri wa mazoezi

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  22 วันที่ผ่านมา

      Nakupenda pia Sauda 🫶

  • @JeniferMoses-sy5vr
    @JeniferMoses-sy5vr 23 วันที่ผ่านมา

    Mimi nataka nianze mwanangu ana mwaka mmoja saivi yaani maziwa yamelala hadi sio powa, narusiwa kuanza au muda bado??

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  23 วันที่ผ่านมา

      Ukishamwachisha kunyonya itakuwa vizuri zaidi kuanza

  • @SelestinaHamis-dw1gs
    @SelestinaHamis-dw1gs 23 วันที่ผ่านมา

    Kama nanyonyesha naweza kufanya hili zoezi

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  23 วันที่ผ่านมา

      ni vizuri kuanza baada ya kumwachisha mtoto kunyonya ili uweze kutrack maendeleo yako huwezi kufanya hivyo ikiwa bado unanyonyesha dear

  • @user-es9ms7qu8t
    @user-es9ms7qu8t 21 วันที่ผ่านมา

    Mm nikifanya haya mazoezi mugongo inauma😢

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  21 วันที่ผ่านมา

      Maumivu ya mgongo inaashiria kukosea zoezi, kaa kwenye kiti ambacho kitakiwezesha kuegemea mgongo unyooke wakati wa mazoezi haya

  • @goldshineabou420
    @goldshineabou420 21 วันที่ผ่านมา

    Mimi ninamaziwa wakubwa itakuwaje

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  21 วันที่ผ่านมา +1

      Utaona mabadiliko pia haijalishi maziwa ni makubwa au madogo

  • @MammyMapelele
    @MammyMapelele 23 วันที่ผ่านมา

    Hiv jaman mda sahih wa kifanya mazoez

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  23 วันที่ผ่านมา

      Ukiwa na nafasi muda huo fanya mazoezi, lakini ukianza siku yako kwa mazoezi asubuhi itakuongezea faida zingine nyingi ikiwa ni pamoja na kukupa uchangamfu kwa siku nzima